Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,355
- 2,739
CHADEMA hadi hivi sasa tungesha tengeneza zaidi ya Millioni 50 za Kitanzania kwa kuuza magwanda. Ikitokea mtu akafungua baroo la mtumba wadau wakakuta nguo inyoelekea kufanana na gwanda la chadema inakuwa ugomvi na watu wanalipandia dau kama nyumba ya mnada. Kumbe ili tupate fedha za kutengeneza ofisi za matawi vijijini Uanzishwe mradi wa kuuza magwanda kwa mwanachama anayependa. Nina imani hii inaweza kugeuka kuwa uniform vyuo vikuu, kwa vijana wote na wenye uchungu na nchi hiii.
Ngoja niwaulize na wana JF: Eti jamani vipi magwanda au kama biashara hiyo imeanza tupeane contacts hata sisi wa mikoani tuweke order.
Nawasilisha.
Mimi = Kila kukicha nazidi kuichukia CCM sasa sijui sitapasuka kwa hasira kufika June mwaka huuuu!!!!!!!!????!!!