CHADEMA kwa hili hamkuichagulia dola tusi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA kwa hili hamkuichagulia dola tusi!

Discussion in 'Entertainment' started by Omutwale, Nov 28, 2011.

 1. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #1
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Dawa pekee inayoweza kuwadhibiti CHADEMA ni kupiga marufuku viongozi na wanachama wao kufikiri. Maana kila mara dola inapojiona imeweza kiukweli ndo inakuwa ndo bado kabisa. Kama ni mechi basi hata mazoezi hayajaanza achilia mbali kupasha dakika chache kabla ya mechi.

  Gonga hapa ili twende sawa: VINEGA WAFANYA KUFURU DAR - Global Publishers

  Wanaharakati, CDM na wapinzani kwa ujumla wamedhibitiwa kwenye maandamano na mikusanyiko mikubwa. Kila mara sababu inayotolewa ni “sababu za kiintelijensia” na hofu ya shambulio la Al shahabab. La ajabu, hii intelijensia na Al shahabab havina shida kabisa na mikusanyiko ya Kuabudu, maandamano ya hisani (i.e Bishop Gamanywa’s Fund Raising) na matamasha ya burudani tena ya usiku yenye kukusanya watu wengi sana zaidi ya mikutano ya kisiasa.

  Kufana kwa hili tamasha la VINEGA ni ushindi wa mambo mengi na tusi kubwa lakini lisilo la wazi kwa dola. Upande mmoja, CDM kwa mara nyingine tena wameweza kujiweka karibu na vijana na wamejipambanua kama watetezi wa kazi za wazalendo. Wamedhihirisha kuwa si mchana tu bali hata usiku siasa za majukwaani zinaweza kufanyika bila kuvunja amani.


  Heko wapiganaji wa CHADEMA, Hongera Wazalendo wa nchi hii-Tanzania.

  Picha zote kwa hisani ya tovuti ya Glabal Publisher
   
 2. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #2
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  asante
   
 3. kanta

  kanta JF-Expert Member

  #3
  Nov 28, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 343
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kaka nimeipenda sana hii, inaitwa chenga ya mwili kwa lugha nyingine.
   
 4. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #4
  Nov 28, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Daah! hili bonge la chenga! halafu mtoa mada pia upo juu maana ulivyoiunganisha yani imekaa poa
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,381
  Likes Received: 22,253
  Trophy Points: 280
  CDM imeigalagaza CCM
   
 6. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #6
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  duuuuuuuuuuu! aisee umeongea pwenti tupu. sijui kwa nini sikuweza kuwaza kama wewe. Yaani hapa na mimi ndo nimefunguka akili, mweeeeeeee!
   
 7. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #7
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  CCM haina chao kwa vijana.
   
 8. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #8
  Nov 28, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Nasubiri kwanza kiomenti za Faiza Foxy na wenzie ndipo nitaendelea.............................
   
 9. Godlisten Masawe

  Godlisten Masawe Verified User

  #9
  Nov 28, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 739
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii ni kampeni ya kiakiri zaidi.
  Viva Chadema.
   
 10. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #10
  Nov 28, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Komba na tot plus wanapanga kutoa burudani ijumaa....
   
 11. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #11
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Komba sasa hivi yuko ktk mazoezi makali ya kukimong'onyoa kiuno...hye hye hyeee
   
Loading...