CHADEMA kwenye tangazo hili wanamaanisha nini?

Kuweka neno shilingi kwenye tangazo hapo unajua moja kwa moja kuwa chadema wanaandaa njia ya kutupiga. Jamaa kwa upigaji hawajambo!
 
Bila shaka sababu Chadema ni Chama cha matajiri....makapuku hatuna nafasi huko.
Mzee Mtei, Bob Makani, Ngaiza, Shanga, Ndesamburo na Tuntemeke Sanga waasisi wa Chadema hakuna kapuku hapo

Tanu walimtegemea mzee Kawawa kupata hela za matumizi.
 
Kuweka neno shilingi kwenye tangazo hapo unajua moja kwa moja kuwa chadema wanaandaa njia ya kutupiga. Jamaa kwa upigaji hawajambo!
Wewe unepigwa mpaka ubongo, ujue wanachukua chako mapema wanavyowaliza wanyonge was kijani.
 
Mwenye kuelewa atusimulie na sisi tuwe sehemu ya mpango huu , maana hiki Chama kila mara kinakuja na mambo mazuri ya kushangaza lakini ya kuigwa pia.

Zipo taarifa kwamba CHADEMA ndio wanaotoa dira ya Taifa, sasa ili tusiachwe nyuma ni vema tukaeleweshwa kinachoendelea.

View attachment 2126407View attachment 2126411
Mungu ibariki CHADEMA... Nitajiunga kwenye mnyororo hakika
 
Screenshot_20220222-083112.jpg
 
Freemasons hiyo, ndio maana kuna shilingi, pesa pesa pesa pesa pesa pesa, freemasons daima
 
Mwenye kuelewa atusimulie na sisi tuwe sehemu ya mpango huu , maana hiki Chama kila mara kinakuja na mambo mazuri ya kushangaza lakini ya kuigwa pia.

Zipo taarifa kwamba CHADEMA ndio wanaotoa dira ya Taifa, sasa ili tusiachwe nyuma ni vema tukaeleweshwa kinachoendelea.

View attachment 2126407View attachment 2126411
Wanapanga kuleta taharuki nchi isitawalike! Lazima washughulikiwe haraka kabla hawajaleta madhara kwa taifa lrtu. Hawa watu ni hatari sana.
 
Hahaha BBI ya Raila - kila shilingi moja na mtu mmoja.
 
Wanapanga kuleta taharuki nchi isitawalike! Lazima washughulikiwe haraka kabla hawajaleta madhara kwa taifa lrtu. Hawa watu ni hatari sana.
Si gaidi aliyefadhili laki 6 ili kulipua nchi yuko selo , au wako wengine ?
 
Bwashee hivi wewe unajua kusoma na kuelewa kweli? Kama unajua ebu basi dadavua hilo tangazo
Mimi nilisha maliza na wengine wote wamenielewa pengine no wewe tu, bado nitarudi baadae kidigo Kwa ufafanuzi wa kina ili upate kunielewa.
 
Back
Top Bottom