Ulimwengu Mbaya
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 1,218
- 840
Kichwa kimejaa kamasi tupu
Umesema kweli, dunia ya sasa watu wamepunguza kusafiri badala yake wanatumia video conference, ni aibu kusafiri.Sawa tunatambua hamna ofisi ya maana inayoendana na hadhi ya chama chenu. Lakini tunajua pia mnapata hela kupitia michango ya wanachama.
Haipendezi hadi leo mnatumia Gmail kwenye mawasiliano yenu. Hiki chama kina watu, takribani miaka 30 sasa, bado mnafanya mambo ya ajabu kama haya.
Kuchukua dola kunategemea mambo mengi sana, sio kura tu za Watanzania. Kuna mambo huwa tunatazama kuona namna gani mko 'serious' ili tuwape dhamana kubwa zaidi.
Ila mkishindwa mambo madogo kama haya mtapata sana taabu huko mbeleni.View attachment 2235016
Utambiwa shinyanga hiyoSawa tunatambua hamna ofisi ya maana inayoendana na hadhi ya chama chenu. Lakini tunajua pia mnapata hela kupitia michango ya wanachama.
Haipendezi hadi leo mnatumia Gmail kwenye mawasiliano yenu. Hiki chama kina watu, takribani miaka 30 sasa, bado mnafanya mambo ya ajabu kama haya.
Kuchukua dola kunategemea mambo mengi sana, sio kura tu za Watanzania. Kuna mambo huwa tunatazama kuona namna gani mko 'serious' ili tuwape dhamana kubwa zaidi.
Ila mkishindwa mambo madogo kama haya mtapata sana taabu huko mbeleni.View attachment 2235016
SecurityIssue hapa ya msingi ni nini: security au uzalendo?
MATAGA mnahangaika mno, Samia kawavuruga pakubwa. Mnapuyanga tu.Sawa tunatambua hamna ofisi ya maana inayoendana na hadhi ya chama chenu. Lakini tunajua pia mnapata hela kupitia michango ya wanachama.
Haipendezi hadi leo mnatumia Gmail kwenye mawasiliano yenu. Hiki chama kina watu, takribani miaka 30 sasa, bado mnafanya mambo ya ajabu kama haya.
Kuchukua dola kunategemea mambo mengi sana, sio kura tu za Watanzania. Kuna mambo huwa tunatazama kuona namna gani mko 'serious' ili tuwape dhamana kubwa zaidi.
Ila mkishindwa mambo madogo kama haya mtapata sana taabu huko mbeleni.View attachment 2235016
Nyerere ALICHUKUA serikali kwa Wakoloni akiwa kwenye vijumba ambavyo leo vimegeuka makumbusho, kikubwa chama kiwe ndani ya mioyo ya watu, mengine ni mbwembwe tu.Sawa tunatambua hamna ofisi ya maana inayoendana na hadhi ya chama chenu. Lakini tunajua pia mnapata hela kupitia michango ya wanachama.
Haipendezi hadi leo mnatumia Gmail kwenye mawasiliano yenu. Hiki chama kina watu, takribani miaka 30 sasa, bado mnafanya mambo ya ajabu kama haya.
Kuchukua dola kunategemea mambo mengi sana, sio kura tu za Watanzania. Kuna mambo huwa tunatazama kuona namna gani mko 'serious' ili tuwape dhamana kubwa zaidi.
Ila mkishindwa mambo madogo kama haya mtapata sana taabu huko mbeleni.View attachment 2235016
Mwizi anakopesha chama!Mwamba na Mwizi at the same time. Mtu anakopesha chama hadi chama hakina chakumfanya.
Ndiyo maana Halima kasema nyie ni chama cha wahuni. Mwenyekiti wenu kawaambia msitukane ovyo, wewe unamtukana mtu kwa kutoa ushauri mzuri wa kukijenga chama chenu. Ujinga gani huu? Watu wenye uelewa wamemwelewa na kusema litafanyiwa kazi, nyumbu kama wewe unakuja hapa kutukana.Hiyo Gmail inapunguza nini juu mawasiliano? Makahaba wa twitter mna matatizo sana
Naona wanayo tovuti tayari sijui kwa nini wasiwe na email accounts kwenye hiyo domain name ya tovuti yao.
Watafanyia kazi haraka ni suala la dakika 30 tu.
Ndiyo maana Halima kasema nyie ni chama cha wahuni. Mwenyekiti wenu kawaambia msitukane ovyo, wewe unamtukana mtu kwa kutoa ushauri mzuri wa kukijenga chama chenu. Ujinga gani huu? Watu wenye uelewa wamemwelewa na kusema litafanyiwa kazi, nyumbu kama wewe unakuja hapa kutukana.
Malupwenyu.
Bwashee mimi siyo gamba wala nyumbu, mtajuana wenyewe wenye makundi yenu.Huyo ni gamba mwenzio, ila yeye yuko sukuma gang. Hamjuani?
Bwashee mimi siyo gamba wala nyumbu, mtajuana wenyewe wenye makundi yenu.
Acha ujinga ww watu tunataka Katiba mpya vitu vidogo hivyo havitusumbuiSawa tunatambua hamna ofisi ya maana inayoendana na hadhi ya chama chenu. Lakini tunajua pia mnapata hela kupitia michango ya wanachama.
Haipendezi hadi leo mnatumia Gmail kwenye mawasiliano yenu. Hiki chama kina watu, takribani miaka 30 sasa, bado mnafanya mambo ya ajabu kama haya.
Kuchukua dola kunategemea mambo mengi sana, sio kura tu za Watanzania. Kuna mambo huwa tunatazama kuona namna gani mko 'serious' ili tuwape dhamana kubwa zaidi.
Ila mkishindwa mambo madogo kama haya mtapata sana taabu huko mbeleni.View attachment 2235016
Ni kwa kuwa umekariri kwamba kila asiyeimba pambio la kumsifu mbowe au lisu basi huyo ni ccm. Acha kukaririKwani kuwa gamba ni lazima utuambie? Michango yako inajieleza full stop.
Ni kwa kuwa umekariri kwamba kila asiyeimba pambio la kumsifu mbowe au lisu basi huyo ni ccm. Acha kukariri
Chadema ni mpango wa Mungu au siyo Erythrocyte ? Vile vile gmail ni mpango wa shetaniSawa tunatambua hamna ofisi ya maana inayoendana na hadhi ya chama chenu. Lakini tunajua pia mnapata hela kupitia michango ya wanachama.