Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,671
- 149,858
Kwa sasa nawashauri muwe makini kwani kuna watu wanaweza kushawishika na kutumika kuwahujumu/kuwagombanisha
Yanayoendelea CUF ni somo tosha kwenu na msisahau msemo wa waswahili unaosema: "mwenzako akinyolewa wewe tia maji."
Kuanzi sasa kuwe makini kabla hamjasema chochote hadharani na kila mtu awe askari wa mwenzie bila kujali cheo wala wadhifa wa mtu ndani ya chama.
Pia kuna trend fulani ambayo sio nzuri ila ni mapema mno kuiongea kwa sasa.
Ni ushauri tu.
Wabaya wenu wameshindwa ku-deliver na hawana dalili yoyote ya ku-deliver hivyo ponepone yao ni nyie kusambaratika tu na si vinginevyo.