acha hizo Lowasa apewe Onyo la nini? ww badala ya kuhangaikia kipato chako na familia yako unashinda kukariri kauli za Lowasa tu, huna cha kufanya? Chadema hawana shida na kauli hizo wali hazina Tatizo mda huu watu wapo busy kumuandaa katibu mkuu wa chama.Chadema ilikuwepo kabla ya lowasa kuhama CCM, na tena ilikuwa ni chama imara, pendwa na chenye nguvu na ushawishi wa kutosha, hasa katika miji mikubwa ya Tanzania. Hata ukawa iliasisiswa kabla ya lowasa kukatwa na kuhamia CDM. Kwa misingi hii hamna mtu anayeweza kuja na takwimu halisia eti bila lowasa mambo yangekuwaje UKAWA?? kama yupo azilete.
Hoja yangu ni hii;
Lowasa mpaka sasa amegeuza kila aina ya mafanikio ya UKAWA kuwa yake binafsi na kujinasibu kuwa yeye ndo ameyaleta. Amekuwa akijinasibu kwa kauli za kujisifia binafsi kana kwamba chadema na ukawa havikuepo na yeye ndo alikuja kiuasisi chadema na muungano wa ukawa. Kauli za lowasa zinakiweka chama mikononi mwake, na si mikononi mwa wanachama waliosumbuka kukijenga chama hiki kwa machozi, jasho, damu, vifo, njaa, na kudhalilishwa na Nguvu za DORA.
mfano wa kauli za lowasa
- "nimewawezesha wapinzani kufikisha wabunge zaidi ya 100, tukiweka na viti maalum"
- "nimewasaidia kushikilia jiji la dar es salaam"
- "nitagombea 2020, najiandaa na uchaguzi mkuu "
- "nimeufanya upinzani kuwa na nguvu kuliko wakati wowote"
Na nyingine nyingi zenye utata,; swali ni je kwanini hizi "nime" zisiwe "chama kime"
Alafu toka lini Lowasa amefuta taratibu za kumpata mgombea urais ndani ya chama na kujihakikishia nafasi ya kugombea uchaguzi mkuu 2020 ??
LOWASSA apewe onyo, na afunzwe kuwa siasa ni collective and integrated efforts na sio One man show or else mtwambie kama amekabidhiwa chama mikononi mwake, na lini ilifanyika hivyo
mkuu hiki ni chama cha wanachama wote, na sio mtu mmoja, anayoyafanya LOWASA ndo yaleyale aliyofanya ZITO; ya kujifanya kila zuri wewe ndo umelileta.Acha
acha hizo Lowasa apewe Onyo la nini? ww badala ya kuhangaikia kipato chako na familia yako unashinda kukariri kauli za Lowasa tu, huna cha kufanya? Chadema hawana shida na kauli hizo wali hazina Tatizo mda huu watu wapo busy kumuandaa katibu mkuu wa chama.
mkuu hiki ni chama cha wanachama wote, na sio mtu mmoja, anayoyafanya LOWASA ndo yaleyale aliyofanya ZITO; ya kujifanya kila zuri wewe ndo umelileta.
Mwaka 2012 nilibandika hapa uzi wenye kichwa cha habari (NAIBU KATIBU MKUU) nikikemea unafiki wa zitto kujibinafshia chama na kuwataka viongozi wamtimue, wengi mlishambulia hivihivi buta baadaye hii ikawa hoja yenu kuu.
natoa angalizo : Tabia hii haikubaliki
Hakuna mwenye uwezo wa kumhoji LOWASSA Kuhusu CHOCHOTE.Kama hutaki HAMA CHAMAChadema ilikuwepo kabla ya lowasa kuhama CCM, na tena ilikuwa ni chama imara, pendwa na chenye nguvu na ushawishi wa kutosha, hasa katika miji mikubwa ya Tanzania. Hata ukawa iliasisiswa kabla ya lowasa kukatwa na kuhamia CDM. Kwa misingi hii hamna mtu anayeweza kuja na takwimu halisia eti bila lowasa mambo yangekuwaje UKAWA?? kama yupo azilete.
