Chadema kuwatumia wanazuoni kuwa mawakala wake vituo vyote tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema kuwatumia wanazuoni kuwa mawakala wake vituo vyote tanzania

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Lu-ma-ga, Oct 4, 2010.

 1. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,838
  Likes Received: 467
  Trophy Points: 180
  Nakuja tena kwenye jamvi kama ifuatavyo.

  Kuna haja ya kujadili sote uwezekano wa kuwatumia wanazuoni ambao haki yao ya kuchagua imechakachuliwa na wachakachuaji. Lakini vijana hawa wanaweza kushiriki katika uchaguzi huu na kufanya mambo makubwa kuliko hata kudumbukiza kura katika ballot.

  • Vijana hawa wakitumika kama mawakala watafanya kazi nzuri sana, kwa kuwa kurubunika kwa vijisenti vya mafisadi haitakuwa rahisi, na kama itatokea kwa baadhi ya kiwango chake chaweza kuwa chini ya 5% kwa kuwa hawa ni waelewa na wanajua madhara ya kuuza haki
  • CHADEMA watakuwa na uhakika wa usalama wa kura zao kwa kiwango cha 95%
  • Tuangalie je? Wanazuoni hawa kwa ushiriki wao kama wakala watumika kiukanda kufuatana na wanakotoka au kwa vyuo wanvyosoma? Mfano wanazuo wanaotoka kanda ya ziwa wapewe uwakala Lake zone posts, au wanaosoma vyuo vya Lake zone ndiyo wapewe?
  • Tunangalie uwezekano wa chama kuwapa motisha kwa kiwango gani?
  Naamini kuwapata wanazuoni usalama wa kura utakuwa kwa kiwango cha juu na pia hata zoezi la kuchakachua halitawezekana kwani hawa ni wasomi wanajua kuwa THE FUTURE OF OUR COUNTRY WILL BE BRIGHT SOON.

  Tujadili tafadhali
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,252
  Likes Received: 19,382
  Trophy Points: 280
  du hawa hawana njaa kweli? Ngoja tuone chadema watakuja na mikakati gani.
   
Loading...