CHADEMA kuweni wamoja katika hoja zenu

CHADEMA kuweni wamoja katika hoja zenu

Leons Mwanda

Member
Joined
Oct 24, 2015
Posts
5
Reaction score
5
Kama chama tegemeo kwa wengi walio nje ya CCM, tunategemea CHADEMA mtaendelea kuwa wamoja katika vikao vyenu vya uchaguzi wa ndani.

Hatupendi kusikia malumbano na maneno yasiyo na tija kwa ustawi wa demokrasia yetu.

Kumbukeni uimara wenu katika siasa za nchi hii,ni muhimu sana kwa ajili ya MASLAHI MAPANA ya nchi yetu.

Kila la heri katika chaguzi zenu.
 
Kama chama tegemeo kwa wengi walio nje ya CCM,tunategemea CHADEMA mtaendelea kuwa wamoja katika vikao vyenu vya uchaguzi wa ndani.Hatupendi kusikia malumbano...
Umeyasikia kwa nani? Kutoka kwa mamlaka gani za chadema? mambo ya kubumba ya chawa wa Samia ambayo yamesemwa tangu vikao vya kamati kuu ya chadema vianze ndiyo unayaleta hapa kama from official news channels za chadema?

I guess and I might be very correct by 1,000,000% correct, wewe ni chawa wa Samia cum CCM
 
Back
Top Bottom