PreGE2025 CHADEMA Mara yawasilisha ripoti ya vifo na upotevu kwa Kanisa Katoliki

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mara kimewasilisha ripoti maalum kwa Kanisa Katoliki, ikielezea matukio ya watu waliouawa au kupotea katika mkoa huo. Sambamba na hilo, chama hicho kimetumia nafasi hiyo kueleza msimamo wake wa No Reform No Election, ukimaanisha kwamba kitazuia uchaguzi wowote iwapo mabadiliko ya sheria na mfumo wa uchaguzi hayatatekelezwa.

Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Mara, Chacha Heche, amesema wamechukua hatua hiyo kwa sababu wamedanganywa mara nyingi kuhusu maridhiano ya kisiasa, huku wakihisi kuwa mfumo wa uchaguzi bado hauna usawa. Heche amewataka viongozi wa dini kuunga mkono juhudi za kupigania haki za wananchi, hususan katika kuimarisha demokrasia.

Diwani wa Kata ya Mbogi, Jimbo la Tarime Vijijini, Steven Nyahiri, ameainisha changamoto mbalimbali zilizojitokeza katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 2024, akisema uchaguzi huo ulikumbwa na mapungufu makubwa. Ameeleza kuwa viongozi wa dini wana nafasi muhimu katika kupaza sauti na kusaidia kuleta mabadiliko ya kweli ya kisiasa na kijamii.

Kwa upande wake, Veronica Sando, Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Mkoa wa Mara, amesema kuwa licha ya mkoa huo kuwa na rasilimali nyingi kama mbuga za wanyama, badala ya kuwa baraka kwa wananchi, rasilimali hizo zimekuwa chanzo cha madhila, huku baadhi ya watu wakijeruhiwa au hata kuuawa.

Katibu wa Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Musoma, Cleophas Sabure, amethibitisha kupokea ripoti hiyo na kuahidi kuiwasilisha kwa Askofu wa Jimbo. Amesema baada ya Askofu kupitia ripoti hiyo, CHADEMA itaitwa kwa majadiliano zaidi ili kufanyia kazi malalamiko yao.

wamefanya vizuri sana kujisalimisha kwa Mungu na kwa kanisa,

bilashaka yoyote wataambiwa kutokutii mamlaka za dunia zilizotoka kwa Mungu ni dhambi,

na kwahiyo no reform no elections ni sin, null and void mbele ya kanisa na mbele za Mungu. 🐒
 
Ccm nao wapeleke ripoti yao ila najaribu kuwaza hapa kwanini ni katoliki na sio, K.K.T, AGT, AICT, EFATHA, BAKWATA, TGA, FPCT N.K kulikoni huko catholic?
 
Ww ni padri unakuja na conclusion za kusadikika?
 
maandiko yako wazi gentleman,
wataambiwa waache kiburi kwa mamlaka za wanadamu zilizotoka kwa Mungu,
fuatilia vizuri sio muujiza ni Ukweli na uhalisia mtupu gentleman 🐒
 
Wataambiwa na nani? As nimekuuliza ww ni padri?
 
Safi sana

Huu ndo mwendo

Chama kiwasilishe majina yote ya waliotekwa kwa TEC na Viongozi wengine wa dini

Siku viongozi wa dini wakisema tu watashiriki na kuunga mkono NO Reforms No Election na watashiriki maandamo hakika huo ndo urakuwa mwisho wa CCM na udhalimu wao.
 
Ccm nao wapeleke ripoti yao ila najaribu kuwaza hapa kwanini ni katoliki na sio, K.K.T, AGT, AICT, EFATHA, BAKWATA, TGA, FPCT N.K kulikoni huko catholic?

Ulitaka wawasilishe kwa viongozi wa dini na madhehebu yote, kwani wote huwa wanakuwa sehemu moja?
 
maandiko yako wazi gentleman,
wataambiwa waache kiburi kwa mamlaka za wanadamu zilizotoka kwa Mungu,
fuatilia vizuri sio muujiza ni Ukweli na uhalisia mtupu gentleman 🐒

Unatakiwa kumtii Mungu kuliko kitu chochote. Mamlaka inayoteka na kuua watu, ni mamlaka ya kutoka kwa shetani. Mwanadamu hastahili kuwa na ushirika na shetani.

CCM hii ya sasa ya kuteka na kuua wanaomkosoa Rais, ni ya shetani. Watu wa Mungu wanatakiwa kujitenga nayo.

Kama wayahudi wangemtii Pharao, wasingeondoka Misri
 
Safi sana

Huu ndo mwendo

Chama kiwasilishe majina yote ya waliotekwa kwa TEC na Viongozi wengine wa dini

Siku viongozi wa dini wakisema tu watashiriki na kuunga mkono NO Reforms No Election na watashiriki maandamo hakika huo ndo urakuwa mwisho wa CCM na udhalimu wao.

