CHADEMA masuala mengine aibu tupu

CHADEMA masuala mengine aibu tupu

Kutumia gmail ni uzembe ila kutokujenga ofisi za makao makuu ni uzembe wa kiwango cha madaraja ya Mfugale. Huko mikoani wanachama wamechangisha wamejenga ofisi nzuri tu ila Makao makuu wanapanga nyumba. Ofisi za chama haina budget kubwa kama uwanja wa mpira.
Yes hapo kwenye makao makuu ni kweli inahitajika ofisi yenye hadhi ya CHADEMA. However, hatujapangisha Yale Majengo mawili yalishanunuliwa toka 2012 na kuna Uzi humu JF wa Tumaini Makene aki-clarify hilo suala.
 
Sawa tunatambua hamna ofisi ya maana inayoendana na hadhi ya chama chenu. Lakini tunajua pia mnapata hela kupitia michango ya wanachama.

Haipendezi hadi leo mnatumia Gmail kwenye mawasiliano yenu. Hiki chama kina watu, takribani miaka 30 sasa, bado mnafanya mambo ya ajabu kama haya.

Kuchukua dola kunategemea mambo mengi sana, sio kura tu za Watanzania. Kuna mambo huwa tunatazama kuona namna gani mko 'serious' ili tuwape dhamana kubwa zaidi.

Ila mkishindwa mambo madogo kama haya mtapata sana taabu huko mbeleni.View attachment 2235016

Kuna aibu zaidi ya kupiga sarakasi bungeni matako juu au diwani wa CCM kukmatwa kwa kimada baada ya kupotea kwa miezi miwili.
 
Kwa hiyo hicho ndio kipimo chako na dhamana wanatoa wananchi Kwa Chama Chao wanachokipenda Chadema.Pia ninachojua mawasiliano ni mawasiliano na mawasiliano ambayo mtu anayaamini atayatumia bila mashaka.
Huyo Getrude Mollel atakuwa ana file lake kwenye ile hospitali maarufu kule Dodoma
 
Back
Top Bottom