jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 651
- 2,246
Nawashangaa ndugu zangu CHADEMA kwa ninyi kukubali kuhujumiana hapo Ubungo ilhali wazi mnatambua kugawika kwenu ndani ya chama ni rasmi mnaipa mwaya wa kupenya CCM bila ugumu wowote.
Haipo sababu yeyote ya msingi kwanza kwa uongozi mzima wa Wilaya kufukuzwa wakati huu wa uchaguzi bali mlipaswa kutanguliza maslahi ya chama mbele.
Ni dhahiri pamoja na Kubenea kutokuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa awe mgombea kwa awamu nyingine lakini ni ukweli analo kundi kubwa litalomuunga mkono huko aelekeako kwa Zitto na hali hiyo itapelekea kura za wapinzani kugawika katika jimbo hilo na itapelekea CCM kujishindia mapema tu.
Boniface na asahau kushinda jimbo hilo kwa mgawanyiko huo!
Muda utaongea.