CHADEMA M4C Kwa Wazungu!

CHADEMA M4C Kwa Wazungu!

na ndio sera zao za kutawala dunia nzima, kwasababu kwa sasaivi hawa jamaa hawana kabisa rasilimali, na mategeo ni kutoka bara la Africa, hivyo kwa mbinu yoyote lazima wahodhi rasilimali za Afrika, na mifano tunayo kwa Mugabe na Gadafi, na wenzetu kubwa zaidi uchumi unapiganiwa na kulindwa na majeshi. hivyo tuwe makini sana na hila za wazungu kutuchagulia viongozi

Swala sio kwamba Wazungu kutuchagulia viongozi, la hasha! Bali ni Je tuna lolote tunaweza kufanya kuzuia hilo sisi kama sisi?

Anachosema mtoa mada ni ukweli ulio wazi. Nchi zetu hizi za dunia ya tatu tunawekewa viongozi na hatuchagui viongozi. Kupiga kura ni kiini macho tu ila wao wanaamua nani wa kututawala. kwa mtu ambaye wanauhakika atalinda masilahi yao. Wakiwa na shaka na kiongozi anayehatarisha masilahi yao watamuondoa atake asitake mf. Ghadafi, Mbaraka, Gabgo, n.k.

Kelele za Cdm kuwaona wawekezaji migodini, nishati na kwingineko ati ni ufisadi ni lugha zisizo na afya kwa mahusiano na mataifa yanayolinda maslahi yao kwa hali na mali mf. Marekani
 
Sidhani kama chadema wanaona uwekezaji ni ufisadi.Tunaweza kuwa na mikataba ya maana kuliko hii tuliyonayo.

Naamini mkombozi wa Tanzania pamoja na mengine,ni sera ya majimbo.
 
Sidhani kama chadema wanaona uwekezaji ni ufisadi.Tunaweza kuwa na mikataba ya maana kuliko hii tuliyonayo.

Naamini mkombozi wa Tanzania pamoja na mengine,ni sera ya majimbo.

Kwa nini unafikiri Sera ya Majimbo ndio suluhisho?
 
Kwa nini unafikiri Sera ya Majimbo ndio suluhisho?
Negotiation ya mikataba itasimamiwa na wananchi wa maeneo husika yenye rasilimali kuhakikisha wananufaika.

Pia tunakoelekea,siyo mzungu pekee mwenye influence,kuna mchina pia,so there is plenty of room to maneuver.Hata sisi tuna mikataba na wachina ambayo pengine wazungu hawapendi.
 
Unajua mtu mvivu siku zote huwa anatafuta visingizio, sasa sisi kwa kuwa ni wavivu tumepata kisingizio, kwamba tatizo la sisi kuwa nyuma ni kwa sababu hamna Majimbo, Je nikikuuliza mbona kuna nchi nyingi tu Duniani zinafwata mfumo kama wetu na zimeendelea, utanijibu nini?

Hivi hao Wananchi watatoka Mars ndio waje kuisimamia hiyo Mikataba? Si watakuwa hawahawa tunaoishi hapahapa Bongo, na tabia zile zile na Tamaduni zile zile?
Tatizo letu ni zaidi tu ya mfumo, linakwenda mbali sana, ni Utamaduni, na utaona hata ulete mfumo gani hautafanya kazi hapa kwetu, kwa maana sisi ndio tatizo!

Na swala hapa wala sio kama ni Mzungu anatawala Dunia ama la, swala ni SISI na haijalishi ni nani anatawala Dunia nimetolea mfano wa Wazungu kwa sababu ndio watawalao lkn hata kama wakija Wahindi kesho achilia mbali Wachina bado tutatumiwa tu kama kiatu, na baadae kutupwa baada ya kuchakaa, na mwisho wa siku tutabaki kulalamika tu kwamba tunabaguliwa, kwa nini katika Dunia hii tubaguliwe sisi tu?
 
Aaaah wapi mbona Kenya wameshindwa?? Uhuru Kenyata ameshinda licha ya ubalozi wa Uingereza kutoa vitisho.

2015 tutalinda kura zetu na ushindi tutapata, huyu mkoloni mweusi lazima tumtoe, mweupe alishatoka zamani
Wazungu wajanja mkuu..Kenyatta ana mashtaka ya kujibu subiri uone wimbo utakavyogeuka..Yataibuka mengi acha tusubiri.
 
Back
Top Bottom