KirilOriginal
JF-Expert Member
- Feb 13, 2012
- 2,161
- 1,147
Tukisema tukutane uwanja wa mpira ambao tuliujenga sote, maccm wameukwapua,
au tuende Ngarenaro tayari pamesiribwa, labda Soweto japo jina lake lina historia ya maangamizi tangu South Africa, napo AICC wamepewa red alarm kwamba wakikubaliana na CHADEMA kufanya mkutano pale basi wao na CDM lao ni moja. Makanisani na misikitini haifai...
Na siyo jiji la Arusha pekee, ni pote Tanganyika.
Sasa mali ya umma na ardhi isiyokuwa na mwenyewe ni ipi?
Ni barabara kuu/LAMI YA MAGARI
Tutafanyia mikutano yetu barabara kuu, hapa polisi itabidi mtoe maelekezo kwa madereva kubadili njia,
hapo ndo tutajua kuwa nani kaimiliki hiyo barabara manake kila tunapokwenda pamezibwa...
Ndo hivo.
kwa nini tusifanyia nyumbani kwa mtei mwaasisi wa chama chetu,
Mamluki,bwana utawajua tu nyumbani kwa Mtei,hahahahaaa kazi kweli kwelikwa nini tusifanyia nyumbani kwa mtei mwaasisi wa chama chetu,
Tukisema tukutane uwanja wa mpira ambao tuliujenga sote, maccm wameukwapua,
au tuende Ngarenaro tayari pamesiribwa, labda Soweto japo jina lake lina historia ya maangamizi tangu South Africa, napo AICC wamepewa red alarm kwamba wakikubaliana na CHADEMA kufanya mkutano pale basi wao na CDM lao ni moja. Makanisani na misikitini haifai...
Na siyo jiji la Arusha pekee, ni pote Tanganyika.
Sasa mali ya umma na ardhi isiyokuwa na mwenyewe ni ipi?
Ni barabara kuu/LAMI YA MAGARI
Tutafanyia mikutano yetu barabara kuu, hapa polisi itabidi mtoe maelekezo kwa madereva kubadili njia,
hapo ndo tutajua kuwa nani kaimiliki hiyo barabara manake kila tunapokwenda pamezibwa...
Ndo hivo.
Mamluki,bwana utawajua tu nyumbani kwa Mtei,hahahahaaa kazi kweli kweli
Chama Hicho cha WACHAGA kina nguvu kubwa ARUSHA na MOSHI na maeneo yenye MAKANISA
Mengi.
Naona unakuja kinyumenyume sijui unataka nini! Is just three days tangu nitoke kwenye kibano cha ban manake mccm alikuja kiduwanzi nikampa za macho,
Anyway kama ni kufanyia mkutano ndani ya nyumba tutafanyia Ikulu ya magogoni ile ni ofisi ya wote
siyo pango la wanyang'anyi kama lilivyo kwa sasa.
Chama Hicho cha WACHAGA kina nguvu kubwa ARUSHA na MOSHI na maeneo yenye MAKANISA
Mengi.
hahahaaaaaa! eti magogoni? pale hapafanyiwi mambo ya kihuni. utaitishaje mkutano magogoni halafu wanaohutubia ni wazinifu na wahuni? halafu pale hawaingii hovyohovyo isipokuwa kwa kibali maalum kama ilivyotokea wakati viongozi wa chadema walipoenda kutoa mawazo yao juu ya rasimu ya katiba mpya