Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,024
- 285,557
- Thread starter
-
- #21
CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE .Hii inaweza kuwa strategy ya kujenga chama au kukimakizia kabisa!!
Sipati picha wananchi wakiwazomea kwa kuwatetea mafisadi!
Hapo ndipo mtajua Lowasa ni asset au liability!!!
tunakaribia kunywa chai na pipi sahivIkumbukwe kwamba chai ndio kinywaji namba 2 ambacho masikini anaweza kukimudu , kupiga marufuku sukari kutoka nje wakati hatuna sukari ya kutosha ni kulazimisha umaarufu wa bure .
Nimetupia jicho kikaratasi cha Mashinji hiyo imo mkuu , shaka ondoa .Chonde Chonde. Katiba mpya ndilo suala la msingi jamani. Watto wetu wataishije????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
Hizo pipi nazo zinatengenezwa kwa kutumia sukari pia .tunakaribia kunywa chai na pipi sahiv
Hizo pipi nazo zinatengenezwa kwa kutumia sukari pia .tunakaribia kunywa chai na pipi sahiv
Siasa ni uhai , na njia pekee ya kuachana na uhai ni kifo , je uko tayari kujinyonga ?
Hata mimi niliuona lakini kuna watanzania wengine ambao ndiyo wengi zaidi hawakuuona huo uzi, tuliomo humu ni wachache sanaKuna uzi humuhumu jf ulithibitisha waliojitokeza kupiga kura march 20 ni 58, 750 unguja na pemba , hiyo 299,000 ilitoka mfukoni mwa MTUKUFU SALIM JECHA .
thubutu aseme naniWatuambie kwa nini Lowassa si fisadi.
Chadema miaka 20 wanakemea mafisadi leo ndio watetezi wao wakubwa. Chama hakina mwelekeo chama kinaongozwa na watu watatu hakina demokrasia ndio maana niliondokaChama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) , Kinatarajia kuanza mikutano ya hadhara na ya ndani nchi nzima ili kujenga na kuinua uhai wake kuanzia juni mwaka huu.
Hayo yamebainishwa na Katibu Mkuu wa chama hicho Mh Daktari Vicent Mashinji alipoongea na waandishi wa habari jiji Dar es salaam.
Chanzo - Mwananchi .
WITO - ni vema CHADEMA ikatumia mikutano hiyo Kuanika ukweli wote kuhusiana na sakata la sukari .
Mungu ibariki CHADEMA , Mungu ibariki UKAWA .
mkuu mbona unagugumia? umeingiliwa na niniHASHITUI WALA HAIVUTII-- BILA SLAA MMMMM
Ukawa wana pumzi bado wale wengine ndio wana hemea kutafuta billioni 2 ndio wakusanyane wakabidhiane kiti.Kwani bado mnapumzi UKAWA?
Haija shika nchi ina wachosha vipi? Wanao chosha hawaonekani?To be Honest...CHADEMA ishatuchosha
kweli mmeshiwa kama hayo nayo yawe agenda basi tena UKAWA bye byeWaanike na suala la uchaguzi zanzibar pamoja na bunge live
Ukawa hakuna mvuto tena, maana kama mmeshindwa kumuunga rais Magufuli katika kupambana na ufisadi mkabaki kuwatetea. hakuna mwananchi yoyote atakae wasupport zaidi ya wapiga viroba.Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) , Kinatarajia kuanza mikutano ya hadhara na ya ndani nchi nzima ili kujenga na kuinua uhai wake kuanzia juni mwaka huu.
Hayo yamebainishwa na Katibu Mkuu wa chama hicho Mh Daktari Vicent Mashinji alipoongea na waandishi wa habari jiji Dar es salaam.
Chanzo - Mwananchi .
WITO - ni vema CHADEMA ikatumia mikutano hiyo Kuanika ukweli wote kuhusiana na sakata la sukari .
Mungu ibariki CHADEMA , Mungu ibariki UKAWA .