Soma hapa ambavyo 'Boss' wako William Malecelaalivyoandika kwenye facebook yake...Angalia sana hapo kwenye blue.
@ LE MUTUZ STRAIGHT TALK!!:
Leo kuna habari njema sana kwetu CCM, kwamba Mwenyekiti wa Chadema ameamua kujitoa kugombea Urais 2015, so I told you OUR OPERATION CHAOS is working kwani our never ending online attacks zimemfanya ajipime, ok now one more to go, next on line ni Dr. Slaa, naye ni lazima ajitoe kugombea ili our best interest Zitto ndiye awe mgombea wao 2015!
- NILIWAAMBIENI HAWA HAWANA MGOMBEA URAIS 2015, SO SASA WALE WOTE TUNAOSHIRIKIANA KUWADHOOFISHA KWA KUTUMIA MITANDAO TUZIDISHE MASHAMBULIZI KAMA ILIVYO SASA, NINALO BOMU MOJA LA KIONGOZI WAO MMOJA MAARUFU KUTAKA KUMBAKA DEMU MMOJA MAJUU NA KESI IPO MAHAKAMANI NA DOCUMENTS ZIPO, INA MAANA HUYU AKIPEWA KUGOMBEA CHADEMA AKAPATA URAIS HATARUHUSIWA KWENDA HIYO NCHI, SASA TUTAKUWAJE NA RAIS AMBAYE NI LIMITED KWENYE INTERNATINIONAL COMMUNITY? SAAFI SANA MHESHIMIWA MBOWE KWA KUJIPIMA NA KUACHIA NGAZI SASA MSHAURI NA MWENZAKO SLAA AJIPIME!!
KIDUMU CCM!
KIDUMU CHAMA TAWALA!!
HA! HA! HA! HA!
- LE MUTUZ!!
Imefika wakati Chadema kujisafisha mbele ya jamii kuchukuwa maamuzi mazito.
ni utumwa na ujinga kila siku kupost mada zinazohusu chadema
wewe uko CCM post mada zinazohusu chama chako
yako mengi humo,ufisadi,uuwaji,ugaidi,wizi,rushwa,ukiukwaji wa haki za binadamu,
kuhonga makanisani na misikitini, madawa ya kulevya, mikataba mibovu inayotuathiri sote,uuzwaji wa rasilimali zetu,
ugawaji hovyo wa vitalu, nk, hayo huyaoni eehhh?
ya chadema waachie chadema na ya CCM tuwaachie wenyewe.
wewe sio msemaji wao ndio maana kila chama kina msemaji wao.
its shame kwa kijana kama wewe kila siku kutumika badala ya kuitumika nchi yako
Ni ngumu sana, kuliko hata kuyeyusha jiweImefika wakati Chadema kujisafisha mbele ya jamii kuchukuwa maamuzi mazito.
Kinana ana tuhuma pia. Ameshajiuzulu?Mkuu, wewe una kompyuta na keyboard yako hipo sawa, kwanini usianzishe thread kuhusu mada ulizozitaja?
Mimi nachofahamu wahusika wote wenye hizo tuhuma walijiuzuru, sasa niweke thread ya nini?
Huyu Dr Slaa ambae mpaka sasa ni katibu mkuu wa CDM ingawa tuhuma kibao zina mkabili ndio yapaswa kuhoji!
Kinana ana tuhuma pia. Ameshajiuzulu?
Kwani ile operation chaos aliyotwambia kada wa CCM William Malecela (Le Mutuz) imekamilika? Au ndio hii inaendelea?Mungu is always correct. Ndio slaa kwenye chadema