CHADEMA Mbeya inashangaza kweli

CHADEMA Mbeya inashangaza kweli

aliahidi mwenyewe hakuna aliyemwomba ajenge ofisi za chadema kata pale kiwira motel sasa hajatekeleza kwa nini?tusiseme na muda bado na yote hii ni kwa faida ya chama hatutaki kuitwa chama cha kihuni tena jamani ofisi ya chama ni mhimu hizi za kupanga wenye nyumba wengi wakitishwa na magamba wanaanza mizengwe ili tuhame mifano ipo.tuache ubishi ofisi mhimu.ajabu kweli tunatembea na ndege mbowe kaja mbeya na ndege kubwa kubwa tu la kifahari tukamchangia na hera leo ofisi zinafungwa ni aibu jamani jengeni ofisi sio kutafuna tu ruzuku kuna faida gani kufanyia vikao kwenye hotel kubwa kama paradise soweto alikofanyia kikao cha kanda mbowe na kulala kwenye hotel kubwa kule forest ambayo bei ya siku moja ni sawa na kodi ya ofisi ya mkoa ya mwezi 1 na chenji ikarudi alikolala mbowe bei ya chumba ni 70000 kwa siku bei ya kodi ya pango ya ofisi ya mkoa ni 60000 na alilala siku 3 bora angefanya kama nyerere mbeya alikuwa analala kanisani roma pale mafiati leo tusingekuwa na huu msala wa ofisi tusipende ufahari kabla ya kuingia madarakani je tukiingia itakuwaje? Tafakali na tujirekebishe.bado wakati tunao.

ili iendelee chadema inahitaji watu makini kama nyie.sio akili mfu wengine humu jamvini kazi yao wao ushabiki tu na kujifanya chadema iko moyoni mwao.
 
Ha ha ha dah kwa wenye akili tunaelewa wewe ni pandikizi la Lumumba tu huna lolote.

Angalieni status yake.

Join date: 07 May 2013
Posts : 14
Rep.Power: 303
Likes Received:0
Likes Given :0
You are just wasting your time!!! Poor you!!!
 
Hoja ya iliyopo, kama nimemuelewa mletaji, ni ahadi ya Sugu pale Kiwira Motel akiomba kula, ni kujenga ofisi za CDM kila kata kwa fedha yake, kuyauza mashangingi ya RC na DC ili pesa ihudumie wananchi.

Huu ni ujumbe kwamba wanasiasa baba yao na mama yao ni mmoja!!!!!!

Mimi naona mumwache aendelee na M4C kwani ndiyo iliyompa kura Mbeya mjini.
 
Anayebisha aseme kata gani sugu kapeleka laki tano si porojo tu

Tatizo na wewe unatumiwa na mwizi wa mataulo Dr.(SIC?) Mary Mwanjelwa! Maana hata jana nilimsikia Naibu Spika Job Ndugai akipigia debe bungeni Mary Mwanjelwa kwamba Sugu ajihadhari 2015 Mbeya hakutatosha! Poor CCM
 
kama ofisi ni dili...nenda kwenye ofisi za magamba....watu wanafikilia maendeleo wewe unawaza ofisi...
 
Back
Top Bottom