assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
mahakama ishapiga ugokoni suburi baraza kuu litaipiga kamati kuu za uso na mbowe kuchezea kichapo aeleze anahusika vp na mmbo ya totozAcha woga mgogoro huu unakomaza chama. Ni kipimo kizuri kama cdm inaweza kuchukua maamuzi magumu
mahakama ishapiga ugokoni suburi baraza kuu litaipiga kamati kuu za uso na mbowe kuchezea kichapo aeleze anahusika vp na mmbo ya totoz
mtajua tu kama n kukomaza chama au la na mm nawambia mnamuwekea urais mezan kwa LowasaAcha woga mgogoro huu unakomaza chama. Ni kipimo kizuri kama cdm inaweza kuchukua maamuzi magumu
Acha woga mgogoro huu unakomaza chama. Ni kipimo kizuri kama cdm inaweza kuchukua maamuzi magumu
mahakama ishapiga ugokoni suburi baraza kuu litaipiga kamati kuu za uso na mbowe kuchezea kichapo aeleze anahusika vp na mmbo ya totoz
Chadema imesafisha chama so unaona shibuda ana adabu sasa hivi. Cdm inakwenda kwenye uchaguzi ikiwa safi. Zitto atakuwa mahakamani akipigania uanachama wake.
chadema shakani kwani jamaa atazunguka nchi nzima yani utamu koleaBila kujali uamuzi wa Mahakama, ilishajulikana mapema kuwa atabaki Mbunge wa Mahakama kama Matata wa Mwanza.
chadema shakani kwani jamaa atazunguka nchi nzima yani utamu kolea
Niliwahi kushauri viongozi wa chadema na si mm hata viongozi wa juu ndani ya chadema mfano ni PROF BAREGU alitoa ushauri mzuri kwa viongozi wa juu pamoja na kamati kuu chadema kwamba suala la migogoro ni vema ingesuluhishwa mapema ili kuepusha vurugu ndani ya chama kwani kuna uchaguzi wa ndani ya chama, vilevile 2014 kuna uchaguzi wa serikali za mitaa, kisha 2015 uchaguzi mkuu.
Kuingia kwenye uchaguzi huku kuna migogoro bila shaka watu wanajua vita vya panzi ni neema kwa kunguru. unapokuwa mwanasiasa unatakiwa kufanya political calculations.
sasa hembu angalia.
sipendi kuingilia uhuru wa mahakama lakini kimsingi suala likishafika mahakamani hushukua mda mrefu kutatua mfano mzuri ni suala la mh KAFULILA NA MH AHMAD RASHID. hili bila shaka yoyote mpk 2015 litaleta damage kubwa ndani ya chama when u like or not but reality it is.
NAONA CHADEMA kama ni mchezo wa karata watakua wamelamba mavi.
Nawasilisha,
HUMU NDANI KUNA WATU WANASHANGAZA SANA, HIVI KAMA ASAADSYRIA3 anajua kuwa wanasheria wa chama ndo kesho wanatakiwa wakijibu huko mahakamani hayo mapingamizi na bila shaka kikao kitafanyika na labda nikwambie kuwa zzk hana lolote kama anaona,kuwa anaeza na umaarufu wake c aondoke kama walivyofanya vibaraka wake akina mwampamba na shoza? mbona anahangaika. halafu nimwambie kuwa hapo sasa ndo kajiharibia sana ndo kwanza atafukuzwa uachama.