CHADEMA kuvamia majimbo ya Maghembe, Kilango na Mwanri

Chadema kwa Mwanri mtajisumbua bure hata muende na helikopta 100,Mwanri kaibadilisha Siha sana na Wananchi wanamkubali kwa kiwango cha juu sana! Ameweka maji kila kijiji na sasa anaweka umeme wa REA kila kijiji,Siha yote ina pitika sasa barabara zimejengwa,shule za kata zina vyoo vya ku-flash! Nendeni chadema siha mtajionea maendeleo makubwa sana ambapo mimi namchukulia Mwanri kama Mbunge bora kwa kuleta maendeleo Siha,BBC wamechukua documentary kuonesha namna rural areas in Africa wanaweza kuendelea! Miundo mbinu ya umwagiliaji ni mingi sana na imekamilika kwa wakati! JICA wameipongeza siha kwa kupiga hatua!
Ukiacha Hospital ya Kibong'oto wilaya ya Siha sasa wana hospital ya Wilaya ambayo ina maabara bora ambapo east africa hakuna yeye vifaa bora zaidi ya siha! Siha sasa wanauza nyanya Nairobi kwa wingi,kipato cha wananchi kipo juu. Chadema wakienda waongee sera ya jumla tu ya UFISADI kitaifa lakini kwa maendeleo Siha Chadema hawana kitu cha kusema

Sasa kama Mwanri anajiamini, kwanini anapenda sana kulia tena machozi kama mtoto mdogo jukwaani akiwasihi wananchi wasikubali chadema? Tena huku akiwaimbisha wimbo wa dini.."Bwanaa asifiwe, amen haleluya....alafu ghafla ccm oyeeee"... Then anapiga magoti analia machozi..."Msiniletee chadema jamaniiii".....

Yaani ilikua kituko cha mwaka.. Mwandri MSANII sana!

Ngoja kijana Dr. Godwin Kamanda wa Chadema Siha amkomeshe!
 
Waelekeze tu nguvu huko kwao. Hata wakichukua majimbo yote si mbaya. Ila huku kwetu Songea hawatathubutu kutwaa hata mwenyekiti wa serikali za mitaa

Gamba "ELIZABETH" at work!
 
Jana ilikuwa nidhamu ya Matayo nasikia alipigwa sana na kamanda wa Pare Land kamanda kilewo na meya wa Moshi Mhe.Japhary leo ni Kwa Anna Kilango ngoja naye tusikilizie atapigwaje...Maghembe ndiyo nadhani utakimbia kabisa siku yako ikifika...kama vile namuona kamanda kilewo anavyokutamani....
 
mwanga na same(mashariki na magharibi) ni ngome za CCM zisizopenyeka.. na hii inajulikana kwani kule sio UCHAGANI.
Wao waende tu uvamia lakini matokeo yake waayajua
kwan wameshavamia sehemu ngapi nabado wamepata aibu????!!!
 
chadema kwa mwanri mtajisumbua bure hata muende na helikopta 100,mwanri kaibadilisha siha sana na wananchi wanamkubali kwa kiwango cha juu sana! Ameweka maji kila kijiji na sasa anaweka umeme wa rea kila kijiji,siha yote ina pitika sasa barabara zimejengwa,shule za kata zina vyoo vya ku-flash! Nendeni chadema siha mtajionea maendeleo makubwa sana ambapo mimi namchukulia mwanri kama mbunge bora kwa kuleta maendeleo siha,bbc wamechukua documentary kuonesha namna rural areas in africa wanaweza kuendelea! Miundo mbinu ya umwagiliaji ni mingi sana na imekamilika kwa wakati! Jica wameipongeza siha kwa kupiga hatua!
Ukiacha hospital ya kibong'oto wilaya ya siha sasa wana hospital ya wilaya ambayo ina maabara bora ambapo east africa hakuna yeye vifaa bora zaidi ya siha! Siha sasa wanauza nyanya nairobi kwa wingi,kipato cha wananchi kipo juu. Chadema wakienda waongee sera ya jumla tu ya ufisadi kitaifa lakini kwa maendeleo siha chadema hawana kitu cha kusema

nakuunga mkono mkuu. Mimi natokea kijiji cha lawate kitongoji cha lomakaa. Chadema pale 4sijui waje na agenda gani
waeleweke. Mwanr kapiga hatua na wananch wake ki ukweli
 
Jana ilikuwa nidhamu ya Matayo nasikia alipigwa sana na kamanda wa Pare Land kamanda kilewo na meya wa Moshi Mhe.Japhary leo ni Kwa Anna Kilango ngoja naye tusikilizie atapigwaje...Maghembe ndiyo nadhani utakimbia kabisa siku yako ikifika...kama vile namuona kamanda kilewo anavyokutamani....

..mkutano wa masaa machache hauwezi "kuliteka" jimbo.

..CDM wabadili utaratibu huu wa kuruka-ruka na helikopta.

..wafanye mikutano ya hadhara na ndani, pia watumie muda mrefu zaidi ktk maeneo husika.
 
