Chadema Milanzisha kampeni kuisusia vodacom iliishia wapi?

commonmwananchi

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
3,377
1,954
Wana JF
Ni vema kukumbushana baadhi ya yanayojiri humu.
Vodacom kama shirika la mawasiliano walitakiwa kutoa vielelezo kuhusiana na kesi inayomhusu mh lema.mahakamani jambo ambalo walilitimiza kisheria.

Lakini ikazuka taharuki humu mitandaoni wafuasi wa chadema wakaanzisha kampeni ya susia chadema nchi nzima.

Sasa nauliza iliishia wapi hii au ndio ilikwama kama ukuta pia?
 
Kama wewe ni mfuatiliaji wa mambo utagundua Kashfa ya Bashite ilifunika mambo mengi sana. Ili-hit kwenye media kuliko suala lingine lolote kwa miaka ya hivi karibuni.
 
Wana JF
Ni vema kukumbushana baadhi ya yanayojiri humu.
Vodacom kama shirika la mawasiliano walitakiwa kutoa vielelezo kuhusiana na kesi inayomhusu mh lema.mahakamani jambo ambalo walilitimiza kisheria.

Lakini ikazuka taharuki humu mitandaoni wafuasi wa chadema wakaanzisha kampeni ya susia chadema nchi nzima.

Sasa nauliza iliishia wapi hii au ndio ilikwama kama ukuta pia?

Motto inaendelea,nenda kaulize Profit ya Vodacom ndipo utajua impact yake
 
Wana JF
Ni vema kukumbushana baadhi ya yanayojiri humu.
Vodacom kama shirika la mawasiliano walitakiwa kutoa vielelezo kuhusiana na kesi inayomhusu mh lema.mahakamani jambo ambalo walilitimiza kisheria.

Lakini ikazuka taharuki humu mitandaoni wafuasi wa chadema wakaanzisha kampeni ya susia chadema nchi nzima.

Sasa nauliza iliishia wapi hii au ndio ilikwama kama ukuta pia?
TBC nao walisusiwa,na walikuwa na kelele mingi kuliko wewe kwamba imeishia wapi?Hembu kawaulize wapo wapi sasa hivi TBC?Na wamechukua muda gani?
 
Ile imesitishwa na sasa imeanza nyingine ambayo inaitwa PAMBANA NA UBAGUZI WA KISIASA inayomhusu mkulu (Baba Jesica) ambaye ametoa matamshi yanayoligawa taifa alipokuwa anahutubia wabunge wa Umagambani pale ikulu ndogo Dodoma.
 
Wana JF
Ni vema kukumbushana baadhi ya yanayojiri humu.
Vodacom kama shirika la mawasiliano walitakiwa kutoa vielelezo kuhusiana na kesi inayomhusu mh lema.mahakamani jambo ambalo walilitimiza kisheria.

Lakini ikazuka taharuki humu mitandaoni wafuasi wa chadema wakaanzisha kampeni ya susia chadema nchi nzima.

Sasa nauliza iliishia wapi hii au ndio ilikwama kama ukuta pia?
Sasa hivi tunahitaji vyeti tuuu
 
Mm nna mpango wa kumtokea kada mmja wa Ccm nianze mahusiano naye vp italeta shida mkuu au heheheh

Ova

italeta shida sana mkuu,,

si unaona tu mimi nimeanza mahusiano na Halima Bulembo mpaka mwenyekiti wa CCM anamsema vibaya eti Halima ni msaliti.
Yani Halima kunipenda mimi imekua ni usaliti kwa chama chake.
 
Back
Top Bottom