CHADEMA mmecheza karata vibaya sasa.....

Niliwahi kushauri viongozi wa chadema na si mm hata viongozi wa juu ndani ya chadema mfano ni PROF BAREGU alitoa ushauri mzuri kwa viongozi wa juu pamoja na kamati kuu chadema kwamba suala la migogoro ni vema ingesuluhishwa mapema ili kuepusha vurugu ndani ya chama kwani kuna uchaguzi wa ndani ya chama, vilevile 2014 kuna uchaguzi wa serikali za mitaa, kisha 2015 uchaguzi mkuu.

Kuingia kwenye uchaguzi huku kuna migogoro bila shaka watu wanajua vita vya panzi ni neema kwa kunguru. unapokuwa mwanasiasa unatakiwa kufanya political calculations.

sasa hembu angalia.

sipendi kuingilia uhuru wa mahakama lakini kimsingi suala likishafika mahakamani hushukua mda mrefu kutatua mfano mzuri ni suala la mh KAFULILA NA MH AHMAD RASHID. hili bila shaka yoyote mpk 2015 litaleta damage kubwa ndani ya chama when u like or not but reality it is.

NAONA CHADEMA kama ni mchezo wa karata watakua wamelamba mavi.

Nawasilisha,

Tatizo lako ni nini haswa??
Chadema ikifa si utafurahi au??
Kaa pembeni subiri UPATISHWE 'RAHA' na Zitto.
 
Last edited by a moderator:
mahakama ishapiga ugokoni suburi baraza kuu litaipiga kamati kuu za uso na mbowe kuchezea kichapo aeleze anahusika vp na mmbo ya totoz

ushaonesha upande uliopo...
Haya kachukue kopo ukachambe.
Wacha CDM wafanye yao
 
maccm yanaona mpango wao wa kuua cdm umebuma baada ya kuona zzk anaelekea kufukuzwa na hakuna athali yoyote ambayo cdm itapata kwa kumfukuza zzk, wamemshauli kwenda mahakaman but what we know iwe jua au mvua zzk lazima afukuzwe...

Una matatizo ya r na l..anyway hivi ccm wamshauri zzk kwenda mahakamani kwa lipi..
 
Ni haki yake ya Kikatiba, hata wewe unaweza zunguka dunia nzima, so longer ona VIZA ya kuingilia nchi za watu.

Anyway, Baraza la Mawaziri linavunjwa, wee lia na Zitto tu. PM wa tatu anaingia soon.

Mkuu kama ni hivyo,mbona ZZK kwenda kwao kigoma lile suala liliwauma sana watu ambao walimuonea kwa kumfanyia maamuzi mabovu?
 
Kwa mfano unaweza kushauriwa na illiterate aliyejijengea aura ya digrii outdated kuwa ni mtaalamu wa migogoro halafu ukikubali ushauri wa mtu huyo ambaye hajawahi kusuluhisha mgogoro hata wa ukoo utakua outdated.Zamani kwenye vikao vya au semina za watu wenye hulka hizi nilikua natoka nje.

kwa namna hali ilivyokuwa na baadaye nilivyokuja kuisoma ilivyokuwa reported na gazeti la -----, inaonekana nguzo kuu kwa sasa ni Chadema Mpya, huyu anaonekana kuwa ni war planner mzuri sana.
Anazijua calculations ili kupata alicho target. Si wa kumpuuza, anajua kuzichanga na kuzicheza he is well forecused
 
Acha woga mgogoro huu unakomaza chama. Ni kipimo kizuri kama cdm inaweza kuchukua maamuzi magumu

Humu jf naona watu wana fikra finyu sana. Mods kama VP badilisheni hii slogan ya great thinkers jamani tafuteni nyingine. Zile mada na contributions za great thinkers tulizozizoea enzi za mwanzo wa jf hatuzioni tena siku hizi humu ndani. Tunaona hoja za ajabu kabisa.

Sasa ni maamuzi gani magumu cdm inachukua dhidi ya zzk. Wakati kinachofanyika ni majungu, uhafidhina na ukiukwaji mkubwa wa Katina ya chama na demokasia dhidi ya zzk. Na ikumbukwe Kwamba hii si mara ya kwanza kwa cdm kufanyia hivi wanachama wake pindi chaguzi za Mkiti zinapofika. Iwe kwa mkiti wa chama au moja ya mabaraza yake Hasa bavicha.

Huitaji kuwa profesa kutambua Kwamba Katiba ya chama inakiukwa kwa makusudi kwa manufaa ya kudumu ya wahafidhina wachache Waliogeuza kwa makusudi kabisa chama kuwa mradi wao binafsi na familia zao.
 
zzk leo atashinda kesi na hivo baraza kuu kumrejeshea nyadhifa zake zote lazima katibu mkuu na mwenyekiti wapate tumbo la kuhara kwa kihoro
 
Chadema sio tu wamechanga karata zao vibaya bali walilamba bibi Zitto akalamba dume, sasa karata mbili mkononi utupie umeolewa uache umeolewa.
Kitu na box.
 
Hoi picha si mchezo maccm na macdm ni yaleyale, mambo yao yanafanana huo usaliti unatokea karibia na uchaguzi?
 
Niliwahi kushauri viongozi wa chadema na si mm hata viongozi wa juu ndani ya chadema mfano ni PROF BAREGU alitoa ushauri mzuri kwa viongozi wa juu pamoja na kamati kuu chadema kwamba suala la migogoro ni vema ingesuluhishwa mapema ili kuepusha vurugu ndani ya chama kwani kuna uchaguzi wa ndani ya chama, vilevile 2014 kuna uchaguzi wa serikali za mitaa, kisha 2015 uchaguzi mkuu.

Kuingia kwenye uchaguzi huku kuna migogoro bila shaka watu wanajua vita vya panzi ni neema kwa kunguru. unapokuwa mwanasiasa unatakiwa kufanya political calculations.

sasa hembu angalia.

sipendi kuingilia uhuru wa mahakama lakini kimsingi suala likishafika mahakamani hushukua mda mrefu kutatua mfano mzuri ni suala la mh KAFULILA NA MH AHMAD RASHID. hili bila shaka yoyote mpk 2015 litaleta damage kubwa ndani ya chama when u like or not but reality it is.

NAONA CHADEMA kama ni mchezo wa karata watakua wamelamba mavi.

Nawasilisha,

Mkuu uwawezi hao watu kwamatusi kashfa ndio wenyewe ila nilichokingundua hawashauliki hao tena kama unataka uyakoge zaidi uwape za uso wanatoka kwenye mada wanaanza mipasho achana nao miungu watu wanajisahau kila mtu ana haki ya kuleta hoja na kuonesha hisia zako.
 
Niliwahi kushauri viongozi wa chadema na si mm hata viongozi wa juu ndani ya chadema mfano ni PROF BAREGU alitoa ushauri mzuri kwa viongozi wa juu pamoja na kamati kuu chadema kwamba suala la migogoro ni vema ingesuluhishwa mapema ili kuepusha vurugu ndani ya chama kwani kuna uchaguzi wa ndani ya chama, vilevile 2014 kuna uchaguzi wa serikali za mitaa, kisha 2015 uchaguzi mkuu.

Kuingia kwenye uchaguzi huku kuna migogoro bila shaka watu wanajua vita vya panzi ni neema kwa kunguru. unapokuwa mwanasiasa unatakiwa kufanya political calculations.

sasa hembu angalia.

sipendi kuingilia uhuru wa mahakama lakini kimsingi suala likishafika mahakamani hushukua mda mrefu kutatua mfano mzuri ni suala la mh KAFULILA NA MH AHMAD RASHID. hili bila shaka yoyote mpk 2015 litaleta damage kubwa ndani ya chama when u like or not but reality it is.

NAONA CHADEMA kama ni mchezo wa karata watakua wamelamba mavi.

Nawasilisha,
Ndo kingererza gani hicho ss au ndo hizi shule za ahsante Lowassa? Anyway tumekusikia. Tutazingatia ushauri wako. Mm ndo Mbowe sawa?
 
Siku hizi wachambuzi wa kisiasa wengi kweliiii.....
 
Binafsi! Niliiona CDM ina nguvu kwa sbb ya ZZT na Mnyika, na dr. Slaa kipindi akiwepo bungeni sio ss, ss kwa kumuondoa ZZK na Mnyika kuangukia upande wa Mbowe naona CDM inapoteza muelekeo!

Manake yoyte anayejua siasa anajua Mbowe ni mfanyabiashara na sio mwanasiasa, Ss kwa vichwa vyote kuwa na mawazo ya Mbowe kunanipa wasiwasi na dhamira yao! Wako kwa maslahi ya Chama (I mean wananchi) au wako kibiashara kama Boss wao.

Kwa kweli hapa, ni kusubri na kuona! ila naamini mgogoro huu utapoteza wanachama wengi sana chadema! Ukiacha wale wapenzi wa ZZK, na wale ambao wanakuwaga na direction kipindi cha uchaguzi ila pia wale wenye kuweka kumbukumbu na wenye kufikiri ambao huwa wana ushawishi kubwa kwa family members wengine!

Kama ni karata naamini hili ni Garasa! unless waact very fast kuresolve hii situation
 
hata wewe umeshapoteza mwelekeo!
 
ni kwel broo kwa nguvu ya zzt tabora mjin zito alikuwa kaisha jenga chama hadi ilikuwa ccm wakiitisha mkutano wao wananchi huzomea,mm na fikir ni muda wa zito kufikr kwa kina si lazma awe hapo cdm mimi mwnyewe kwa ss c mwanacdm tena maan nina iman ccm itashida uchaguzi ujao zito achane na hao wabuguz wapenda majungu hawatak democracia ya kweli awe km julias malema wa south kesho atakuwa mshindi
 
Back
Top Bottom