CHADEMA, Mgogoro wa Ruzuku mikoani ni bomu la kulipuka

any way wakija watu wanaoongozwa na emotions hapa ujiandae kutukanwa ila kifupi ruzuku ya chadema kwa mwaka jana imetumika kugharamia maandamano na ule mkakati wa kuifanya nchi isitawalike.

Niliandika pia kuhusu hilo jambo la ruzuku za Chadema watu wakaja na hisia zaid na matusi,hapa jukwaan nadhan inatakiwa tujibizane kwa hoja sio kukimbilia huyu alieandika ni magamba au masalia,wengine hatuna chama,sasa naomba niseme wilaya zifuatazo toka mwezi wa sita mwaka jana hazina Ruzuku ILEJE,CHUNYA,KYELA,SONGEA MJINI,CHAKECHAKE,MAFIA,MASWA,NKASI,MBULU,DODOMA MJINI,KOROGWE hzo ni baadhi,mie sikatai wazo la kununua vyombo vya usafir ila je uenez wa chama usimame?chadema mnachofanya mnajizika wenyewewe kwan chama hakiend mbele kimesimama kwa ajili ya maamuz ya watu wachache,kuna mtu alileta hoja kwamba yeye jimbo lake lapata ruzuku nadhan alisema segerea sasa wengine wanapata wengine hapana au chadema ipo ya dar na wilayan?
 
nakumbuka hotuba ya jk kirumba mza akisema na mnukuu ruzuku haitoshi tafuteni njia nyingine ya mapato hii ilkuwa 2012
 
Back
Top Bottom