CHADEMA mmecheza karata vibaya sasa.....

CHADEMA mmecheza karata vibaya sasa.....

Hakika inatiya aibu iweje mahakama ilioniukumu halafu nikate rufaa tena mahakama hiyo isikilixe rufaa niliokata haiwezekani lazima iende kwenye mahakama ya juu zaidi ya ile ilioniukumwu ndio haki itatendeka haiwezekani kamati kuu imemuhukumu zito na wenzake halafu tena isikilize rifaa ya zito je baraza ku inakazi gani ndani ya cdm?
 
HUMU NDANI KUNA WATU WANASHANGAZA SANA, HIVI KAMA ASAADSYRIA3 anajua kuwa wanasheria wa chama ndo kesho wanatakiwa wakijibu huko mahakamani hayo mapingamizi na bila shaka kikao kitafanyika na labda nikwambie kuwa zzk hana lolote kama anaona,kuwa anaeza na umaarufu wake c aondoke kama walivyofanya vibaraka wake akina mwampamba na shoza? mbona anahangaika. halafu nimwambie kuwa hapo sasa ndo kajiharibia sana ndo kwanza atafukuzwa uachama.

Hivi nyumba yako ikiingiliwa na nyoka, mwehu ndo una hama au? au ukigombana na mkeo ili uonyeshe wewe ni kidume UNAMUACHIA NYUMBA, mwanaume wa ukweli ataangalia mambo mengi ikiwa ni pamoja na haki za watoto, ndo maaana ZZK kakwambia wztu wengi wana haki zao CDM na kuna waliowekeza fedha, maisha, walioachishwa kazi
 
Kwa mfano unaweza kushauriwa na illiterate aliyejijengea aura ya digrii outdated kuwa ni mtaalamu wa migogoro halafu ukikubali ushauri wa mtu huyo ambaye hajawahi kusuluhisha mgogoro hata wa ukoo utakua outdated.Zamani kwenye vikao vya au semina za watu wenye hulka hizi nilikua natoka nje.
maamuzi ya jaji leo uck mkuu hutalala kwa maumivu tatizo akili zinajuwa what they r doing not like u u will b used an thrown away like rubish
 
Niliwahi kushauri viongozi wa chadema na si mm hata viongozi wa juu ndani ya chadema mfano ni PROF BAREGU alitoa ushauri mzuri kwa viongozi wa juu pamoja na kamati kuu chadema kwamba suala la migogoro ni vema ingesuluhishwa mapema ili kuepusha vurugu ndani ya chama kwani kuna uchaguzi wa ndani ya chama, vilevile 2014 kuna uchaguzi wa serikali za mitaa, kisha 2015 uchaguzi mkuu.

Kuingia kwenye uchaguzi huku kuna migogoro bila shaka watu wanajua vita vya panzi ni neema kwa kunguru. unapokuwa mwanasiasa unatakiwa kufanya political calculations.

sasa hembu angalia.

sipendi kuingilia uhuru wa mahakama lakini kimsingi suala likishafika mahakamani hushukua mda mrefu kutatua mfano mzuri ni suala la mh KAFULILA NA MH AHMAD RASHID. hili bila shaka yoyote mpk 2015 litaleta damage kubwa ndani ya chama when u like or not but reality it is.

NAONA CHADEMA kama ni mchezo wa karata watakua wamelamba mavi.

Nawasilisha,

mbona mavi walishalamba kitamboooooooo
 
Mbalinga sio kila jambo linahitaji maamuzi magumu. Migogoro haijengi jamii hasa iliyo changa bali hubomoa hivyo CDM wawe makini tena sana.
 
Swala la kufukuzwa lipo pale pale,huyo msukule wenu anajichelewesha tu!
 
Hilo ndo anguko jidanganye et kuimarsha chama! chama kimekushinda ntakupa kura yangu et uongoze nchi na ukabila wote huu never!

Nchi hii tuna kenge wengi wa aina tofauti tofauti....tutawatafuta wanasayansi watoe majina kwa kenge hawa.
 
Chadema imesafisha chama so unaona shibuda ana adabu sasa hivi. Cdm inakwenda kwenye uchaguzi ikiwa safi. Zitto atakuwa mahakamani akipigania uanachama wake.
Vijana wamekuwa wapuuzi sana siku hizi.....ukimuona kijana anayetamba kuwa ana akili sana...fikiri mara mbili.

1) nchemba.
2) zitto
3) kafulila
4) david matayo
5) .....
 
Chadema inatakiwa kuchukua maamuzi magumu ya kumfukuza zzk maana anaonekana anatumiwa sana na ccm hivyo ili kuondoa haya yote zito atoke.
 
CDM ni gogo la Msalaka, nyoka na vichomi km ZZK lazima wavulumishwe! na uzuri wa moto wa msalaka unawaka mwanzo mwisho unamlika mpaka pale magogoni.
 
Mgogoro huu unamwathiri zaidi zitto na kuipaisha zaidi chadema!

maccm yanaona mpango wao wa kuua cdm umebuma baada ya kuona zzk anaelekea kufukuzwa na hakuna athali yoyote ambayo cdm itapata kwa kumfukuza zzk, wamemshauli kwenda mahakaman but what we know iwe jua au mvua zzk lazima afukuzwe...
 
tangu lini wewe ukaitakia heri cdm ? Tunalazimika kujibu kila utumbo humu ili kuweka mambo sawa , hatuwezi kuacha nzi hivi hivi tu ! Wanapotosha sana .
 
Back
Top Bottom