sikongefdc
JF-Expert Member
- Oct 18, 2017
- 1,610
- 2,158
Imagine Sugu ndio waziri TAMISEMI, nchi si itakua kama genge la wanywa mbege?
Unapotibu jipu usiwe na huruma!Rubbing salt to the wound.
HahahahaNyani Ngabu Ndio hawa unao maanisha??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si kidogo.JF tungekua karibu ukute tushapasuanaa
Sindano zinauma[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Pumbatu mtoa maada
Kweli kabisaSiku zote huwa tunakushauri humu jf kuwa akilizako usiziache nyuma unapokimbilia kuandika.Namshukuru Mungu hakunipa akili kama hizi