Uchaguzi 2020 CHADEMA kuweni makini sana na Uchaguzi huu

Sina
Kwa tathmini ya harakaharaka inaonesha uchaguzi mwaka huu ni mgumu sana kwa CCM. Siyo kwasababu CCM haijafanya kitu , la , ila ni kwasababu raia wa nchi hii wameichoka kabisa. Ndiyo maana wamejaribu kuonesha na kutangaza miradi mingi iliyofanywa na Serikali yao lakini raia hawaelewi.

Kwa sababu hiyo CCM wanajaribu kutumia njia zingine ili wapate ushindi. Ndiyo maana nawatahadharisha chadema waangalie mambo yafuatayo ambayo nimeyashuhudia mimi mwenyewe hapa mwanza jimbo la nyamagana.

1. CCM wanazunguka shule za sekondari za boarding na kuwashawishi wanafunzi kuwapigia kura lakini pia kuwatumia kuingiza kura hewa.

2. Wasimamizi wa uchaguzi na makarani waongozaji kwenye vituo vyote vya kupigia kura ni makada wa CCM. Safari hii hata walimu wamepigwa chini wakisema kuwa hawajapewa stahiki zao kwahiyo wanahofu wataangusha.

Wote walioomba hiyo kazi walikuwa wanaulizwa maswali yafuatayo:
-Kama ni mwanachama wa CCM
- Kama yuko tayari kupokea maelekezo tofauti na kanuni za uchaguzi Kama kuingiza majina hewa au kuhakikisha mgombea wa CCM anashinda. Ukikataa utaambiwa asante kwa kushiriki.

Kwahiyo wanafunzi ndiyo wanaandaliwa kupelekwa kwenye vituo na kuingiza kura ambazo tayari zimeshapigwa.

Mbali na wanafunzi wafungwa na vyombo vya usalama wanaweza kutumika pia.

CHADEMA fuatilieni hayo na muwe na msimamo thabiti.

Sina Shaka na uchaguzi huu pamoja na yote hayo mungu wangu kaisha nitoa hofu ,kwa kweli sikufunga siku kumi nne bure ,Asante Sana jf mungu awabariki jukwaa murua Sana, mnanifanya kuwa na raha mda wote
 
HILI NI JUKWA LA "GREAT THINKERS". NAONA LITAKUJA JIPYA LINGINE LA "GREATEST THINKERS" KWA UHITAJI WAKE NI MKUBWA KUFUATANA NA HII MICHANGO YETU KWA SASA.
 
Kwa tathmini ya harakaharaka inaonesha uchaguzi mwaka huu ni mgumu sana kwa CCM. Siyo kwa sababu CCM haijafanya kitu , la , ila ni kwa sababu raia wa nchi hii wameichoka kabisa. Ndiyo maana wamejaribu kuonesha na kutangaza miradi mingi iliyofanywa na Serikali yao lakini raia hawaelewi.

Kwa sababu hiyo CCM wanajaribu kutumia njia zingine ili wapate ushindi. Ndiyo maana nawatahadharisha chadema waangalie mambo yafuatayo ambayo nimeyashuhudia mimi mwenyewe hapa mwanza jimbo la nyamagana.

1. CCM wanazunguka shule za sekondari za boarding na kuwashawishi wanafunzi kuwapigia kura lakini pia kuwatumia kuingiza kura hewa.

2. Wasimamizi wa uchaguzi na makarani waongozaji kwenye vituo vyote vya kupigia kura ni makada wa CCM. Safari hii hata walimu wamepigwa chini wakisema kuwa hawajapewa stahiki zao kwahiyo wanahofu wataangusha.

Wote walioomba hiyo kazi walikuwa wanaulizwa maswali yafuatayo:
  • Kama ni mwanachama wa CCM
  • Kama yuko tayari kupokea maelekezo tofauti na kanuni za uchaguzi Kama kuingiza majina hewa au kuhakikisha mgombea wa CCM anashinda. Ukikataa utaambiwa asante kwa kushiriki.

Kwahiyo wanafunzi ndiyo wanaandaliwa kupelekwa kwenye vituo na kuingiza kura ambazo tayari zimeshapigwa.

Mbali na wanafunzi wafungwa na vyombo vya usalama wanaweza kutumika pia.

CHADEMA fuatilieni hayo na muwe na msimamo thabiti.
Jamani siyo kwa mahaba haya. Wananchi leo wamemtamkia Magufuli live kwa sauti moja kwamba wanataka atawale miaka 15. Siyo propaganda niko live hapo TBC yuko njiani anaenda kwenyemkutano Babati mjini.
 
KURA ZA UBUNGE NA URAISI ZITASAFIRISHWA KWENDA KUHESABIWA JIMBONI, HAZITAHESABIWA KWENYE VITUO VYA KUPIGIA KURA

KURA ZA UDIWANI ZITASAFIRISHWA KWENDA KUHESABIWA MAKAO MAKUU YA KATA (KATANI)

WAPINZANI HAMPATI KITU.

KUWENI MAKINI
Tayari kuna kura za CCM wamepiga kishetani zimefichwa watatumia Polisiccm kuwafukuza mawakala wa vyama vingine kupenyeza kura haramu za kishetani
 
Kwa tathmini ya harakaharaka inaonesha uchaguzi mwaka huu ni mgumu sana kwa CCM. Siyo kwa sababu CCM haijafanya kitu , la , ila ni kwa sababu raia wa nchi hii wameichoka kabisa. Ndiyo maana wamejaribu kuonesha na kutangaza miradi mingi iliyofanywa na Serikali yao lakini raia hawaelewi.

Kwa sababu hiyo CCM wanajaribu kutumia njia zingine ili wapate ushindi. Ndiyo maana nawatahadharisha chadema waangalie mambo yafuatayo ambayo nimeyashuhudia mimi mwenyewe hapa mwanza jimbo la nyamagana.

1. CCM wanazunguka shule za sekondari za boarding na kuwashawishi wanafunzi kuwapigia kura lakini pia kuwatumia kuingiza kura hewa.

2. Wasimamizi wa uchaguzi na makarani waongozaji kwenye vituo vyote vya kupigia kura ni makada wa CCM. Safari hii hata walimu wamepigwa chini wakisema kuwa hawajapewa stahiki zao kwahiyo wanahofu wataangusha.

Wote walioomba hiyo kazi walikuwa wanaulizwa maswali yafuatayo:
  • Kama ni mwanachama wa CCM
  • Kama yuko tayari kupokea maelekezo tofauti na kanuni za uchaguzi Kama kuingiza majina hewa au kuhakikisha mgombea wa CCM anashinda. Ukikataa utaambiwa asante kwa kushiriki.

Kwahiyo wanafunzi ndiyo wanaandaliwa kupelekwa kwenye vituo na kuingiza kura ambazo tayari zimeshapigwa.

Mbali na wanafunzi wafungwa na vyombo vya usalama wanaweza kutumika pia.

CHADEMA fuatilieni hayo na muwe na msimamo thabiti.
Tulinde ushindi wa CDM tuitoe CCM sasa kwani wameharibu nchi yetu sana.
 
Back
Top Bottom