CHADEMA Mbeya inashangaza kweli

CHADEMA Mbeya inashangaza kweli

Mwanah

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
353
Reaction score
101
Wakati chadema wakifukuzwa kwenye nyumba waliyopanga kuwa ofisi ya mkoa maeneo ya forest jirani na mama land hotel. Sugu wakati wa kura za maoni ubunge mbeya mjini aliwadanganya wanachama wote kuwa akishinda iwapo watamchagua kuwa mgombea kwa tiketi ya chadema KATIKA UKUMBI WA KIWIRA MOTEL MWAKA 2010 atafanya mojawapo hili. Atatoa shilingi laki tano kila kata na kama akishindwa kupata hera basi yupo tayari kufanya shoo yoyote atamwita msaaniiyeyote washirikiane alimradi afanye shoo ipatikane shilingi milioni 18 ili kila kata ipate 500000 ikumbukwe kuwa mbeya mjini ina kata 36. Ajabu nikuwa ofisi ya mkoa imefungwa kwa kukosa pango na ya wilaya imehamishwa kutoka maeneo ya mama john mbeya kwa kushindwa kulipa kodi mpaka maeneo ya sinde pembeni kidogo ukilinganisha na ilipokuwa barabarani mamajohn na ofisi za kata kibao zinadaiwa mbunge kakaakimya na hakuna hata ofisi au kata moja ambayo imepewa hiyo laki tano wala laki moja na muda unazidi kwenda 2015 si mbali sana chonde tusije poteana sugu na kulekea magamba kufaidi sipendi itokee hii. Mbunge timiza ahadi yako ndani ya chama. Tusije tukakutema tunaandika haya kwa kuwa ndani ya chama hakuna demokrasia ya kweli ukisema unaanza kuandamwa na mwenyekiti mwambigija anyependa kuabudiwa kama mungu.wakati anatisha kwa ufuska.MBUNGE ALIKWENDA MBALI KWA KUMSHANGAA MPESYA ALIKUWA MBUNGE WA WAKATI KWA TIKETI YA CCM KUWA ANATEMBELEA GARI LA KIFAHARI WAKATI JAMII INATESEKA KWA UMASIKINI YEYE AKIPITA ATAUZA HATA GARI LA MKUUWA MKOA ILI KUHUDUMIA JAMII WAPI? BWANA AKAPITA UBUNGE AKANUNUA GARI LA BEI MBAYA KULIKO HATA LA MPESYA NA WANANCHI SHIDA PALEPALE KAWEZA LA WAMACHINGA BASI.TAFADHALI SANA SUGU TIMIZA AHADI YAKO KWA KUJENGA OFISI ZA KATA ZA CHADEMA KAMA ULIVYOAHIDI PALE KIWIRA MOTEL NAKUAPIA USIPOFANYA HILI SITAKUPIGIA KURA YA MAONI. MAANA MIMI NI MJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CHADEMA MBEYA MJINI NA MJUMBE WA KAMATI TENDAJI UKILETA UBISHI NITALETA NA MENGINE YA VITI MAALUM NA NG..N...
 
Wakati chadema wakifukuzwa
kwenye nyumba waliyopanga kuwa ofisi ya mkoa maeneo ya forest jirani na
mama land hotel. Sugu wakati wa kura za maoni ubunge mbeya mjini
aliwadanganya wanachama wote kuwa akishinda iwapo watamchagua kuwa
mgombea kwa tiketi ya chadema atafanya mojawapo hili. Atatoa shilingi
laki tano kila kata na kama akishindwa kupata hera basi yupo tayari
kufanya shoo yoyote atamwita msaaniiyeyote washirikiane alimradi afanye
shoo ipatikane shilingi milioni 18 ili kila kata ipate 500000 ikumbukwe
kuwa mbeya mjini ina kata 36. Ajabu nikuwa ofisi ya mkoa imefungwa kwa
kukosa pango na ya wilaya imehamishwa kutoka maeneo ya mama john mbeya
kwa kushindwa kulipa kodi mpaka maeneo ya sinde pembeni kidogo
ukilinganisha na ilipokuwa barabarani mamajohn na ofisi za kata kibao
zinadaiwa mbunge kakaakimya na hakuna hata ofisi au kata moja ambayo
imepewa hiyo laki tano wala laki moja na muda unazidi kwenda 2015 si
mbali sana chochonde tusije poteana sugu na kulekea magamba kufaidi
sipendi itokee hii. Mbunge timiza ahadi yako ndani ya chama. Tusije
tukakutema tunaandika haya kwa kuwa ndani ya chama hakuna demokrasia ya
kweli ukisema unaanza kuandamwa na mwenyekiti mwambigija anyependa
kuabudiwa kama mungu.wakati anatisha kwa ufuska.