Mwanri mwisho wako umefika. Its time for you to go to hl
 
Chadema kwa Mwanri mtajisumbua bure hata muende na helikopta 100,Mwanri kaibadilisha Siha sana na Wananchi wanamkubali kwa kiwango cha juu sana! Ameweka maji kila kijiji na sasa anaweka umeme wa REA kila kijiji,Siha yote ina pitika sasa barabara zimejengwa,shule za kata zina vyoo vya ku-flash! Nendeni chadema siha mtajionea maendeleo makubwa sana ambapo mimi namchukulia Mwanri kama Mbunge bora kwa kuleta maendeleo Siha,BBC wamechukua documentary kuonesha namna rural areas in Africa wanaweza kuendelea! Miundo mbinu ya umwagiliaji ni mingi sana na imekamilika kwa wakati! JICA wameipongeza siha kwa kupiga hatua!
Ukiacha Hospital ya Kibong'oto wilaya ya Siha sasa wana hospital ya Wilaya ambayo ina maabara bora ambapo east africa hakuna yeye vifaa bora zaidi ya siha! Siha sasa wanauza nyanya Nairobi kwa wingi,kipato cha wananchi kipo juu. Chadema wakienda waongee sera ya jumla tu ya UFISADI kitaifa lakini kwa maendeleo Siha Chadema hawana kitu cha kusema

wape ukweli hao waache wazurure na chopa zao hata hayo majimbo wanayoongoza tunayatamani
 
Mbunge wa Moshi Mijini na Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Kilimanjaro Mh Philimon Ndesamburo,akiambatana na Mh Lissu Mbunge,Mh Basil Lema Katibu wa Mkoa wa Kilimanjaro'
Siku ya Jumapili ya tarehe 16/02/2014 watawahutubia wakazi wa wote wa Siha katika Meeneo Mnne tofauti'

Orokolili saa Nne Asubuhi,
Karansi Saa Sita Mchana"
Ngerenairobi Saa Nane "
Isanja Saa Kumi Jioni.
USAFIRI WA CHOPA NDIO UTAKAO TUMIKA KATIKA M4C PAMOJA DAIMA'
Tutafunguwa Matawi,Misingi,Na kuwapokea wenyeviti watatu wa vijiji na wawili wa Vitongoji,na Katibu wa Tawi la CCM Karansi'na wanachama wengine wapya kutoka NCCR,CCM,
'Mambo yakienda kama yalivyo pangwa basi Mh Diwani wa CCM atajiunga na Kukabidhiwa Kadi na Mh Millya James'
Wao Wana Pesa Sisi Tuna Mungu'
 
[h=2]Ndesamburo,Lissu Basili Lema Kuisambaratisha CMM SIHA Kwa Naibu Mwanry"Diwani CCM,Kujiunga CDM[/h]
Mbunge wa Moshi Mijini na Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Kilimanjaro Mh Philimon Ndesamburo,akiambatana na Mh Lissu Mbunge,Mh Basil Lema Katibu wa Mkoa wa Kilimanjaro'
Siku ya Jumapili ya tarehe 16/02/2014 watawahutubia wakazi wa wote wa Siha katika Meeneo Mnne tofauti'

Orokolili saa Nne Asubuhi,
Karansi Saa Sita Mchana"
Ngerenairobi Saa Nane "
Isanja Saa Kumi Jioni.
USAFIRI WA CHOPA NDIO UTAKAO TUMIKA KATIKA M4C PAMOJA DAIMA'
Tutafunguwa Matawi,Misingi,Na kuwapokea wenyeviti watatu wa vijiji na wawili wa Vitongoji,na Katibu wa Tawi la CCM Karansi'na wanachama wengine wapya kutoka NCCR,CCM,
'Mambo yakienda kama yalivyo pangwa basi Mh Diwani wa CCM atajiunga na Kukabidhiwa Kadi na Mh Millya James'
Wao Wana Pesa Sisi Tuna Mungu'
 
Huku same na mwanga tuna wabunge wa kula posho tu ! tunataka wabunge wawajibikaji ,hapa kuna ukoo wa panya ,na moja ni wazir mzigo .

Nyie watu wa Same sijui mna laana ya Mungu. Mnampa ubunge Anna Kilango halafu anaishi na babu Dodoma, hivi mnamawazo kweli? Akija Same anakuja kama mgeni na kuwadanganya na kiwanda cha tangawizi. Nyie ni Wapare kweeeli kweli.
 
Mwanry hakuna alichokifanya siha.usiwasemehe wasiha tuache sisi ndio tunaojuwa siha
 
​Ndesamburo,Lissu Basili Lema Kuisambaratisha CMM SIHA Kwa Naibu Mwanry"Diwani CCM,Kujiunga CDM
Mbunge wa Moshi Mijini na Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Kilimanjaro Mh Philimon Ndesamburo,akiambatana na Mh Lissu Mbunge,Mh Basil Lema Katibu wa Mkoa wa Kilimanjaro'
Siku ya Jumapili ya tarehe 16/02/2014 watawahutubia wakazi wa wote wa Siha katika Meeneo Mnne tofauti'

Orokolili saa Nne Asubuhi,
Karansi Saa Sita Mchana"
Ngerenairobi Saa Nane "
Isanja Saa Kumi Jioni.
USAFIRI WA CHOPA NDIO UTAKAO TUMIKA KATIKA M4C PAMOJA DAIMA'
Tutafunguwa Matawi,Misingi,Na kuwapokea wenyeviti watatu wa vijiji na wawili wa Vitongoji,na Katibu wa Tawi la CCM Karansi'na wanachama wengine wapya kutoka NCCR,CCM,
'Mambo yakienda kama yalivyo pangwa basi Mh Diwani wa CCM atajiunga na Kukabidhiwa Kadi na Mh Millya James'
Wao Wana Pesa Sisi Tuna Mungu'
 
Huyu Mwanri ni miongoni mwa viongozi wetu ambao akili zao zinatosha kuendeleza kwao tu huku maeneo jirani yakiwa hoi. Kushindwa kufikiri zaidi ya urefu wa pua na bahati mbaya pua ni fupi.
 
Back
Top Bottom