CHADEMA leaders you have let us down in grooming EALA Candidates, a lot of credit to NCCR MAGEUZI

Thanks for your concern,
Kama kweli tunaweka maslahi ya Taifa mbele, hakuna sababu ya kulalama, kwani lazima umchague mgombea wa chadema!? ..... chagua mtanzania mwenye uwezo, akatuwakilishe inavyopaswa..... ndio maana ya kupiga campaign, na ndio maana ya kupiga kura!
 
Kuna mtu alishaweka thread moja kuulizia jinsi mchakato wa kuwapata wagombea kupitia Chadema, lakini majibu hayakuwa kama matarijio ya wengi!! No body knew about the chances for opposition parties, matokeo yake tukaja kusikia Komu keshapitishwa sijui na nani? na list ya wagombea walioomba hatujui, wala mchakato ulivyofanyika kwa ajili ya kuwachuja haijulikani.

There is one thing that I must put clear to all members and non-members of Chadema. Those days of selecting someone because of friendships, or names, or old stories or anything else are OVER. We must stick to the principles and regulations and no more bypassing (making shortcuts). Ni kuweka wazi vitu vinavyotakiwa kuwa wazi kwa manufaa ya huko mbeleni. M4C Forever.
 
Hili ni tatizo letu wengi! tumejinga imani kuwa anayeongea kingereza kingi sana ndo anakuwa makini (competent), masuala makini hayahitaji mbwembwe zisomaana na kuongeza maneno mengi yanayoweza kufupishwa na sentensi moja basi.
Mama wa NCCR nimependa alivyoanza kujieleza, ni mtu makini na alijua anatafuta nini na kwa mtatzamo wangu, wanastahili kuwa miongoni mwa wawakilishi wetu 9.

Tukija kwa Komu, alikuwa precise na alieleweka, binafsi namkubali kama ilivyo kwa Le Mutuz@ Dodoma City, wote walisimama kwenye hoja na sio maneno meeeeeeeengi kama reli.
Makongoro msikie, anaweza kuwa anachekesha lakini amejipanga na anajua kwa nini anagombea.
Kwangu mpaka naamini Komu/Kessy na Makongoro watakuwa miongoni mwa wawakilishi wetu EALA
Naweza kukubaliana na hoja ya kwanini CDM walipeleka mgombea mmoja, walipaswa kuwaleta wagombea zaidi ya mmoja, lakini hili ni suala la mfumo wao na kama wanadhani ni mzuri tunawaacha waendelee
 
Kwanza mmeshasema lugha ya malkia sasa inakuaje mnaloloma ovyo,sioni kama kuna shida hapo nadhani tungeweza kulaumu endapo wangekosea kuongea kiswahili
au Lugha zao za makabila,acheni kuthamini vya wenzenu na kudharau vya kwenu,mtakuwa watumwa mpaka lini?
 
i believe CDM have their strong reasons of not doing so.
what we are suppose to do, is to seek to know those reasons.

kwa uwezo wapo wana CDM chungu nzima wenye sifa na uwezo stahiki.
 
UDP wameleta mgombea ambaye ni competent amejieleza vizur SANA, big up Dr fortunatus Masha
 
The question is why only Komu? and why the information was not well communicated and effectively to encourage other competent members to increases the chances, people need to see good candidate from what we call chama makini! if we put good and competent candidate and ccm dont vote for them then wananchi will see it and will sympathize with them, we need to agree here CHADEMA has screwed this... and we deserve explanation

mkuu mbona suala la wagombea wa chadema lilitangazwa na wakajitokeza wanachadema kuchukua fomu. chama kikaendesha taratibu zake na mwisho wa siku wakafanya uchaguzi aliyeshinda ni komu , mimi nakushangaa wewe kuwalaumu viongozi wa chadema badala ya kuwalaumu wajumbe waliomchagua huyo ambaye wewe unamuona siyo competent au ulitaka viongozi wa CDM waingilie chaguo la wajumbe kama chama cha ccm. Think criticaly
 
The question is why only Komu? and why the information was not well communicated and effectively to encourage other competent members to increases the chances, people need to see good candidate from what we call chama makini! if we put good and competent candidate and ccm dont vote for them then wananchi will see it and will sympathize with them, we need to agree here CHADEMA has screwed this... and we deserve explanation

Ki - ingereza bana!! kweli wala siyo kuwa na akili kukijua!!
Hapo kwenye red pako sawa?
 
mkuu mbona suala la wagombea wa chadema lilitangazwa na wakajitokeza wanachadema kuchukua fomu. chama kikaendesha taratibu zake na mwisho wa siku wakafanya uchaguzi aliyeshinda ni komu , mimi nakushangaa wewe kuwalaumu viongozi wa chadema badala ya kuwalaumu wajumbe waliomchagua huyo ambaye wewe unamuona siyo competent au ulitaka viongozi wa CDM waingilie chaguo la wajumbe kama chama cha ccm. Think criticaly

Escober, may you pls give us the list of other CHADEMA CANDIDATES whom were contesting apart from Anthony Komu? Chadema had an opportunity to put more candidates in opposition group and other group but they did not! do you know why? why only one name? if other member contested within the party as per your above explanation?
 
Mimi nadhani kutokana na jinsi utaratibu wa kuwapata hao wabunge ulivyowekwa and other political party-CCM kuwa 'dogs in a manger' nadhani iliwa discourage wengi kugombea kupitia vyama shindani.

Kama majamaa yalijipa nafasi zote hizo sasa ingelikuwa kama bahati nasibu kwa wengine kupitia mlango huo.

Utaratibu ubadilishwe kwanza!!
 
Hivi uzuri wa mtu ni kuongea au utendaji wake wa kazi? Je ni nani aliyetuloga na kufikiri kwamba bila kiingereza nchi hii haiwezi kuendelea? Waulizeni wachina kama wanaweza kufanya upumbavu unaofanyika leo pale. Je wachina wanaweza kuanza kuhojiana kwa Kiswahili kwenye bunge lao? Je Wafaransa wanaweza kufanya yale yanayofanywa na bunge la Tanzania? Na Waingereza wenyewe wanaweza kufanya hivyo? Kimsingi ni mpumbavu tu ndiye anayeweza kumuhoji mtu kwa lugha asiyoijua. Huu ndiyo hasa ukoloni!
 
Nimehabarishwa kwamba huko dodoma cdm watake kususia uchaguzi kukwepa aibu ya kingereza. wenye habari naomba mnipe kinachoendelea sina access ya taarifa kwa sasa

.
Subiri wala usihangaike kutafuta access ya mjengoni wakiisha maliza uchaguzi tutakuhabarisha.
.
 
Huo ndo ukoloni mambole,mnambeza Kumo wakat na nyie nyuzi zenu "mmezipamba"kwa marashi ya kimagharibi..embu acheni kufikiri kwa lugha za kigeni.
 
Back
Top Bottom