du kumbe hili suala la ufuska ni kwa viongozi wa ngazi zote? nilijua ni kwa mwenyekiti na katibu mkuu taifa tu? poleni sana wana cdm
 
Anayebisha aseme kata gani sugu kapeleka laki tano si porojo tu
 
Pia ile ofisi yenu ya Wilaya pale Sinde inafunguliwa wakija Viongozi wa Kitaifa tu.
Swali.......Shughuli za kila siku za ofisi zinafanyika wapi?
 
...nilidhani kuna lamaana kumbe ni umbea shirikishi kutoka Lumumba...
 
Chadema iki mioyoni mwa watanzania. siasa nyepesi kama hizi hazitatutenganisha na cdm
 
Sugu ana kazi ya kupeleka hoja za wananchi bungeni kama hilo hafanyi mnayo haki ya kulalamika.
ofisi ya mkoa ina viongozi wa mkoa àmbao wanawajibika kwa chama na wanachama hivyo basi malalamikowaweza kuyapeleka kwenye ngazi ya chama na ukasaidiwa.
binafsi unamchafua SUGU bila sababu za msingi na inaonekana unamjua vizuri kwa nini unapokutana nae MBEYA usimwambie matatizo hayo? Au ni kwa nini usimtumie hata e-mail kumweleza kama unahisi ni wajibu wa mbunge kulipia kodi za majengo ya vyama vyao?
 
du kumbe hili suala la ufuska ni kwa viongozi wa ngazi zote? nilijua ni kwa mwenyekiti na katibu mkuu taifa tu? poleni sana wana cdm
Hivi mwenyekiti wa CCM ana watoto wangapi na wangapi ni wa mke wake wa ndoa?
 
Ni udaku tu. Kwa nini msiwasiliane na Sugu mwenyewe. Kwani ahadi aliyotowa mbunge wenu inahitaji demockrasia ndani ya CHADEMA ili iweze kutekelezwa. Stop nonsense na keep you head clean and busy for something that is worth a while.
 
Anayebisha aseme kata gani sugu kapeleka laki tano si porojo tu

OK, kwa mujibu wako hajapeleka, so what's your point? Kwani kazi ya mbunge ni kugawa pesa mitaani? Poor you...!
 
Haya magamba ndiyo ma catalyst ya rushwa na ufisadi, sasa mtu na akili zako unajenga hoja ya kumtaka mbunge atoe mgao wa fedha kwa kila kata! yeye ndiyo anakusanya kodi na kwa hiyo akigawa hela basi amemaliza kazi hata akilala bungeni no problem hapo kuna nchi kweli poor you!
 
kama mbunge aliahdi afanya yake si hayo mengine hatutaki. Sugu hilo gari najua gharam yake pamoja na mafuta ungeweza kufanya mengi ya msing so think twice ahad tekeleza kwann tudanganyane? tuache siasa tufanye maendeleo.
 
