CHADEMA kutumia nguvu ya Umma Arumeru-Mnyika

CHADEMA acheni kutunyang'anya hata kidogo tulichonacho. Kila siku mnatunisha mishipa majukwaani kuwa maisha magumu alafu mnakuja arumeru kutuchangisha fedha za Kampeni jamani. Ruzuku mnayopewa mnatumia kufanya nini kama kila siku mnachangisha fedha za kampeni tangia uchaguzi mkuu ? au zile milioni kumi na mbili za kila mwezi za mheshimwa Katibu mkuu ndo hizo?

bangi mbaya! Hawachangishi kwa ulazima kama ccm hapa ni hiari .
 
Tupeni namba ya M-PESA ya CDM nitupie kamchango kangu fasta

Hebu tuweke wazi hiyo namba ya simu uliyoweka ilituitumie pesa zakuichangia chadema ni ya nani naumepata wapi...vinginevyo nitaanzisha thread ya kuwa wewe ni tapeli....
 
Back
Top Bottom