Ila Mimi sitashangaa wakiendeleza hujuma kwa kuwatumia covid 19 wa mzee wa bakora kuhalalisha undanganyifu wa ushiriki wa chama wanachokinyanyasa na kukionea kwa kuona kinahatarisha maslahi yao.Hongereni sana Chadema.
Chama cha siasa kinapaswa kusimama kwa miguu yake na maono yake. Wakati wanaandaa mikakati ya hujuma walisahau kuwa ipo siku watawahitaji