Wakati chadema wakifukuzwa kwenye nyumba waliyopanga kuwa ofisi ya mkoa maeneo ya forest jirani na mama land hotel. Sugu wakati wa kura za maoni ubunge mbeya mjini aliwadanganya wanachama wote kuwa akishinda iwapo watamchagua kuwa mgombea kwa tiketi ya chadema KATIKA UKUMBI WA KIWIRA MOTEL MWAKA 2010 atafanya mojawapo hili. Atatoa shilingi laki tano kila kata na kama akishindwa kupata hera basi yupo tayari kufanya shoo yoyote atamwita msaaniiyeyote washirikiane alimradi afanye shoo ipatikane shilingi milioni 18 ili kila kata ipate 500000 ikumbukwe kuwa mbeya mjini ina kata 36. Ajabu nikuwa ofisi ya mkoa imefungwa kwa kukosa pango na ya wilaya imehamishwa kutoka maeneo ya mama john mbeya kwa kushindwa kulipa kodi mpaka maeneo ya sinde pembeni kidogo ukilinganisha na ilipokuwa barabarani mamajohn na ofisi za kata kibao zinadaiwa mbunge kakaakimya na hakuna hata ofisi au kata moja ambayo imepewa hiyo laki tano wala laki moja na muda unazidi kwenda 2015 si mbali sana chonde tusije poteana sugu na kulekea magamba kufaidi sipendi itokee hii. Mbunge timiza ahadi yako ndani ya chama. Tusije tukakutema tunaandika haya kwa kuwa ndani ya chama hakuna demokrasia ya kweli ukisema unaanza kuandamwa na mwenyekiti mwambigija anyependa kuabudiwa kama mungu.wakati anatisha kwa ufuska.MBUNGE ALIKWENDA MBALI KWA KUMSHANGAA MPESYA ALIKUWA MBUNGE WA WAKATI KWA TIKETI YA CCM KUWA ANATEMBELEA GARI LA KIFAHARI WAKATI JAMII INATESEKA KWA UMASIKINI YEYE AKIPITA ATAUZA HATA GARI LA MKUUWA MKOA ILI KUHUDUMIA JAMII WAPI? BWANA AKAPITA UBUNGE AKANUNUA GARI LA BEI MBAYA KULIKO HATA LA MPESYA NA WANANCHI SHIDA PALEPALE KAWEZA LA WAMACHINGA BASI.TAFADHALI SANA SUGU TIMIZA AHADI YAKO KWA KUJENGA OFISI ZA KATA ZA CHADEMA KAMA ULIVYOAHIDI PALE KIWIRA MOTEL NAKUAPIA USIPOFANYA HILI SITAKUPIGIA KURA YA MAONI. MAANA MIMI NI MJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CHADEMA MBEYA MJINI NA MJUMBE WA KAMATI TENDAJI UKILETA UBISHI NITALETA NA MENGINE YA VITI MAALUM NA NG..N...

F.Y.I KENYA hawana MATAWI ya VYAMA vya SIASA kila kona; USA Hakuna REPUBLICAN PARTY au DEM PARTY OFFICES kila STATE ni MATUMIZI mabaya ya PESA...

NDIO HAPO sisi tunafuata ya CCM... HIVYO VYOTE vitaondoka CCM IKISHINDWA UCHAGUZI kama KANU; MAJENGO yote ni ya WANANCHI...

KUWA NA AKILI ya KUFIKIRIA MBALI
 
Chadema mambo yao ni ujanja ujanja tu,viongozi wao hawaeleweki, mamilioni yote wanayopata serikalini kama ruzuku wanashindwa hata kulipa pango! Wakiambiwa waanzishe hata kiredio wanashindwa, utasikia 2015, tumeibiwa kura!
 
Anayebisha aseme kata gani sugu kapeleka laki tano si porojo tu
Khaa!! Kwani Mheshimiwa Sugu yeye hana matumizi?? Lini kaanza kazi ya ukandarasi?? Msiwe mambumbumbu na siasa za stajini :mvutaji:
 
aliahidi mwenyewe hakuna aliyemwomba ajenge ofisi za chadema kata pale kiwira motel sasa hajatekeleza kwa nini?tusiseme na muda bado na yote hii ni kwa faida ya chama hatutaki kuitwa chama cha kihuni tena jamani ofisi ya chama ni mhimu hizi za kupanga wenye nyumba wengi wakitishwa na magamba wanaanza mizengwe ili tuhame mifano ipo.tuache ubishi ofisi mhimu.ajabu kweli tunatembea na ndege mbowe kaja mbeya na ndege kubwa kubwa tu la kifahari tukamchangia na hera leo ofisi zinafungwa ni aibu jamani jengeni ofisi sio kutafuna tu ruzuku kuna faida gani kufanyia vikao kwenye hotel kubwa kama paradise soweto alikofanyia kikao cha kanda mbowe na kulala kwenye hotel kubwa kule forest ambayo bei ya siku moja ni sawa na kodi ya ofisi ya mkoa ya mwezi 1 na chenji ikarudi alikolala mbowe bei ya chumba ni 70000 kwa siku bei ya kodi ya pango ya ofisi ya mkoa ni 60000 na alilala siku 3 bora angefanya kama nyerere mbeya alikuwa analala kanisani roma pale mafiati leo tusingekuwa na huu msala wa ofisi tusipende ufahari kabla ya kuingia madarakani je tukiingia itakuwaje? tafakali na tujirekebishe.bado wakati tunao.
 
Back
Top Bottom