MAFILILI
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,377
- 1,200
Wanachama na wafuasi wa CHADEMA siku zote muwe wavumilivu katika siasa ni kawaida kwenye furaha na huzuni. CCM ni wakomavu, Arumeru Mashariki tumelalia pua, tukasema OK. Nyie mkawa na furaha,leo mahakama imemweka kando Lema kwa muda mnaanza kutoa maneno yasiyo na busara.
Kaeni chini mjipange, siasa ndivyo ilivyo; MAHAKAMA ni chombo huru na hakina undugu na CCM. Hakuna sababu za msingi kuwashushia lawama majaji na mahakimu, LEMA amevuna alichopanda. Leo ni manyunyu, mvua ya elnino itawakuta wakati wa uchaguzi mdogo.