Chadema mbona imevurunda?

Chadema mbona imevurunda?

Makusudically

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2014
Posts
2,215
Reaction score
1,240
Kwa mujibu wa taarifa zisizo rasmi inaonekana Chadema imefanya vibaya zaidi kuwahi kutokea katika maisha yake, hii ni dhahili Watanzania wamechoshwa na Siasa za Chadema za:-
>Kupinga kila kitu
>Kumpinga JPM
>Kudharau yanayofanywa na Serikali ya
awamu ya 5
>Kuwafanyia figisu wabunge wake
>Kuwachangisha Wabunge 500,000 hadi
1,000,000
>Kumficha Dereva wa Lisu
> Kumjeruhi Lisu
> Mbowe kung'ang'ania kiti milele
>Mbowe kuendekeza ukanda
> Matumizi ya ruzuku kutokuwa Wazi
> Mbowe kuwazuia Wabunge kuchangamaa na
wenzao wa CCM na kuwaita wale
wanaochangamana kuwa wasaliti
>Chadema kutoeleza bayana Sera zake kwa
wapiga kura, kwamba kero zittatuliwaje
endapo watachaguliwa.
HALI ITAKUWAJE 2020 ???
 
Chama kilicho chokwa ni kile kinachotumia dola kubaki madarakani, huwezi kusema tushindane resi za magari. Halafu wewe gari lako kuna petroli na upepo wakati unao shindana nao matairi yao umeyatoa upepo na hayana petroli. Mshindani wa kweli anapendelea iwe fair play


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
DAIMA HUWA NAWAZA KAMA ITATOKEA FREE AND FAIR ELECTION BASI BILA SHAKA WAPINZANI WATASHINDA.
Ila tunapozidi kuelekea sidhani kama itakuja tokea huo uchaguzi huru na wa haki.Zaidi nayaona ya Mugabe,Kurunzinza na Mu7 yakija kutokea na kwetu
 
Chama kilicho chokwa ni kile kinachotumia dola kubaki madarakani, huwezi kusema tushindane resi za magari. Halafu wewe gari lako kuna petroli na upepo wakati unao shindana nao matairi yao umeyatoa upepo na hayana petroli. Mshindani wa kweli anapendelea iwe fair play


Ndukiiiii ‍♂️‍♂️‍♂️
Sababu ulizotoa zinafaa zitolewe na mtu aliyetoroka Milembe, dola ipi iliyotumiwa na CCM ? je Mbowe, Mnyika, Lema, Sugu n.k. Je waliposhinda dola lilikuwa wapi ? Mkishindwa inakuwa Dola, mkishinda Uchaguzi ni huru na haki. Huu ni Upumbavu na Urofa
 
Makusudically ungeuliza bathroom iko wapi pa kwenda kuachia huu uchafu wako


Pumbatu mtoa maada
Wajinga kama mleta mada daima wataendelea kuwepo kwenye tawala zilizofitinika hapa duniani
Siku zote huwa tunakushauri humu jf kuwa akilizako usiziache nyuma unapokimbilia kuandika.Namshukuru Mungu hakunipa akili kama hizi
Naona mnajitekenya na kucheka
Nyani Ngabu Ndio hawa unao maanisha??
 
uzuri.data za hali ya uchumi HAZIDANGANYI.
tukutane MADUKANI.
na SHELI.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom