Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,924
- 50,959
Kati ya Mwinyi, Mkapa, Kikwete ni yupi mhula wake wa kuwa Mwenyekiti ulifanana na unaotajwa kwenye katiba ya chama chenu. Katiba ya Chama chenu inasema kwamba Mwenyekiti huchaguliwa kila baada ya miaka mingapi na lini ilifanyika hivyo?Vyovyote vile lkn kuna Uongozi mpya unakuja kila baada ya miaka 5-10,
kwakweli chadema kwa kipindi hiki tunapitia wakati mgumu sana kwahiyo sio vema kufanya majaribio kindi hiki ili tusije pata watu kama katambi, nawengine wa namna hiyoLabda kwa sababu hsujapata nafasi ya kujua uwezo wa wengine, sasa utaujuaje kama hutoi nafasi?
Kati ya Mwinyi, Mkapa, Kikwete ni yupi mhula wake wa kuwa Mwenyekiti ulifanana na unaotajwa kwenye katiba ya chama chenu. Katiba ya Chama chenu inasema kwamba Mwenyekiti huchaguliwa kila baada ya miaka mingapi na lini ilifanyika hivyo?
Rudia kusoma taratibu huu uzi na uutafakari kabla hujajibu utapata kitu, weka mahaba pembeni uruhusu ubongo kufanya kaziKwa hiyo unataka tujifunze kuuwa na kiteka watu? Au kuteuwa vichaa wanao jitekenya na kucheka wenyewe?au uwizi wa kutaifisha mali ya watu na kuandika msajili wa majumba?nimesahau kuwa na akili ya kimaskini na kudhani matajiri ni adui zetu?
Unatetea ugali wakoFikiria chadema nayo ingekuwa na Mwenyekiti mpya kila baada ya Miaka 5-10 hamuoni kwamba ingewasaidia kutatua matatizo yenu kwa kuleta mawazo mapya yawe mabaya au hata kama siyo bora kulinganisha na ya uongozi uliopita lkn hii inasaidia Chama kukua na kukomaa!
Sasa hivi ni zamu ya Magufuli na yeye ana timu yake na wana mawazo yao ya jinsi ya kuongoza CCM na haijalishi kama ni mazuri au la lkn moja linabakia baada ya wao kuondoka 2025 CCM itazidi kukomaa!
Sasa chadema Uongozi ule ule kwa zaidi ya miaka 20 mnawezaje kupata Viongozi wazuri kama hamtoi nafasi kwa wengine kuja na mawazo mapya?
I mean msitafute mchawi, ninyi ndiyo tatizo, mnaendekeza Umungu mtu, ...
Hata wakina Nyerere walikaa zaidi ya miaka 20 kabla ya kuachia madaraka.
Chama mwanzo wake nimgumu lazima.iwe namizizi safi kwanza.ka la ya kumwachia mwingine.
Mkuu umekuja na wazo zuri sema wafu wa ubongo kazi yao ni kupambana na wewe badala ya kujibu hojaVyovyote vile lkn kuna Uongozi mpya unakuja kila baada ya miaka 5-10, na hii ni muhimu kwa ustawi wa Chama kwani kinakaribisha mawazo mapya na pia kutoa fursa ya kujifunza ktkana na Uingozi uliopita na kujaribu kuboresha, sasa chadema hakuna kubadilisha Uongozi mawazo hayo hayo ya watu hao hao kwa miaka zaidi ya 20, mnategemea mabadiliko hapo?
Kwa mfano kwa maoni yangu Mbowe hakupaswa kuwa KUB tena alishakalia hiyo nafasi angetoa fursa kwa wengine pia ili kupima uwezo waona pia kuwapa imani Wanachama wengine kwamba wana nafasi ya kufika juu!