Hoja yangu ni hii;
Lowasa mpaka sasa amegeuza kila aina ya mafanikio ya UKAWA kuwa yake binafsi na kujinasibu kuwa yeye ndo ameyaleta. Amekuwa akijinasibu kwa kauli za kujisifia binafsi kana kwamba chadema na ukawa havikuepo na yeye ndo alikuja kiuasisi chadema na muungano wa ukawa. Kauli za lowasa zinakiweka chama mikononi mwake, na si mikononi mwa wanachama waliosumbuka kukijenga chama hiki kwa machozi, jasho, damu, vifo, njaa, na kudhalilishwa na Nguvu za DORA.
mfano wa kauli za lowasa
- "nimewawezesha wapinzani kufikisha wabunge zaidi ya 100, tukiweka na viti maalum"
- "nimewasaidia kushikilia jiji la dar es salaam"
- "nitagombea 2020, najiandaa na uchaguzi mkuu "
- "nimeufanya upinzani kuwa na nguvu kuliko wakati wowote"
Na nyingine nyingi zenye utata,; swali ni je kwanini hizi "nime" zisiwe "chama kime"
Alafu toka lini Lowasa amefuta taratibu za kumpata mgombea urais ndani ya chama na kujihakikishia nafasi ya kugombea uchaguzi mkuu 2020 ??
LOWASSA apewe onyo, na afunzwe kuwa siasa ni collective and integrated efforts na sio One man show or else mtwambie kama amekabidhiwa chama mikononi mwake, na lini ilifanyika hivyo
Apewe onyo la nini .mambo ya chadema yanakuhusu nini acha uchonganish.Chadema ilikuwepo kabla ya lowasa kuhama CCM, na tena ilikuwa ni chama imara, pendwa na chenye nguvu na ushawishi wa kutosha, hasa katika miji mikubwa ya Tanzania. Hata ukawa iliasisiswa kabla ya lowasa kukatwa na kuhamia CDM. Kwa misingi hii hamna mtu anayeweza kuja na takwimu halisia eti bila lowasa mambo yangekuwaje UKAWA?? kama yupo azilete.
Hoja yangu ni hii;
Lowasa mpaka sasa amegeuza kila aina ya mafanikio ya UKAWA kuwa yake binafsi na kujinasibu kuwa yeye ndo ameyaleta. Amekuwa akijinasibu kwa kauli za kujisifia binafsi kana kwamba chadema na ukawa havikuepo na yeye ndo alikuja kiuasisi chadema na muungano wa ukawa. Kauli za lowasa zinakiweka chama mikononi mwake, na si mikononi mwa wanachama waliosumbuka kukijenga chama hiki kwa machozi, jasho, damu, vifo, njaa, na kudhalilishwa na Nguvu za DORA.
mfano wa kauli za lowasa
- "nimewawezesha wapinzani kufikisha wabunge zaidi ya 100, tukiweka na viti maalum"
- "nimewasaidia kushikilia jiji la dar es salaam"
- "nitagombea 2020, najiandaa na uchaguzi mkuu "
- "nimeufanya upinzani kuwa na nguvu kuliko wakati wowote"
Na nyingine nyingi zenye utata,; swali ni je kwanini hizi "nime" zisiwe "chama kime"
Alafu toka lini Lowasa amefuta taratibu za kumpata mgombea urais ndani ya chama na kujihakikishia nafasi ya kugombea uchaguzi mkuu 2020 ??
LOWASSA apewe onyo, na afunzwe kuwa siasa ni collective and integrated efforts na sio One man show or else mtwambie kama amekabidhiwa chama mikononi mwake, na lini ilifanyika hivyo
Kwani unajuaje kuwa aliyeleta mada hii si mwana CHADEMA?Apewe onyo la nini .mambo ya chadema yanakuhusu nini acha uchonganish.
Ongeza na hili "nitawafukuza wabunge na madiwani wote mizigo "Chadema ilikuwepo kabla ya lowasa kuhama CCM, na tena ilikuwa ni chama imara, pendwa na chenye nguvu na ushawishi wa kutosha, hasa katika miji mikubwa ya Tanzania. Hata ukawa iliasisiswa kabla ya lowasa kukatwa na kuhamia CDM. Kwa misingi hii hamna mtu anayeweza kuja na takwimu halisia eti bila lowasa mambo yangekuwaje UKAWA?? kama yupo azilete.
Hoja yangu ni hii;
Lowasa mpaka sasa amegeuza kila aina ya mafanikio ya UKAWA kuwa yake binafsi na kujinasibu kuwa yeye ndo ameyaleta. Amekuwa akijinasibu kwa kauli za kujisifia binafsi kana kwamba chadema na ukawa havikuepo na yeye ndo alikuja kiuasisi chadema na muungano wa ukawa. Kauli za lowasa zinakiweka chama mikononi mwake, na si mikononi mwa wanachama waliosumbuka kukijenga chama hiki kwa machozi, jasho, damu, vifo, njaa, na kudhalilishwa na Nguvu za DORA.
mfano wa kauli za lowasa
- "nimewawezesha wapinzani kufikisha wabunge zaidi ya 100, tukiweka na viti maalum"
- "nimewasaidia kushikilia jiji la dar es salaam"
- "nitagombea 2020, najiandaa na uchaguzi mkuu "
- "nimeufanya upinzani kuwa na nguvu kuliko wakati wowote"
Na nyingine nyingi zenye utata,; swali ni je kwanini hizi "nime" zisiwe "chama kime"
Alafu toka lini Lowasa amefuta taratibu za kumpata mgombea urais ndani ya chama na kujihakikishia nafasi ya kugombea uchaguzi mkuu 2020 ??
