CHADEMA Mbarali yaipa siku 7 Star TV

CHADEMA Mbarali yaipa siku 7 Star TV

Chadema Diaspora

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2010
Posts
480
Reaction score
644
ImageUploadedByJamiiForums1441650834.072140.jpg

Mkiti wa CHADEMA Wilaya Mbarali, Peter Mwashiti, amemuagiza mwandishi wa habari Star TV kukanusha habari alizo andika kua CHADEMA imeungana na ACT Mbarali. Amempa siku saba kukanusha habari hizo kupitia Star TV ile ile, vinginevyo atamchukulia hatua

Mh. Mwashiti ameongea hayo alipokuwa kwenye mkutano wa kampeni Kongoro Mswiswi akimnadi mgombea ubunge, Liberatus Mwang'ombe, kupitia CHADEMA/UKAWA.
 
Safi sana,Star TV imekosa weledi baada ya kukubali kuwa kituo cha TV cha ccm
 
Safi sana hakuna kucheka na kima. Kama anatakoa kutoa taarifa za kipropaganda basi aende kwenye msafara wa Magufuli au wa Samia Suluhu.
 
View attachment 284650

Mkiti wa CHADEMA Wilaya Mbarali, Peter Mwashiti, amemuagiza mwandishi wa habari Star TV kukanusha habari alizo andika kua CHADEMA imeungana na ACT Mbarali. Amempa siku saba kukanusha habari hizo kupitia Star TV ile ile, vinginevyo atamchukulia hatua

Mh. Mwashiti ameongea hayo alipokuwa kwenye mkutano wa kampeni Kongoro Mswiswi akimnadi mgombea ubunge, Liberatus Mwang'ombe, kupitia CHADEMA/UKAWA.
[h=3]Chadema yaendelea kufunga Offisi zao[/h]

11990495_727938450666719_8184496087649329490_n.jpg
 
Kwakweli TCRA waiangalie star tv inachofanya ni kinyume na sheria iliyowapa leseni ya kurusha matangazo maana hawajasajiliwa kama tv ya chama cha siasa. Eti taarifa nzima ni habari za ccm tu. Vilevile nawaomba waichunguze na clouds tv mambo ya kuonyesha habari 2 taarifa imeisha ni uhuni. Ni heri waseme ni muhtasari wa habari kuliko kuiita clouds habari.
 
Tbc, Cloud na Star tv wana matatizo. Wanasahau kwamba baada ya Uchaguzi kuna maisha mengine na kazi zitaendelea kama kawaida
 
Back
Top Bottom