CHADEMA: Mbowe atafuta wa kumrithi uenyekiti

no that will be a wrong move, dr slaa ni bora awe katibu mkuu maana ndiye mtendaji mkuu, hakuna wa kuziba hiyo nafasi kwa sasa kama hatatoka hapo dr slaa nina maana anaushawishi mkubwa kwa wapiga kura atumike hapo kwanza

yaan chadema haina viongozi kiasi kwamba mnadiriki kusema hakuna wa kuziba nafasi yake halafu ndo mnataka tuwepe nchi ndio maana samweli six alisema chadema kuna mtu mmoja tu naye ni slaa mkanzaa kumtukana chadema kweli ina wavuta bangi tu hamna viongozi.
 
Jamani twende mbele turudi nyuma, katika vyama vya upinzani ni cdm pekee wameonyesha democratia ya kweli....tangu mtei, makani , na sasa mbowe. Na anayekuja sijui ni nani ila naomba Mungu awe tundu antipas lissu.
 
Ccm kuna vibaka hamna viongozi
 
Kwanini atafute yeye wa kumrithi wakati tayari kipo kichwa kinachojiamini na chenye nia na uwezo ambacho kimeshataka hiyo nafasi.
Si wakikasimishe tu kwa kuwa Yuko tayari ameonesha nia na uwezo wa kushika nafasi hio?
 
Chama ni cha wananchi. Muda wa kuumiza kichwa kwa ajili ya mwenyekiti wa chama anautoa wapi. Si kazi yake. Wanachama tutaamua. Yeye ahangaike na bilz na hotel na tanzania daima. Huku makamada tutachagua
 
Kila la heri kamanda Mbowe.You will be remember for what you have been done
 



Mbowe kuridhiwa ni sawa kabisa lakini nashauri aridhiwe baada ya uchaguzi wa 2015, kwani mbowe na Dr. slaa ni nguzo kubwa sana kwa chadema na wasiyopenda CDM isonge mbele (hawa ni ma-ccm) wanataka kuwatengenasha Mh. Mbowe na Dr. Slaa ili kusambaratisha chama. Mkubali msikubali; mkitaka CDM iendelee na ichukue dola 2015 ni lazima hawa viongozi wawili waendelee kubakia kwenye nafasi zao yaani Mh Mbowe na Dr. Slaa waenedelea na nafasi walizokuwa nazo. Pili ni muhimu sana Dr. Slaa kusimama kama mgombea wa urais kupeperusha bendera ya chama uchaguzi ujao, Mimi sina wasiwasi wa CDM kushinda uchaguzi ujao kwa upande wa urais na ubunge ila nina swali; kama tusipopata katiba mpya kabla ya uchaguzi, CDM mmejipangaje ili ipatikane tume huru na ya haki ya uchaguzi mwaka 2015? Hili ni swala muhimu sana kulifanyia kazi kwani tume hii ya JK haiwezi kutenda haki, kitakachotokea ni wizi wa matokeo ya kura na mwisho wa siku kwakuwa watanzania haitaki tena ccm ni vita itatokea tena mbaya kuliko ili iliyotokea kenya 2007. Mungu endelea kuwapiga upofu ma-ccm. amina
 
Nadhani DR. KITILA MKUMBO, PROF. SAFARI na MAKAMU MWENYEKITI WA SASA ni kati ya wanaoweza kufikiriwa kwa nafasi hiyo.

 

john shibudaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Kwanini aumize kichwa kutafuta mtu, kifungu cha ngapi katika katiba ya CDM inayosema Mbowe akichoka uenyekiti amchague amtakaye. CDM matatizo matupu, jadiri hilo. Katiba ya CDM inasemaje, kama inasema Mwenyekiti lazima atoke kasikazini Mbowe ataumiza kichwa amwachie Mchagga au Mu-Arusha safari hii la sivyo kama katiba inaruhusu kila mwanachama mwenye sifa fulani agombee uenyekiti kwanini aumize kichwa. Nina mashaka na Chagan Development Movement (CHADEMA) na Movement for Chagan/Christians-(M4C)
 
Hivi inakuwaje? Tuntemeke yupo banned kamainavyoonesha kwenye profile yake,sasa hii ameiwekaje hapa?au huyu jamaa amewazidi akili it wa jf.?au ndiye yule aliyenunua mtambo wa kuchunguza simu za watu
 
Kila la heri kamanda Mbowe.You will be remember for what you have been done

Mkuu rudi tena utueleze ulitaka kusemaje! Acha haya mambo yako ya you will be remember! Unanielewa mkuu?
 
Uchaguzi wa Taifa Chadema upo mbioni kufanyika , Nasema kwamba kati ya Mh, Mbowe, Dr Slaa, Zitto kabwe na wote watakao jitokeza kugombea Umwenyekiti wa Taifa CHADEMA. Nazani kuna mmoja tu ambae anaweza na ambae amesubutu kuongoza na kuisema serikari iliyopo madarakani naye ni Mh, MBOWE tu,
Nampa kura ama 100% za kuwa mwenyeki wa Taifa wa CHADEMA,
Mbowe ni jembe tena jembe Liitwalo jembe Ulaya kwa wakulima stadi wanalijua jembe ulaya,
Mimi , Mbowe namuunga mkono awe mwenyekiti wa Taifa na Dr Slaa aendele kuwa Katibu Mkuu.
Kama mbowe hatashinda na kuwa Mwenyekiti wa Taifa na Dr slaa kuwa katibu basi CHADEMA imekwenda
na maji.Lazima tuwe na Makamanda kama mbowe Na Dr Slaa , vinginevo tutkuja kuwa kama wale walojiita wapinzani
Akina Mrema na vyama vyao.
Mbowe mwenyekiti na Slaa Katibu Mkuu. Natumaini wengi wetu tunajua Umuhimu wa MH Mbowe na Dr Slaa, umewafanya
hao CCM kutoamini na kuishiwa nguvu kwani mwanzoni walikuwa wanasema Upinzani ni Vyama vya Msimu tuu ila kwa sasa
Ubunifu na mipango ya hawa viongozi ni dhahili kabisa CHADEMA 2015 Tunachukua Nchi chini ya Rais wetu Dr Slaa na Mwenyekiti
Mh mbowe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…