Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 26,479
- 40,115
Kwani Jiwe ni dini hadi wawepo wafuasi?Yule Katibu alisema Chadema na nyie wafuasi wa Jiwe mumeacha kutumia vichwa sasa mnatumia kwato na miguu kufikiria 🤪🤪
Hofu na aibu vinakufanya ukurupuke kubandika bandika watu majina