CHADEMA: Lowassa mshindi kwa asilimia 61

CHADEMA: Lowassa mshindi kwa asilimia 61

61% ndogo sana...huyu Munisi kichwa maji... katika watu ambao CHADEMA UKAWA hawafai kuwa ktk kampeni ni huyu Munisi... nilimuona ktk mdahalo Star TV, mweupe sana kichwani... HE has no GUTS and FACTS za kutetea swali... yuko low sana... not energetic... mzembe fulani hivi... hana POSITIVE CONFIDENCE...!!!

Lowassa will win big... 80% and above..!!

😨😨✌✌✌👏👏👏🙌🙌💪💪💪👊
 
Juma pili mbali sana, nataka kuona Tanzania mpya ya Lowasa
 
Tufanye weighted average winning % kama ifuatavyo:-

(71+82+61)/3 = 71.3%
UKAWA WATASHINDA URAIS KWA ZAID YA ASILIMIA 71.3
CHAGUA LOWASSA CHAGUA UKAWA.

NI LOWASSA!
2157554521065238871
 
Tufanye weighted average winning % kama ifuatavyo:-

(71+82+61)/3 = 71.3%
UKAWA WATASHINDA URAIS KWA ZAID YA ASILIMIA 71.3
CHAGUA LOWASSA CHAGUA UKAWA.

wale wataalamu wa utafiti aliosema mbatia waliwapa 70+ leo mmefanya wenyewe imekuja 61

j2 wanafanya watanzania mkifikisha 39 nyie wanaume.
 
Hahahahahaha, mnajiteknya wenyewe na kucheka?

Lowassa Ikulu ataiona paa tu.
 
Tufanye weighted average winning % kama ifuatavyo:-

(71+82+61)/3 = 71.3%
UKAWA WATASHINDA URAIS KWA ZAID YA ASILIMIA 71.3
CHAGUA LOWASSA CHAGUA UKAWA.

Sasa mkuu hiyo ndo weighted average kweli? Au ni arithmetic average? Anyway, Lowassa lazima ashinde tena kwa gap kubwa ingawa si yeye atakayetangazwa!!
 
kura za vijana 12million inatosha kumpeleka lowassa ikulu
 
Back
Top Bottom