CCM ni yangu, yako, ya yule, yetu na ya kila mmoja wetu. Ndo maana Dr Slaa anayo kadi ya CCM hadi hii leo
Tatzo wengne hawaelewi. Kazi kumponda zitto tu kisa anasifiwa na maccm.kwani yeye aliomba asifiwe? Siku tundu lissu akisifiwa na maccm naye mtasema anatumiwa? Tunachonganishwa nasisi tunakubali.
Siyo lazima chama cha upinzani kiitwe CHADEMA, chochote kinaweza kuwa chama cha upinzani ili mradi tu hakina viongozi wapenda madaraka, madikteta, wafuja mali za chama, wanaorusha ngumi pale wanapoambiwa ukweli.
Mbona mnasingizia CCM? mbona mambo yako wazi jamani? jibuni hoja za Mwigamba badala ya kulalamika tu.
Nyie huko ccm mna madikteta wangapi??? Ya chadema tuachieni wenyewe hayawahusu.... Tunawapenda madikteta wetu mbowe na slaa!
Kusoma hujui hata picha huoni????
Precisely understood, lakini endapo chama tawala (iwe ni CCM ama kingine chochote) agenda yake ni kuua upinzani, kuna haja gani ya kuwa na siasa inayoruhusu vyama vingi?
lumumba wako vitani kama mlivyo vitani, basi washindeni kwa hoja, mnafikri kuwatamka tu kuwa hawa ni wa LUMUBA bila hoja itawadhoofisha kweli? Binafsi ningekuwa MBOWE ningeshabwaga manyanga kudhihirisha kuwa siyo mwenye kung'ang'ania madarakani.hoja yako na ushauri wako ni wa msing kabisa na unaonyesha ulivyo mzalendo .Ijapokuwa unaonekana bado upo magamba na ukombozi hujakufikia sioni sababu ya kupokea pumba zako kwani wew hututakii mema..wale wale wakina lUMUMBA
Wewe huna akili na hakuna kamanda dhaifu hivyo...nani kwa kuambia tunakubali kuchonganishwa?
Kule Mbeya, SUGU kawaambukiza timu ya MBEYA CITY , kila mechi wanazichapa.chama cha kupigana ngumi na matofali unategemea nini vyama kama hivi mfano wa chadema ni vyama vya kuishia ngomani lakini kuongoza watu hasa kuunda serikali ni bure tu.
Ni kweli hivi sasa wengi wanaogopa hata kuitwa wachagga.Unaweza kuwa CCM lkn unabanwa na UCHAGA.Wengi wa WACHAGA ndio waliokuwa wanavujisha siri IKULU. Wakiwa CCM au SEREKALINI "mguu moja nnje mungine ndani".
Ya Chadema yanakuhusu nini mpaka upoteze muda wako kushauri. Nilitegemea kama unaona mambo hayaendi vizuri ungekuwa kimya ufurahie!! Si wanasema kuvuja kwa pakacha!! Kweli naamini mti mzuri siku zote lazima utupiwe mawe. Lakini kelele zenu, vituko vyenu, vipandikizi vyenu ndani ya Chadema ndivyo vinazidi kutupa mbinu za ushindi maana kila ila tutaijua na mwisho wa yote mtaishiwa na Chadema tutabaki washindi'
kiuhalisia inabidi akane sifa za maccm lissu hawezi kuchekea sifa za maccm hata iweje!!!!huyo zitto mbona kitambo tuu anajulikana kuwa hana msimamo na ana malengo ya kuwa rais kama alivyo lowasa, so yeye target yake ni urais tuu iwe kwa njia ya halali au uchafuzi kwani proof ngapi zimewekwa hapa kudhihirisha unafiki wake....ZITTO kiutendaji ni mzuri tatizo utendaji wake anaweka na interest binafsi na hapo ndio anapokuwa dhaifu na kuweza kutekwa na maccm na kuwa mwana ccm ndani ya chadema...asubiri agombee binafsi sio chadema yetu hata huyu shibuda tutampiga chini next election mnatujua mnatusikia sisi haturembagi kamwe