CHADEMA mbona hamueleweki?

CHADEMA mbona hamueleweki?

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,346
Reaction score
26,138
Mwaka 2016,wakati wa uchaguzi wa kule nchini Ghana, nyinyi CHADEMA mlikuwa mkimuunga aliyekuwa mgombea wa Upinzani, Rais wa sasa wa Ghana Mhe. Nana Akufo-Addo aliyekuwa akichuana na Rais wa wakati huo, Mhe. John Dramani Mahama. Kwakuwa wote mlikuwa wapinzani, uungaji wenu mkono ulikuwa unaeleweka.

Mwaka huu, katika uchaguzi wa Kenya, CHADEMA mmemuunga mkono waziwazi Rais wa sasa wa Kenya na mgombea wa Jubilee Mhe. Uhuru Jomo Kenyatta. Ndiyo kusema, mmeunga mkono chama tawala ili kiendelee kutawala kule nchini Kenya. Mpinzani kuunga mkono chama tawala, ambacho nchini mwake anapambana kukiondoa madarakani, ni jambo la kustaajabisha.

Mwanachama wenu na Mjumbe wa Kamati Kuu, Ndugu Edward Ngoyai Lowassa amejitokeza mubashara jukwaa la Jubilee kukipigania chama tawala Kenya ili kiendelee kutawala. Kama Rais Uhuru Kenyatta atashinda tena, naye atapanda jukwaa la CHADEMA mwaka 2020 kuwanadi? Imekuwaje hadi nyinyi wapinzani muunge mkono chama tawala?

Tuamini kuwa hata Tanzania nyinyi CHADEMA mnazuga tu kupambana na chama tawala CCM huku mkiwa mnapenda CCM iendelee kuongoza? Kwakweli, CHADEMA hamueleweki kirahisi katika hili!
 
..kwenye nchi za wenzetu ambako demokrasia zao zimekomaa kuna VYAMA VYA SIASA.

..wenzetu hawana siasa changa za chama tawala vs chama upinzani.

..Chama kilichoshinda uchaguzi Ghana kilikuwa madarakani wakati wa Raisi John Kuffour.

..Raisi wa Ghana wa sasa hivi Nana Ado alijaribu kumrithi John Kuffour lakini akashindwa.

..CDM wanapaswa kuwa na VYAMA RAFIKI bila kujali vyama hivyo viko madarakani au la.

.
 
Mwaka 2016,wakati wa uchaguzi wa kule nchini Ghana, nyinyi CHADEMA mlikuwa mkimuunga aliyekuwa mgombea wa Upinzani, Rais wa sasa wa Ghana Mhe. Nana Akufo-Addo aliyekuwa akichuana na Rais wa wakati huo, Mhe. John Dramani Mahama. Kwakuwa wote mlikuwa wapinzani, uungaji wenu mkono ulikuwa unaeleweka.

Mwaka huu, katika uchaguzi wa Kenya, CHADEMA mmemuunga mkono waziwazi Rais wa sasa wa Kenya na mgombea wa Jubilee Mhe. Uhuru Jomo Kenyatta. Ndiyo kusema, mmeunga mkono chama tawala ili kiendelee kutawala kule nchini Kenya. Mpinzani kuunga mkono chama tawala, ambacho nchini mwake anapambana kukiondoa madarakani, ni jambo la kustaajabisha.

Mwanachama wenu na Mjumbe wa Kamati Kuu, Ndugu Edward Ngoyai Lowassa amejitokeza mubashara jukwaa la Jubilee kukipigania chama tawala Kenya ili kiendelee kutawala. Kama Rais Uhuru Kenyatta atashinda tena, naye atapanda jukwaa la CHADEMA mwaka 2020 kuwanadi? Imekuwaje hadi nyinyi wapinzani muunge mkono chama tawala?

Tuamini kuwa hata Tanzania nyinyi CHADEMA mnazuga tu kupambana na chama tawala CCM huku mkiwa mnapenda CCM iendelee kuongoza? Kwakweli, CHADEMA hamueleweki kirahisi katika hili!
Huwaelewi makamanda wenzako?
 
Kwa sababu Raila Odinga siyo Mpinzani.ANgekuwa mpinzani angekuwa wa kwanza kumuonya rafiki yake namna anavyowafanyia wapinzani wake kwa maana hata kule kwao ni mpinzani.

Sasa hakuonyesha any sympathy towards wapinzani "Chadema" why should Chadema support Raila Odinga?Nategemea utawaelewa Chadema
 
Mwaka 2016,wakati wa uchaguzi wa kule nchini Ghana, nyinyi CHADEMA mlikuwa mkimuunga aliyekuwa mgombea wa Upinzani, Rais wa sasa wa Ghana Mhe. Nana Akufo-Addo aliyekuwa akichuana na Rais wa wakati huo, Mhe. John Dramani Mahama. Kwakuwa wote mlikuwa wapinzani, uungaji wenu mkono ulikuwa unaeleweka.