LOWASSA apewe onyo, na afunzwe kuwa siasa ni collective and integrated efforts na sio One man show or else mtwambie kama amekabidhiwa chama mikononi mwake, na lini ilifanyika hivyo
ukiacha yai la nyoka uvunguni kwako ati kisa halina madhara, na ukaendelea na shughuli zako za uchumi, iko siku utarudi ukute limetotolewa, na sumu ya huyo nyoka mdogo ikakumaliza. learn if your wise enoughChadema ina mambo ya kufikiria sasa hivi kama kuimarisha uratibu na usimamizi wa maendeleo ya halmashauri tunazoongoza.
Huyo anayewakosesha usingizi mpeni onyo wenyewe
Hivi kumbe mnashindwa kula wala kunywa maji kisa lowassa? Kweli lowassa kawaacha yatima. Muacheni mzee wawatu apumue sisi watz wa hali ya chini bado tunamhitajiChadema ilikuwepo kabla ya lowasa kuhama CCM, na tena ilikuwa ni chama imara, pendwa na chenye nguvu na ushawishi wa kutosha, hasa katika miji mikubwa ya Tanzania. Hata ukawa iliasisiswa kabla ya lowasa kukatwa na kuhamia CDM. Kwa misingi hii hamna mtu anayeweza kuja na takwimu halisia eti bila lowasa mambo yangekuwaje UKAWA?? kama yupo azilete.
Hoja yangu ni hii;
Lowasa mpaka sasa amegeuza kila aina ya mafanikio ya UKAWA kuwa yake binafsi na kujinasibu kuwa yeye ndo ameyaleta. Amekuwa akijinasibu kwa kauli za kujisifia binafsi kana kwamba chadema na ukawa havikuepo na yeye ndo alikuja kiuasisi chadema na muungano wa ukawa. Kauli za lowasa zinakiweka chama mikononi mwake, na si mikononi mwa wanachama waliosumbuka kukijenga chama hiki kwa machozi, jasho, damu, vifo, njaa, na kudhalilishwa na Nguvu za DORA.
mfano wa kauli za lowasa
- "nimewawezesha wapinzani kufikisha wabunge zaidi ya 100, tukiweka na viti maalum"
- "nimewasaidia kushikilia jiji la dar es salaam"
- "nitagombea 2020, najiandaa na uchaguzi mkuu "
- "nimeufanya upinzani kuwa na nguvu kuliko wakati wowote"
Na nyingine nyingi zenye utata,; swali ni je kwanini hizi "nime" zisiwe "chama kime"
Alafu toka lini Lowasa amefuta taratibu za kumpata mgombea urais ndani ya chama na kujihakikishia nafasi ya kugombea uchaguzi mkuu 2020 ??
LOWASSA apewe onyo, na afunzwe kuwa siasa ni collective and integrated efforts na sio One man show or else mtwambie kama amekabidhiwa chama mikononi mwake, na lini ilifanyika hivyo
ukiacha yai la nyoka uvunguni kwako ati kisa halina madhara, na ukaendelea na shughuli zako za uchumi, iko siku utarudi ukute limetotolewa, na sumu ya huyo nyoka mdogo ikakumaliza. learn if your wise enough
Hivi kumbe mnashindwa kula wala kunywa maji kisa lowassa? Kweli lowassa kawaacha yatima. Muacheni mzee wawatu apumue sisi watz wa hali ya chini bado tunamhitaji
mtu kupewa onyo kwa mapungufu yake haimaanishi kuwa haitajiki, tunaopenda kujenga chama tunasema mapema ili tusijelaumiana huko mbeleHivi kumbe mnashindwa kula wala kunywa maji kisa lowassa? Kweli lowassa kawaacha yatima. Muacheni mzee wawatu apumue sisi watz wa hali ya chini bado tunamhitaji
Mimi ni mwana CCm ila naona kama huyo jamaa hawezi kua chademaKwani unajuaje kuwa aliyeleta mada hii si mwana CHADEMA?