CHADEMA Kuweni makini na Mtwara

CHADEMA Kuweni makini na Mtwara

Ni vizuri chadema wakapokea ujumbe huu kwa umakini, maana sio tu kufutwa kwa chama ndo kutakiathiri lakini hata hizi propaganda zinazoelekezwa kwake kila linapotokea jambo baya linakiumiza chama ki taswira kwa wananchi..tusiamini sana kwamba kila mtu ameiva na ana uwezo wa kupangua makombora haya
 
Hata mimi nilijua hilo.Ila wajue CDM si mwanahalisi...ni chama ambacho hata mbowe, na slaa hawawezi afford fany aujinga wakabi salama.

CDM wasijibu maswali ya kijinga,wawasubiri CCM wapike ujinga.Halfu ikibidi CDM watoe controversial statement ya kussupport watu wa Mtwara gesi isitoke bila kusema au kukataa kama walihusika.Ila waambie CCM wathibitishe.Kwa haraka Lipumba mchumi atawahi chukua sifa kwani mafuta yatalipa kuliko serikali ya mseto anayomwonea donge Maalimu.

CCM watafanya bomba ya demo wajikute CDM inakuwa one of teh requirement tena.
 
kwa vyovyote vitatafutwa vielelezo hata vya kutengeneza ili kufanikisha hilo. Maana mbele ya CCM kwa sasa adui yake mkubwa ni CHADEMA. Kuna watu wameshare tu na mimi kama sehemu ya hofu yao. So si vema kupuuza. Cha msingi ni kuwa waangalifu tu na kauli zetu. Maana zinaweza kutumika kama ushahidi.
Ndio maana kaka umeona CHADEMA wapo kimya, hawagudi kabisa huko...walishajua mapema nini CCM wanaweza kufanya...Ndio maana unaambiwa kichwa cha kiongozi moja wa CDM sawa na viongozi zaid ya 10 wa CCM..
 
Kufuta CHADEMA au hata kufuta vyama vyote hakitasababisha wananchi kuacha kupigania mabadiliko. Tatizo kubwa watawala wetu hawataki kwenda na wakati. Hawataki kuangalia wanavyofanya wenzao wa mataifa mengine na jinsi ya kutatua migogoro hii. Jambo muhimu hapa ni kupeleka madaraka kwa wananchi zaidi.


HUJAELEWEKA MKUU, KAMA CHADEMA IKIFUTWA TUTAPIGANIA UKOMBOZI CHINI YA MWANVULI UPI? NAAMINI KUIFUTA CHADEMA JAPO HAIWEZEKAN NDO ITAKUWA MWANZO WA KUFUTIKA AMANi TANZANIA
 
Ni vizuri chadema wakapokea ujumbe huu kwa umakini, maana sio tu kufutwa kwa chama ndo kutakiathiri lakini hata hizi propaganda zinazoelekezwa kwake kila linapotokea jambo baya linakiumiza chama ki taswira kwa wananchi..tusiamini sana kwamba kila mtu ameiva na ana uwezo wa kupangua makombora haya

MKUU WAJUA WATANZANIA WA LEO C KM WALE WA 1947s KWA SASA WATU WANAELEWA SANA IVO WANAPUUZA PROPAGANDA ZOTE MBAYA DHIDI YA CHADEMA.

JAPO WANANCHI WA KUSINI WANATAKA NA KUISUBILI KWA HAMU M4C UKO MIKOA YA KUSINI LAKINI CUF KAJITAMBULISHA ZAID UKO, ANGALIA TANDAHIMBA, TUNDURU, LINDI MJINI, LIWALE NI MAENEO CUF KAENEA ZAID,
 
EBU SOMENI NA HII POST THEN MCONNECT DOTS MUONE KM KWELI MACCM YANAIUNGANISHA KWELI CDM KT SUALA GESI YA MTWARA??

Wabunge wa CCM wamemrarua waziri wa mambo ya nje Bernard Membe kuwa ni kinara wa Fujo na vurugu zinazoendelea Mtwara.

Wa Kwanza kuchangia alikuwa ni mbunge wa Newala, alisema Membe ni mtu hatari na ni kirusi Ndani ya chama kwani anamtumia mbunge mtwara mjini Murji na misikiti kumchafua Waziri wa Serekali za Mitaa Hawa Ghasia, Baada ya munde alifuata Hawa Ghasia ambaye naye alimshtutumu Membe kuwa anamfitini kwa kumtumia Murji, na Murji kupiga misikiti anaendesha mkakati kupitia misikiti ,''vurugu za mwezi January nyumba yangu pamoja na ya Mhe Anna Abdala zilichomwa moto Mhe mwenyekiti Jana tena wamechoma nyumba yangu na ofisi za chama moto nimefanya utafiti nimegundua ni waziri mwanzagu ndie anaenifitini kwa wananchi wa mtwara hii ni hatari sana kwa mustakabali wa chama na Taifa kwa Ujumla'

Waziri Ghasia alienda mbali zaidi kwa Kusema Kama investment membe anazo za kutosha mtwara lakini hazichomwi wala hazirushiwi mawe,hii inasikitisha.

Wakati Huo Huo mbunge wa nzega Dk kigwangallah ameitaka serekali imuondoe mkuu wa mkoa wa mtwara Simbakali kwakuwa Hana mahusiano mazuri na mashekhe na ili mkoa Huo utulie aondolewe mkotoliki apelekwe muislamu.
 
Chadema haiwezi kufutwa kwa hizo Posho wanazopeana Lumumba .
 