Boss Barbarosa Ukiona hivyo ujue, Mh. Mbowe kawashika pabaya. Kila mnalopanga kuiua Chadema mnashindwa. Kuna mmoja alisema kabla ya Uchaguzi Chadema itakuwa ishakufa kabisa. Mkashindwa na Akashindwa. Sasa hivi mnanunua Wapinzani, Chadema bado ipo.
Ukishaona mpinzani wako anakushauri, tafakari mara mbili mbili.
Ila la kubadilisha Uongozi kwa awamu, nakuunga mkono hoja.
Ila ushauri wangu kwako na kwenu, msiue Upinzani. Upinzani ni mzuri kwa Afya na Ustawi wa Taifa, Taasisi, Kundi, Ndoa, Familia. Bila Upinzani Imara hakuna maendeleo. Na zama za Ndio Mzee zimepitwa na wakati.
Hamasisheni wananchi kufuata Katiba na Sheria za Nchi.
Kama kweli wamenunuliwa ndio mjue wapinzani mna matatizo kwann mnunuliwe?endeleeni na siasa zenu za majitaka za kununua wabunge na madiwani
Tofautisha kushauriwa na kuogopwa kwa mboe.Najiulizaga Sanaa maswal kwanin ccm mnamuogapa Sana Mbowe.... Baba mbowe shikilia hapohapo siku ukitoka mkalishe Mr lisu waisome namb vzur.
mnanunua wapigakura kwa tishetina kanga mtashindwa nini kununua viongozi-njaa?Kama kweli wamenunuliwa ndio mjue wapinzani mna matatizo kwann mnunuliwe?
Acha kufananisha CCM na vitu vya ajabuFikiria chadema nayo ingekuwa na Mwenyekiti mpya kila baada ya Miaka 5-10 hamuoni kwamba ingewasaidia kutatua matatizo yenu kwa kuleta mawazo mapya yawe mabaya au hata kama siyo bora kulinganisha na ya uongozi uliopita lkn hii inasaidia Chama kukua na kukomaa!
Sasa hivi ni zamu ya Magufuli na yeye ana timu yake na wana mawazo yao ya jinsi ya kuongoza CCM na haijalishi kama ni mazuri au la lkn moja linabakia baada ya wao kuondoka 2025 CCM itazidi kukomaa!
Sasa chadema Uongozi ule ule kwa zaidi ya miaka 20 mnawezaje kupata Viongozi wazuri kama hamtoi nafasi kwa wengine kuja na mawazo mapya?
I mean msitafute mchawi, ninyi ndiyo tatizo, mnaendekeza Umungu mtu, ...
Kwa uzumbukuku wako wewe umeona upande mmoja tu wa wanaonunua hujaona kua na wanaokubali kununuliwa ni tatizo...ukitaka kufikiri vyema punguza mahaba upofu na misisimkomnanunua wapigakura kwa tishetina kanga mtashindwa nini kununua viongozi-njaa?
Kaka unapoteza muda kuwaelimisha wasiotaka kuelimisha,hawa wamelishwa kasumba,hawaoni wala kusikia juu ya Dj watakuja shtuka kumekucha na hili ndio kosa la hawa madikteta uchwara hawashauriki kisa Dj wao ambaye ni mwenyekiti wa maisha kwenye SACCOS ya mkweweLkn tofauti Mungu mtu wa CCM ana ukomo, lkn chadema hakuna na wala hakuna anayejua lini Mbowe utawala wake utafikia ukomo, sasa hilo siyo jambo jema kwa ustawi wa Chama!
Kumbe mwamgwaya Mbowe. Sasa hilo ni janga lenu wenyewe na Mungumtu wenu wa kukurupuka ambae hashauriki.Lkn tofauti Mungu mtu wa CCM ana ukomo, lkn chadema hakuna na wala hakuna anayejua lini Mbowe utawala wake utafikia ukomo, sasa hilo siyo jambo jema kwa ustawi wa Chama!
Kwa uzumbukuku wako
Nakufundisha kupunguza misisimko na mahaba upofuunaanza kuni judge, siyo?