CHADEMA mmelewa sifa, Mnapoteza uhalali wa kukabidhiwa dola!

Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai.

Vijana werevu wameshatambua hilo na wanajitoa mmoja baada ya mwingine.

Mazezeta ndio yanabaki yakitumika kama miili ya maandamano tu...

Kwa kupiga vita maandamano inaonyesha no jinsi gani husivyoielewa siasa ya vyama vingi.pooole
 
Mungi mbona unatoa kauli ya kukata tamaa mno.

Chama sio jeshi. Uimara wa chama sio siri unaonekana mitaani. Njoo vijiweni usikie watu wanaongea nini.

Watu hawajafurahishwa kwa jinsi watu fulani kuwa above the law na kufanya chochote wanachotake huku wengine wakipewa adhabu bila hata kupewa nafasi ya kujieleza. Jambo hili ndio lililoiua Chadema.

We we unaona kama chadema imekufa basi umepitwa na wakati.
 
Back
Top Bottom