..wawasilishe pia kwa Taasisi za madhehebu mengine kama vile Bakwata, Answar Sunna, Shia, KKKT, Anglikana, na Sabato.
 
Unatakiwa kumtii Mungu kuliko kitu chochote. Mamlaka inayoteka na kuua watu, ni mamlaka ya kutoka kwa shetani. Mwanadamu hastahili kuwa na ushirika na shetani.

CCM hii ya sasa ya kuteka na kuua wanaomkosoa Rais, ni ya shetani. Watu wa Mungu wanatakiwa kujitenga nayo.

Kama wayahudi wangemtii Pharao, wasingeondoka Misri
we kijana,
umeendee mke wa watu, ufumaniwe, upigwe mangeu ya maana kwa tamaa zako za mwili halafu uje hapa kupotosha wadau,

ati ng'we ng'we ng'we, metekwa, lione?

alaaa!
jisalimisheni makanisa yote na kiburi yenu mtaelezwa hicho nilichoeleza awali na kwakweli mtaungamishwa na kuongoza sala ya toba muache hayo maushirikina yenu na uongo :NoGodNo:
 
Chadema wanafanya michezo ya hatari mm nitasimama kikamilifu nihakikishe kola anaeitwa muislam nae apigie kura CCM kweli tutafika hv vyam vvya siasa having sera mpk mambo yao yasimamiwe na kanisa au ndio lenye kuwatuma mwenyekiti kama huhitaji mpSuko kemea hili
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mara kimewasilisha ripoti maalum kwa Kanisa Katoliki, ikielezea matukio ya watu waliouawa au kupotea katika mkoa huo. Sambamba na hilo, chama hicho kimetumia nafasi hiyo kueleza msimamo wake wa No Reform No Election, ukimaanisha kwamba kitazuia uchaguzi wowote iwapo mabadiliko ya sheria na mfumo wa uchaguzi hayatatekelezwa.

Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Mara, Chacha Heche, amesema wamechukua hatua hiyo kwa sababu wamedanganywa mara nyingi kuhusu maridhiano ya kisiasa, huku wakihisi kuwa mfumo wa uchaguzi bado hauna usawa. Heche amewataka viongozi wa dini kuunga mkono juhudi za kupigania haki za wananchi, hususan katika kuimarisha demokrasia.

Diwani wa Kata ya Mbogi, Jimbo la Tarime Vijijini, Steven Nyahiri, ameainisha changamoto mbalimbali zilizojitokeza katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 2024, akisema uchaguzi huo ulikumbwa na mapungufu makubwa. Ameeleza kuwa viongozi wa dini wana nafasi muhimu katika kupaza sauti na kusaidia kuleta mabadiliko ya kweli ya kisiasa na kijamii.

Kwa upande wake, Veronica Sando, Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Mkoa wa Mara, amesema kuwa licha ya mkoa huo kuwa na rasilimali nyingi kama mbuga za wanyama, badala ya kuwa baraka kwa wananchi, rasilimali hizo zimekuwa chanzo cha madhila, huku baadhi ya watu wakijeruhiwa au hata kuuawa.

Katibu wa Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Musoma, Cleophas Sabure, amethibitisha kupokea ripoti hiyo na kuahidi kuiwasilisha kwa Askofu wa Jimbo. Amesema baada ya Askofu kupitia ripoti hiyo, CHADEMA itaitwa kwa majadiliano zaidi ili kufanyia kazi malalamiko yao.

Kanisa itawasaidia nn hao nyumbu, bila kuwa mwehu huwezi kuwa mwanachama wa chadema. Nani wa kuzuia uchaguzi, wataharisha hizo bangi
 
Shauri yao, kama vp wapelekwe Hadi India kwa wahindu na kule Nepal kwa mabudha......mama yupo anapiga kazi
 
Ccm nao wapeleke ripoti yao ila najaribu kuwaza hapa kwanini ni katoliki na sio, K.K.T, AGT, AICT, EFATHA, BAKWATA, TGA, FPCT N.K kulikoni huko catholic?
Kunayo mengi na siri lukuki kuhusu RC na Bakwata

Wengine mtawakilishwa na hao

Haitatokea kiongozi mkuu wa nchi atokana na madhehebu tofauti na hayo, na hata ukitokea, atabadiri dhehebu haraka iwezekanavyo

Vya duniani vitarithiwa na hao, ila vya mbinguni acha madhebu mengine warithi
 
Back
Top Bottom