CHADEMA: Lissu ndiye target, Lema ni amplifier

nimekuunga mkono katika hili Mkuu ,kuraruana huku kunadhoofisha mapambano yao
 
nimekuunga mkono katika hili Mkuu ,kuraruana huku kunadhoofisha mapambano yao
nakubali gentleman,
mapambano yanaongozwa na discipline, ustahimilivu, kustahimiliana, kusitiriana na subra.

na wakati mwingine kukaa kimya tu ni mbinu muhimu sana ya kuimarisha mapambano na kuwapa nguvu wapambanaji, kuliko kusema kitu ambacho kinawagawa na kinawavunja moyo wapambanaji na kuanza kuchagua upande wa kuutetea na kuanzisha mapambano mpya ya wao kwa wao, huku yale mapambano ya msingi yakipewa kisogo 🐒
 
tatizo linakuja pale wanapotaka kuchukia kila mtu kila kitu , ni ngumu
 
..matatizo yote hayo yanatokana na siasa chafu za Ccm.

..mahali popote pale penye DHULUMA lazima wanaharakati wawepo, na wawe na sauti.

..Na katika mapambano dhidi ya dhuluma baadhi ya wanaharakati husaliti wenzao hilo wala sio jambo jipya.
Umenikumbusha muvi ya sarafina
 
tatizo linakuja pale wanapotaka kuchukia kila mtu kila kitu , ni ngumu
sure,
hiyo ni ngumu mno na haiwezekani.

in fact,
dhana hiyo imechelewesha malengo mengi sana kufikiwa kwa wakati.

Nadhani ni muhimu zaidi wanasiasa kua na agenda za kumobilise wananchi kimaendeleo.
Ila hii ya kumobilise watu kuchukia kila mtu mwenye maoni tofauti na yako, I don't know ni aina gani ya siasa hii. Nadhani ni ngumu mno kufanikiwa na itaendelea kuchelewesha wanasiasa wengi kufikia malengo 🐒
 
Lema Dhambi ya Kumsaliti Mbowe inamtafuna, alishirikiana na hawa wanaharakati uchawara kumtukana mbowe huku yeye akijificha nyuma ya pazia
 
Mbona siuoni muhuri kwenye karatasi hiyo kama barua zote za serikali zinavyotakiwa kuwa nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…