Waziri kivuli
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 2,987
- 3,451
Ashajitangaza kuwa mfu,sasa tutadeal vp na wafu?Walau angeweka kanyaraka hata kamoja kuback up imagination zake!Kumbuka huyo ni kiongozi mwandamizi wa Chadema, kaamua kuja kwa umma kumuanika DJ.
Ana stress,hivi hamjasoma game tu kuwa Mboww ni kisiki?Mmeshafanya hujuma zote bila mafanikio,mtaendelea kuhangaika sana!Ngoja aondoe kumbukumbu mbaya kwenye akili yake kwa kunufaisha wengine.
Hakuna kiongozi wa CHADEMA ambaye ni Mbunge analipwa mshahara, sio Mbowe tu.Kama Mbowe ana shida ya hela watu wanaoipenda chadema wako tayari kumchangia. Ccm kweli im3mbana.
Watu wengine ni wabaya Slaa yeye alihongwa ngapi hata akatoka?
Mbowe hapokei mshahara chadema.
Alihitaji fedha kwa ajili ya kampeni za election 2015. Au unafikiri chadema ni chama tawala inayoweza kubana wafanyi biashara ama serikali kuwalipia? Acha uwongo wako wewe msaliti Benson.
Ni ukeli mtupu kuwa kiongozi wa chadema inahitaji moyo siyo pesa.
Kwani unadhani vita yota hatuioni?
Hivi si ndio wewe siku chache zi'izopita ulileta uzi hapa kama umeamua kuwa mwanachama mfu?
Basi hayo mambo ya chadema waachie wanachama hai mkuu....
hutopungukiwa chochote!!
Si ndio furaha yako. Achana machozi ya kichawi.Napata hisia ipo siku Chadema itaachwa yatima.
Mipasho hiyo ilishachokwa. Weka unazoweza kutolea vielelezo. Hapa ni mahali hoja sio porojo.Mbowe haaminiki ni mhenga wa kupiga panga hata kumchunga huwezi ile ni Saccos yake wote walipo ofisini kwake ni wajuba wake hakuna anayeweza kumuuliza lolote
Weka vielelezo pleaseMbowe na mtonyo anaweza kukuua kabisa Kama alivyofanya kwa Chacha Wangwe