- Thread starter
- #21
aliahidi kujenga ofisi za kata kama sehemu ya kampeni kwenye kura za maoni ili amushinde mgombea mwenzie aliyekuwa anaitwa mponzi na mabye kwa kiwango kikubwa alijitahidi kusaidia kulipa hata hayo mapango ya ofisi tena si wakati wa uchaguzu tu huyu kajisahau tunakumbusha tu na samahani kama nimewaudhi wapendwa kunya anye kuku akinya bata kaharisha