chadema kuwasha moto udsm kesho.

chadema kuwasha moto udsm kesho.

menyidyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2010
Posts
1,339
Reaction score
194
naam. viwanja ni mabibo hostel jumamosi kuanzia saa 7mchana. dr slaa, mbowe, mnyika yaani timu zima ya chadema. ulikuwa unajua hii
 
katiba na mengine kujadiliwa nakufafanuliwa.
 
yaap. naona maandalizi yamekamilika. watu wanajongea kidogo kidogo.
 
naam. viwanja ni mabibo hostel jumamosi kuanzia saa 7mchana. dr slaa, mbowe, mnyika yaani timu zima ya chadema. ulikuwa unajua hii

Huyu si juzi tu amefanyiwa operation; amesharuhusiwa?
 
Back
Top Bottom