Acha kutisha watu wewe, mahakama inakwenda na facts.si mburura mahakama we trust the judiciary

Hapana suala siyo kutishana ila ni kulipa mtizamo mmbadala je ikiwa ni kweli CCM inajiandaa kufanya hayo nini maana yake....mimi naamini walio na madaraka ndani ya CCM hata Chama chao hawakijui kinataka nini...kwa kutojua Kwao mambo ya msingi hua wana sema lolote bila kufikiria yaani hua hawajui hata ni kwanini wao ni viongozi.... mfano kila kiongozi wa CCM hua anaamini "Chama ndiyo Serikali" ilhali kwa tafsiri ya CCM yenyewe "Serkali ni watu wenyewe na siyo Chama"...Mwl. alikua akisisitiza ulweli huo kuwa Chama SIYO Serikali .....yaani viongozi wa CCM ni watu waliotumia fedha kupata madaraka na hata CCM yenyewe hua wanakataa msimamo wake wanakuja na filosofia mpya kabisa ambayo wala haipo ndani ya CCM....kinacho wafananisha na CCM ni mashati ya kijani lakini kilichomo akilini mwao ni Chama kipya kabisaaa wala hakikasajiliwa Tanzania .... ni cha nje ya nchi ndio maana wanaamini safari za nje hua zina mafanikio zaidi ya kuuimarisha uchumi wa ndani ya nchi.
Tukirudi kwenye mada....kama watadhamiria kukifuta CDM basi yaliyo Mtwara yatakuwa ya Tanzania nzima....huu ndio ukweli wasioujua...kwasababu walipata madaraka kwa fedha hua wanadhani ukiuondoa ushindani ni fedha zaidi...kumbe Hali ya ushindani ndiyo inayozuia maafa zaidi....Ona yaliyo tokea Libya, Misri, Tunisia, Romania, USSR au sasa Syria yanatokana na kutokuwepo na USHINDANI (upinzani) wa kisiasa....bila ya upinzani ndani ya Tanzania leo hata CCM yenyewe isingekuwepo na wala Tanzania km nchi.
 
HUJAELEWEKA MKUU, KAMA CHADEMA IKIFUTWA TUTAPIGANIA UKOMBOZI CHINI YA MWANVULI UPI? NAAMINI KUIFUTA CHADEMA JAPO HAIWEZEKAN NDO ITAKUWA MWANZO WA KUFUTIKA AMANi TANZANIA

Huu ndio udhahiri wa mambo.... futa CDM tafuta taifa jipya na siyo Tanzania
 
EBU SOMENI NA HII POST THEN MCONNECT DOTS MUONE KM KWELI MACCM YANAIUNGANISHA KWELI CDM KT SUALA GESI YA MTWARA??

Wabunge wa CCM wamemrarua waziri wa mambo ya nje Bernard Membe kuwa ni kinara wa Fujo na vurugu zinazoendelea Mtwara.

Wa Kwanza kuchangia alikuwa ni mbunge wa Newala, alisema Membe ni mtu hatari na ni kirusi Ndani ya chama kwani anamtumia mbunge mtwara mjini Murji na misikiti kumchafua Waziri wa Serekali za Mitaa Hawa Ghasia, Baada ya munde alifuata Hawa Ghasia ambaye naye alimshtutumu Membe kuwa anamfitini kwa kumtumia Murji, na Murji kupiga misikiti anaendesha mkakati kupitia misikiti ,''vurugu za mwezi January nyumba yangu pamoja na ya Mhe Anna Abdala zilichomwa moto Mhe mwenyekiti Jana tena wamechoma nyumba yangu na ofisi za chama moto nimefanya utafiti nimegundua ni waziri mwanzagu ndie anaenifitini kwa wananchi wa mtwara hii ni hatari sana kwa mustakabali wa chama na Taifa kwa Ujumla'

Waziri Ghasia alienda mbali zaidi kwa Kusema Kama investment membe anazo za kutosha mtwara lakini hazichomwi wala hazirushiwi mawe,hii inasikitisha.

Wakati Huo Huo mbunge wa nzega Dk kigwangallah ameitaka serekali imuondoe mkuu wa mkoa wa mtwara Simbakali kwakuwa Hana mahusiano mazuri na mashekhe na ili mkoa Huo utulie aondolewe mkotoliki apelekwe muislamu.
chanzo cha udini ni ccm na serikali yenyewe! Tatizo la maccm ni unafiki! Pia naona majungu na chuki zisizo na maana hapo! Ccm ni janga kwa taifa letu kwa sasa!
 
Ukiangalia kwa hali ya mambo inavyoenda kwa taifa letu,ccm wameshindwa kuongoza tanzania chini ya vyama vingi na watanzania wa leo! Kiukweli ccm kama itaendelea kuongoza taifa letu, watanzania tusitafute mchawi, maana tumeona Arusha-bomu kanisani, shinyanga-mapigano na mauaji ya kuchinja kati ya waumini wa dini mbalimbali, tumeshuhudia waandishi wa habari waking'olewa meno na kucha bila ganzi, mtwara. Wabunge wa upinzani wanakamatwa kama majambazi ilihali wabunge wa ccm wakitamba kama wafalme, elimu mbovu, afya usiseme! Watanzania tunasubiri nini tena? Mtanzania anayelipenda taifa letu hawezi kuipa kura mwaka 2015!
 
Wakuu
mbona issue ya Mtwara ni CCM wenyewe wanahusika .vijiweni watu wanasema viongozi wa fujo hizo wote wako Bungeni na mwenyekiti anatoka Ruvuma huku katibu akitoka Mtwara
 
Back
Top Bottom