Chadema LUDEWA Miguu Juu

Chadema LUDEWA Miguu Juu

Yani hata rangi ya bango juu ya mlango haijakauka vizuri sijui maigizo mtaacha lini?

Picture zako za 2010 kule na Kadi fake kazibandue.
 
sehemu za kishamba Kama hizo unategemea nini

Shughulisha ubongo wako japo kidogo kudadisi na kuichambua picture husika.
Akili za kuambiwa changanya na zako.

Unavyoona hicho kibanda cha mabanzi kinaweza kuwa office za wilaya CHADEMA?

Office za wilaya CHADEMA hazina rangi wala nembo ya chama?
 
Back
Top Bottom