kaka darasa la pili nini? ms?sokomoko?? kwa stahili hii hata hizo satanic verses zenu itakuwa kazi kuziandika! pole sana!Chadema tunawshukuru wa kupigia kelele ufisadi lakini una kitu kienishangaza .
Lakini kuna issue hii ya Nishati imetokea mmekaa kimya au kwa kuwa imezishwa na magama basi mnaona si hai na wajibu wenu kuindeleza.
Ukimya wenu unaweza kuwafanya watu wahisi kuwa waunge wenu na wengine wa upinzani hasa ndio target ya kupewa hizi pesa zinazoitwa za "mawasiliano"( Ni rushwa).
Kama zipo na zimepokelwa za wizara nyingine bora mjisafishe mapema kabla upepo haujabadilika. .....
Mpaka sasa Huyo jairo a watendaji wengina waliogaziwa kutuma hizo pesa ado hata haja hojiwa nakutoe amelzoya awali polisi wala Takukuru na. Nyie mko kimya. kwa nini.?? Teni pess realease ya kueleza msimamo wenu.
Linapokuja suala la Ufisadi hata kama limeibuliwa na mwanamagamba likamateni Hakuna hakimiliki kwenye vita ya UFISADI la sivyo...................
Nawasilisha
Nadhani anahitaji kufanya editing.Hii hapo chini....kaka darasa la pili nini? ms?sokomoko?? kwa stahili hii hata hizo satanic verses zenu itakuwa kazi kuziandika! pole sana!
Better now?Mtazamaji said:Chadema tunawashukuru kwa kupigia kelele ufisadi lakini kuna kitu kimenishangaza .
Kuna issue hii ya Nishati imetokea mmekaa kimya au kwa kuwa imeanzishwa na magama basi mnaona si hai na si wajibu wenu kuiendeleza?
Ukimya wenu unaweza kuwafanya watu wahisi kuwa wingi wenu na wengine wa upinzani hasa ndio target ya kupewa hizi pesa zinazoitwa za "mawasiliano"( Ni rushwa).
Kama zipo na zimepokelewa za wizara nyingine bora mjisafishe mapema kabla upepo haujabadilika. .....
Mpaka sasa Huyo jairo na watendaji wengine walioagizwa kutuma hizo pesa bado hata haija hojiwa nakutolewa maelezo ya awali polisi, wala Takukuru. Mbona Nyie mko kimya?kwa nini.?? Toeni pess release ya kueleza msimamo wenu.
Linapokuja suala la Ufisadi hata kama limeibuliwa na mwanamagamba likamateni Hakuna hakimiliki kwenye vita ya UFISADI la sivyo...................
not yet...inaelekea na wewe umejazwa upupu wa ilimu ahera...! nilikuwa napita tu!! enjoy!Nadhani anahitaji kufanya editing.Hii hapo chini....
By Mtazamaji
Chadema tunawashukuru kwa kupigia kelele ufisadi lakini kuna kitu kimenishangaza .
Lakini kuna issue hii ya Nishati imetokea mmekaa kimya au kwa kuwa imeanzishwa na magama basi mnaona si hai na si wajibu wenu kuiendeleza.
Ukimya wenu unaweza kuwafanya watu wahisi kuwa wingi wenu na wengine wa upinzani hasa ndio target ya kupewa hizi pesa zinazoitwa za "mawasiliano"( Ni rushwa).
Kama zipo na zimepokelewa za wizara nyingine bora mjisafishe mapema kabla upepo haujabadilika. .....
Mpaka sasa Huyo jairo na watendaji wengine walioagizwa kutuma hizo pesa bado hata haija hojiwa nakutolewa maelezo ya awali polisi, wala Takukuru. Mbona Nyie mko kimya?kwa nini.?? Toeni pess release ya kueleza msimamo wenu.
Linapokuja suala la Ufisadi hata kama limeibuliwa na mwanamagamba likamateni Hakuna hakimiliki kwenye vita ya UFISADI la sivyo...................
Better now?
Naona CDM wanatumia falsafa ya "ndugu wakigombana" Ni vyema CDM waktueleza wao watanfanya ama wangefanya nini.Si vibaya kama wako kimya kwasasa coz ni vyema tu "kimkakati"
However eventually ni muhimu watupe ideas kwamba wao wangefanyaje ama watafanyaje ikiwa watapewa nchi.
Simple, hata wao hawawezi kutatua tatizo hili wakipewa nchi. Au wamepigwa ganzi ghafla!?
kaka darasa la pili nini? ms?sokomoko?? kwa stahili hii hata hizo satanic verses zenu itakuwa kazi kuziandika! pole sana!
not yet...inaelekea na wewe umejazwa upupu wa ilimu ahera...! nilikuwa napita tu!! enjoy!
Haya wahi!not yet...inaelekea na wewe umejazwa upupu wa ilimu ahera...! nilikuwa napita tu!! enjoy!
Wewe mdanganye tu mwenzako aanzishe maandamano ya nchi nzima aone moto wake. Atapigwa jela ya maisha na asahau kabisa kitu kinachoitwa siasa. Huu ushauri mnapaswa kuumalizia hukohuko vijiweni, mtakuja kujuta CHADEMA.
Nataka nilianzishe maana, yeyote atakaye lianzisha tunachukua hakuna kitu sidhani kama kuna askali ana akili yake anaweza kulinda huu uozo.Lakini Slaa aliwakata kuipa CCM kura hamkusia kabisa.
Nilijua tu haya ni mawazo ya mtoto. asante kwa kujitambulisha kuwa ndio umemaliza chuo jana. bado utineja unakusumbua.Sijawahi kushuhudia kipindi ambacho watanzania wamechoka,kata tamaa and wana matatizo mengi kama hiki! People are tired of CCM AND GOVERMENT YA JK! Watu wengi wapo tayari kwa lolote including me! Wazee huku mtaani nayashuhudia matatizo ambayo hayaelezeki! Kuna mdada namfahamu jana kapokea mshahara shs.15,000 per month, kisa bosi haingizi fedha coz of umeme! Mimi mwenyewe jana ndo nimemaliza elimu ya juu,mfukoni nimebakiwa na elfu 3 tu,kwetu ni songea nauli ni 40000,mother nimeshampiga mizinga hadi naona aibu, ajira sitegemei kupata leo wala kesho! Slaa watu wamegive up!! Mbona umetulia sana dr.!? Hivi huioni hii opportunity? Au unawaogopa ccm? Au wimbo wa amani umekuingia na wewe? Amani ni heroine and cocaine wanayoitumia ccm kuwalevya watu, pls slaa uckubali nawe kulewa! Zile harakati zako za mwanzoni naona zimepungua sana,au unaumwa? Hawa ccm siyo wastaarabu so huitaji kuwaendea kistaarabu!! Vipi mbowe? We need ukurupukaji wako, ccm ukiwaendea kislowly wataendelea kutuumiza! PLS SLAA START THE BOMB! ITISHA MAANDAMANO NCHI NZIMA BABA TUWAONDOE HAWA MAJAMBAZI! Me naamini kama kuna mtu anaisapoti ccm basi ni chizi au anajifanya chizi! SLAA WHY?WHY?WHY....U FAIL TO USE THIS OPPORTUNITY???WHY? Lianzishe bana!!
HIvi vingine ndio kwanza havijajua hata kujinunulia wenyewe maji ya kuoshea wanaanza chokochoko, mngejua tumetoka wapi haya ya leo mngeyaona ni neema kubwa sana. Tanzania ndio ilikuwa hivi miaka 25 nyuma?
Kijana uliza wazee wako.