Mleta uzi wachekesha. Mungu Mtu si mnae wenyewe. Na mnashangilia kila kitu chake.
Hebu tueleze ukomo wa Mwinyi ulitokeaje, wa Mkapa nao ulimalizwaje na Kikwete na kwa Kikwete naye ukomo wake ulifikaje hata Magufuli akawa Mwenyekiti wenu.Lkn tofauti Mungu mtu wa CCM ana ukomo
Fikiria chadema nayo ingekuwa na Mwenyekiti mpya kila baada ya Miaka 5-10 hamuoni kwamba ingewasaidia kutatua matatizo yenu kwa kuleta mawazo mapya yawe mabaya au hata kama siyo bora kulinganisha na ya uongozi uliopita lkn hii inasaidia Chama kukua na kukomaa!
Sasa hivi ni zamu ya Magufuli na yeye ana timu yake na wana mawazo yao ya jinsi ya kuongoza CCM na haijalishi kama ni mazuri au la lkn moja linabakia baada ya wao kuondoka 2025 CCM itazidi kukomaa!
Sasa chadema Uongozi ule ule kwa zaidi ya miaka 20 mnawezaje kupata Viongozi wazuri kama hamtoi nafasi kwa wengine kuja na mawazo mapya?
I mean msitafute mchawi, ninyi ndiyo tatizo, mnaendekeza Umungu mtu, ...
mnamtaka mwenyekiti dhaifu na maskini mwenye njaa ili mumnunue? shenzi kabisa wewe kuku a mdondoFikiria chadema nayo ingekuwa na Mwenyekiti mpya kila baada ya Miaka 5-10 hamuoni kwamba ingewasaidia kutatua matatizo yenu kwa kuleta mawazo mapya yawe mabaya au hata kama siyo bora kulinganisha na ya uongozi uliopita lkn hii inasaidia Chama kukua na kukomaa!
Sasa hivi ni zamu ya Magufuli na yeye ana timu yake na wana mawazo yao ya jinsi ya kuongoza CCM na haijalishi kama ni mazuri au la lkn moja linabakia baada ya wao kuondoka 2025 CCM itazidi kukomaa!
Sasa chadema Uongozi ule ule kwa zaidi ya miaka 20 mnawezaje kupata Viongozi wazuri kama hamtoi nafasi kwa wengine kuja na mawazo mapya?
I mean msitafute mchawi, ninyi ndiyo tatizo, mnaendekeza Umungu mtu, ...
Chama kilicho kosa mielekeo kwa miaka zaidi ya hamsini kitaitwa je na chama chenye fikra mpya? Yaani badala ya kutekeleza ahadi na sera zao wamebaki kuwa nunua viongozi wa upinzani na kuwafanya midoli kila kona.Mleta uzi wachekesha. Mungu Mtu si mnae wenyewe. Na mnashangilia kila kitu chake.
Lengo lao ni Mbowe aache wamweke pandikizi kama Pumba ili wakisambaratishe chama makini. Wame loba......Najiulizaga Sanaa maswal kwanin ccm mnamuogapa Sana Mbowe.... Baba mbowe shikilia hapohapo siku ukitoka mkalishe Mr lisu waisome namb vzur.
Hebu tueleze ukomo wa Mwinyi ulitokeaje, wa Mkapa nao ulimalizwaje na Kikwete na kwa Kikwete naye ukomo wake ulifikaje hata Magufuli akawa Mwenyekiti wenu.
Hivi kwenye chama chenu huwa kunakuwa na uchaguzi wa kumchagua Mwenyekiti Taifa na huwa unaendeshwaje?
Huu ni mkuki kwa jamaa zetu, subiri makombora, yule ni wa maishaFikiria chadema nayo ingekuwa na Mwenyekiti mpya kila baada ya Miaka 5-10 hamuoni kwamba ingewasaidia kutatua matatizo yenu kwa kuleta mawazo mapya yawe mabaya au hata kama siyo bora kulinganisha na ya uongozi uliopita lkn hii inasaidia Chama kukua na kukomaa!
Sasa hivi ni zamu ya Magufuli na yeye ana timu yake na wana mawazo yao ya jinsi ya kuongoza CCM na haijalishi kama ni mazuri au la lkn moja linabakia baada ya wao kuondoka 2025 CCM itazidi kukomaa!
Sasa chadema Uongozi ule ule kwa zaidi ya miaka 20 mnawezaje kupata Viongozi wazuri kama hamtoi nafasi kwa wengine kuja na mawazo mapya?
I mean msitafute mchawi, ninyi ndiyo tatizo, mnaendekeza Umungu mtu, ...
wapo wengi ila kwa sasa sijaona mapungufu yakeKwa hiyo unataka kuniambia chadema nzima strong man ni Mbowe tu na wengine wote ni watu dhaifu wasioweza kuaminiwa?