CHADEMA mbona hamueleweki?


we ulitaka chadema wafanane na Rais wakati chadema inaangalia uhalisia ni wapi pako sawa kwa mtazamo wao. wewe huwezi kuwapangia cdm wapi waunge mkono, kwanini usimshangae Rais kumpenda mpinzani wa nnje wakati mpinzani wa nchini mwake anakamata kila siku na kusweka ndani siku 7 afu anatoa kibali aachiliwe hana makosa????
 

Siasa za nje ni tofauti za siasa za ndani ndugu Petro.

Je umejiuliza ni kwanini CCM na hasa Rais Magufuli alimuunga mkono Raila Odinga ambaye ni mpinzani na si mtawala? Je inamaanisha Magufuli anataka upinzani Tanzania ushinde 2020?
 

Unalipwa pesa ngapi na upande wa pili?? Kwa mtu anayeelewa political climate ya Tanzania kwa sasa hapaswi kuuliza maswali ya kitoto kama yako. Usidhani wapinzani hawajui kinachotafutwa na utawala wa sasa, wananjua na ndo maana wako makini ili kuepusha vijana wengi kuishia gerezani.
 
Ni ujuha kudhani hivyo! Waliopoteza network ni wewe na Familia yako! Hivi mwaka 2015 Odinga alimuunga Mkono Nani? CCM au Chadema? Alisahau 2013? Alisahau kuwa yeye ni Mpinzani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu issue ya mtoa mada iko sahihi. Kwenye uchaguzi wa Kenya mwaka 2012 chadema walimuunga mkono odinga, Chadema hawatueleza lini walitengua uhusiano wao na upinzani na wakaunga mkono watawala wa kenya.

Tatizo ninaloliona kwa sasa ndani ya chadema ni kuogopana, nadhani aliyeanzisha, uhusiano sio chadema kama chama, bali ni utashi wa EL ambaye kauli yake ndani ya chadema ni sera rasmi ya chama.

Mpinzani kuunga mkono chama tawala, haiingi akilini .
.
 
Hivi ni sheria ipi inayosema kwamba chama cha upinzani hakiruhusiwi kuwa na urafiki na chama tawala? Hii sheria ilitungwa wapi na lini!? Acha kujichanganya na kukurupuka.

No, wapinzani waungane wenyewe dhidi ya vyama tawala ili nao wawe watawala.
 
Hajitambui huyu "Mwanasheria msomi"

 
Chadema ni wangu kama zilivo nguo zangu ila kwa hili sto waunga mkono ,tusiwe ni watu wa ajabu ajabu wenye siasa za kukomoana kiasi hikii ,kwa jambo lenye manufaa ya kiinchi isiwe shida kufanya ushindani ila c kukomoana,et kwa kua mkuluu ana sapoti upinzani wa sehemu fulani na sisi tuna sapoti mrengo wa kulia -izi si siasa !!!!!!

Huu ni kusto jielewa leo katka post zote za watu wa cdm a k a makamanda niliona post zao zenye kusherekea ushindi ambao wakenya wana tashwishi nao, tungesubiri watoe matokeo na tuone kiukweli hayana mtu yoyote kulalamika kama vile kwa kagame hapo tu seme hongera ila ,post zetu zilikua niza kufurahika kwa wale ambao wana umia haki haikutendeka,

Leo ndo naamini kua hata cc hatukuonewa katika chaguzi ,tungeonewa tusingepost na kufurahikia tukio la kenya lenye utata ,mzimu huu utakuja kuwasumbueni 2020,kwama ni wana demokrasia acheni kushabikia lawama -swali kwa wana chadema wote humu jamvini, africa vyama tawala toka lini vikawa na chaguzi za uhuru na haki
 
Hivi ni sheria ipi inayosema kwamba chama cha upinzani hakiruhusiwi kuwa na urafiki na chama tawala? Hii sheria ilitungwa wapi na lini!? Acha kujichanganya na kukurupuka.
Ni jambo la kimantiki tu. CHADEMA wamekurupuka.
 
mpiga dili anachojali maslahi haeleweki msimamo wake
 
Mbona ilishaelezwa? Kwa nini kuwalisha watu maneno? Usipotoshe watu, Raila aliungwa mkono na cdm 2013, ila yeye 2015 akawasaliti CDM kwa kumuunga mkono JPM na CCM, ni mpumb.avu wa mwisho atakayeuliza maswali km haya au kusema haya maswali yako sahihi! Kama hujui it is wise to shut up!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, Jubilee ndiyo CCM ya Kenya.
Hapana, unakosea, at least ungejua siasa za Kenya usingeandika hivyo.

Kuna wakati sera na itikadi vinawaleta wanasiasa karibu na kuna wakati vinawaweka mbali, lakini kwenye siasa za Kenya personalty matters as well. Hivi unajua yafuatayo? :-

1) Kuwa Mwaka 2002 Uhuru Kenyatta alikuwa anagombea dhidi ya Mwai Kibaki na Raila Odinga?

2) Halafu baadaye mwaka 2007/08 Uhuru na Kibaki wakawa pamoja na Kibaki akashinda ngwe yake ya pili ya Urais! Lakini mwaka huo huo William Ruto (Makamu wa sasa wa Uhuru) yeye alikuwa yuko na Raila.

3) Ukija Mwaka 2013 Ruto akaungana na Uhuru na wakamshinda Raila, kama ilivyo sasa kwenye kwenye uchaguzi 2017.

Nafikiri Chadema wanaeleweka lakini wewe ndio huelewi.
 
Wewe ni Moja ya watu mizigo kwa hili Taifa! Kwa akili yako unadhani anakomolewa JPM! Unasahau 2013 CDM walimuunga mkono Odinga na ODM yake, Kisha 2015, yeye Odinga akawageuka Cdm na kuunga mkono JPM na CCM! Leo unataka CDM wafanyeje? It is wise to shut up if you don't know!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…