CHADEMA kwanini mmekubali kugawika Jimbo la Ubungo?

Luna uwezekano Chadema kupigwa vibaya sana kwa sababu ya njia iliyotimika kumpata mshindi
Nani kaibuka mshindi,na kwa nini ushindi wake umekupa shaka na washindani wake walikuwa ni akina nani?
 
Nawashangaa ndugu zangu CHADEMA kwa ninyi kukubali kuhujumiana hapo Ubungo ilhali wazi mnatambua kugawika kwenu ndani ya chama ni rasmi mnaipa mwaya wa kupenya CCM bila ugumu wowote.

Haipo sababu yeyote ya msingi kwanza kwa uongozi mzima wa Wilaya kufukuzwa wakati huu wa uchaguzi bali mlipaswa kutanguliza maslahi ya chama mbele.

Ni dhahili pamoja na Kubenea kutokuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa awe mgombea kwa awamu nyingine lakini ni ukweli analo kundi kubwa litalomuunga mkono huko aelekeako kwa Zitto na hali hiyo itapelekea kura za wapinzani kugawika katika jimbo hilo na itapelekea CCM kujishindia mapema tu.

Boniface na asahau kushinda jimbo hilo kwa mgawanyiko huo!

Muda utaongea.
Kwani katika uchaguzi kwanzia 2010 Chadema walishindaje?hivyo hivyo ndio watashinda na huu Uchaguzi ndugu.najuwa wewe ni team ya yule jamaa aliyekimbilia Act.
 
Nawashangaa ndugu zangu CHADEMA kwa ninyi kukubali kuhujumiana hapo Ubungo ilhali wazi mnatambua kugawika kwenu ndani ya chama ni rasmi mnaipa mwaya wa kupenya CCM bila ugumu wowote.

Haipo sababu yeyote ya msingi kwanza kwa uongozi mzima wa Wilaya kufukuzwa wakati huu wa uchaguzi bali mlipaswa kutanguliza maslahi ya chama mbele.

Ni dhahili pamoja na Kubenea kutokuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa awe mgombea kwa awamu nyingine lakini ni ukweli analo kundi kubwa litalomuunga mkono huko aelekeako kwa Zitto na hali hiyo itapelekea kura za wapinzani kugawika katika jimbo hilo na itapelekea CCM kujishindia mapema tu.

Boniface na asahau kushinda jimbo hilo kwa mgawanyiko huo!

Muda utaongea.
Naunga mkono hoja kuwafukuza mamluki wote
 
Uzuri ni kwamba watu hawataki kusikia kitu inaitwa CCM.

Mungu ibariki chadema.

Msifanye makosa Oktoba,

Tunza vizuri kadi yako ya kupigia kura.
 
Sawa.

Lakini kwa nini Chadema Ubungo wamekubali kugawika kizembe namna ile tena mwanzoni kabisa ya zoezi muhimu namna hii?!
Kama Kubenea tu na Jacob unaona mgawanyo, je CCM yenye watia Nia 60 Rorya utasemaje?
 
Nawashangaa ndugu zangu CHADEMA kwa ninyi kukubali kuhujumiana hapo Ubungo ilhali wazi mnatambua kugawika kwenu ndani ya chama ni rasmi mnaipa mwaya wa kupenya CCM bila ugumu wowote.

Haipo sababu yeyote ya msingi kwanza kwa uongozi mzima wa Wilaya kufukuzwa wakati huu wa uchaguzi bali mlipaswa kutanguliza maslahi ya chama mbele.

Ni dhahili pamoja na Kubenea kutokuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa awe mgombea kwa awamu nyingine lakini ni ukweli analo kundi kubwa litalomuunga mkono huko aelekeako kwa Zitto na hali hiyo itapelekea kura za wapinzani kugawika katika jimbo hilo na itapelekea CCM kujishindia mapema tu.

Boniface na asahau kushinda jimbo hilo kwa mgawanyiko huo!

Muda utaongea.
Kinachotakiwa ni umoja muda huu wala mtu asiangalie migawanyiko.
 
Shida hapo ni Kubenea anataka kwenda Nccr mageuzi ila wafuasi wanamtaka aende ACT WAZALENDO..kivyovyote siasa ya Ubungo ni chadema tu ...ila mpasuko utapelekea yale yale ya segerea ..
 
Mkuu Kubenea kama alivyofanya Mnyika hakuna aliyemzuia kuchukua fomu , na inaweza kuwa ni kiroho safi tu , tofauti na mleta mada anavyotaka kutuaminisha , kwa sasa hakuna mtu kuachiwa jimbo peke yake , sisi Kyela tulikuwa wagombea zaidi ya 10 , wengine wakajipunguza wenyewe hatimaye tukabaki watano , ambapo mmoja ameshinda , kwahiyo haya mambo sometimes yanakuwa hivyo mkuu
Mkuu kwanza hongera kwa kumiza matamanio yako kuchukua form ya ugombea.
Vipi kura zilitosha umepita chamani?
 
Back
Top Bottom