Mwaka huu, katika uchaguzi wa Kenya, CHADEMA mmemuunga mkono waziwazi Rais wa sasa wa Kenya na mgombea wa Jubilee Mhe. Uhuru Jomo Kenyatta. Ndiyo kusema, mmeunga mkono chama tawala ili kiendelee kutawala kule nchini Kenya. Mpinzani kuunga mkono chama tawala, ambacho nchini mwake anapambana kukiondoa madarakani, ni jambo la kustaajabisha.

Mwanachama wenu na Mjumbe wa Kamati Kuu, Ndugu Edward Ngoyai Lowassa amejitokeza mubashara jukwaa la Jubilee kukipigania chama tawala Kenya ili kiendelee kutawala. Kama Rais Uhuru Kenyatta atashinda tena, naye atapanda jukwaa la CHADEMA mwaka 2020 kuwanadi? Imekuwaje hadi nyinyi wapinzani muunge mkono chama tawala?

Tuamini kuwa hata Tanzania nyinyi CHADEMA mnazuga tu kupambana na chama tawala CCM huku mkiwa mnapenda CCM iendelee kuongoza? Kwakweli, CHADEMA hamueleweki kirahisi katika hili!

Tafuta speech ya Mbowe alitoa ufafanuzi kuhusu hili akiwa Tanga.

Pia unamaanisha tukimuunga mkono mpinzani leo, alafu kesho akiingia madarakani tunapaswa kuwa adui yake??
 
Sijui hasa mahali pailipo kutatiza regarding the issue of Uchafuzi in Kenya.
1. Ni Chadema au Lowassa ndio walio unga mkono Kenyatta kuendelea kubakia madarakani?

2. Kwenye uchaguzi uliopita ambao ulimwingiza Kenyatta madarakani, unajua kua ndani ya ccm kulikua na mgawanyo? Rais wetu mpendwa alimuunga mkono Odinga but Kikwete was tofauti; sijui hilo liliashiria nini? Je CCM wenyewe kwa wenyewe walikua wanapingana au yalikua ni mapenzi ya mtu kwa mtu na sio mapenzi ya chama kwa mtu?

3. Hivi urafiki wa Odinga na mkulu wetu unadhani bado upo au uliisha kufa?

Naomba pia unikumbushe kauri ya any senior official wa Chadema kuhusu uchaguzi huo wa Kenya. Kama hakuna then nashawishika kuamini kua hilo jambo la kumuunga mkono Kenyatta may be ni la Lowassa na sio Chadema.

Nakupongeza kwa kitu kimoja; wengi wa watu humu ndani husifia hata visivyo sifika tu kwasababu wana vyama vyao but wewe umekua unakosoa na kupongeza panapo stahiri, kwa mtazamo wangu ni kwamba umedhihirisha kwamba wewe ni MSOMI usiefata mahaba ya vyama.
 
Mwaka 2016,wakati wa uchaguzi wa kule nchini Ghana, nyinyi CHADEMA mlikuwa mkimuunga aliyekuwa mgombea wa Upinzani, Rais wa sasa wa Ghana Mhe. Nana Akufo-Addo aliyekuwa akichuana na Rais wa wakati huo, Mhe. John Dramani Mahama. Kwakuwa wote mlikuwa wapinzani, uungaji wenu mkono ulikuwa unaeleweka.

Mwaka huu, katika uchaguzi wa Kenya, CHADEMA mmemuunga mkono waziwazi Rais wa sasa wa Kenya na mgombea wa Jubilee Mhe. Uhuru Jomo Kenyatta. Ndiyo kusema, mmeunga mkono chama tawala ili kiendelee kutawala kule nchini Kenya. Mpinzani kuunga mkono chama tawala, ambacho nchini mwake anapambana kukiondoa madarakani, ni jambo la kustaajabisha.

Mwanachama wenu na Mjumbe wa Kamati Kuu, Ndugu Edward Ngoyai Lowassa amejitokeza mubashara jukwaa la Jubilee kukipigania chama tawala Kenya ili kiendelee kutawala. Kama Rais Uhuru Kenyatta atashinda tena, naye atapanda jukwaa la CHADEMA mwaka 2020 kuwanadi? Imekuwaje hadi nyinyi wapinzani muunge mkono chama tawala?

Tuamini kuwa hata Tanzania nyinyi CHADEMA mnazuga tu kupambana na chama tawala CCM huku mkiwa mnapenda CCM iendelee kuongoza? Kwakweli, CHADEMA hamueleweki kirahisi katika hili!

Naamini jibu unalo ila unataka mjadala kidogo.

Kwa sasa Chadema wamo kifungoni,kamatakamata,zuio la mikutano,bungeni na kwingineko.

Chadema wanaamini ya kuwa anayesababisha yote haya ni JPM na pia wanajua kuwa JPM ni rafiki wa Raila.

Kwa busara ni kuwa si lazima umpinge rafiki wa adui yako lakini kuna wakati inabidi umpinge rafiki wa adui yako,na ndicho wanachofanya CHADEMA!!!!!!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom