Baada ya Dr. Slaa kuhutubia na kuweka kiuwazi kabisa kashfa za Ufisadi za Lowassa, wana Ludewa wamesema CHADEMA BAI BAI
[h=2]LUDEWA WASEMA BAI BAI KWA CHADEMA[/h]

![]()
Fisadi hapati kitu.Unahangaika masikini. ..pole sana mkuu! ! Subiri October 25 ndio utajua ni miguu juu au chini!
Mmesha fungasha virago.kweli unahangaika na UKIMWI..
Lumumba ipo fit. Huku hatukopi Rais na Makamu wake kutoka vyama vingine. Waulize Chadema, kwanini wanakopa Rais na makamu wake?Kazi mnayo wanaLumumba
hivi huwa unalipwa sh ngapi ?Lumumba ipo fit. Huku hatukopi Rais na Makamu wake kutoka vyama vingine. Waulize Chadema, kwanini wanakopa Rais na makamu wake?
hivi huwa unalipwa sh ngapi ?
Fisadi hapati kitu.
Lumumba ipo fit. Huku hatukopi Rais na Makamu wake kutoka vyama vingine. Waulize Chadema, kwanini wanakopa Rais na makamu wake?
Ni kweli hata, mende wa chooni haunguzwi na joto la kinyesi yuko fiti kabisa. Ameshayazoea mazingira yale....Uko sahihi kabisa 100 kwa 100. Penguin wamezoea baridi ya Actic, wako fit.
Ccm kuna ambaye si fisadi?nitajie hapa aliyemsafi ndani ya ccm