CHADEMA Kutingisha Morogoro


well, inaonekana wamevaa/wamevalishwa Jezi na pia kwa nyuma hizo langi za kijani zinanilazimisha kuamini kwamba hayo maeneo ni ofisi za ccm, lakini ujumbe wa kutowapa kura ndio unaonichanganya zaidi, kura zipi? kuna mchakato utakaoishia na kupiga kura unaendelea hivi sasa? hata wao watampigia nani?
 
Chama hakina budi kumuenzi marehemu kamada REGIA MTEMA kwa kukaba kotekote ; Mbele na nyuma na pia ndani na nje ya bunge!!!
 
Kwani kuna mtu anataka kura? ndio maana mnagomea hata sensa kwa sababu ya uwezo wenu mdogo kufikiri plud shule hakuna!
achana na wapuuzi posho ya siku moja inawafanya bibi zao kufa pale hospitali ya mkoa karibu st patrice waende wakaone kinachoendelea waone moto pumbavu zao
 
hawawezi kuthubutu kutinga kati kati ya mji na upuuzi wao huo ndio maana wamepigia katika ofisi za chama chao kwanza hatutaki kura za mafisadi na hatutazipata kwa vyovyote vile sasa wanajipendekeza nini?
 
Ni heli vita kuliko kuishi katika nchi ya kidharimu ya Tanzania inayoongozwa na CCM, nimefikia hatua ya kusema hivyo kulingana na unyanyasaji katika kila idara hapa Tanzania walimu, madkitari hadi leo hapa Morogoro wananchi tunapigwa mabomu na police utadhania sisi ni majambazo we are so tired we need revolution kama mataifa mengine yanavyofanya we are tired much.
 
Kaa chini kwanza akili itulie kabla hujaanzisha thread. Moshi wa mabomu bado haujakutoka kichwani, unaongea mambo ndivyosivyo...
 
Polisi hatimaye wameua tena raia wasio na hatia

Mwili wa Marehemu Ally Zona ambaye ni muuza magezeti ukiwasili Hospitali ya Mkoa wa Morogoro. Ally Zona alikuwa ni akiuza magazeti yake leo kwa wafuasi wa Chadema waliokuwa wakijiandaa kuandamana eneo la Lupila Msamvu ndipo alipofyatuliwa risasi na polisi

Kamanda wa Operesheni Sangara ya Chadema Bw. Benson Kigaila baada ya kuachiwa na Polisi waliomshikilia kwa masaa zaidi ya 4
 
Hali hii mpaka lini?

Damu ya itamwagwa bila hatia mpaka lini??
 
Inasikitisha sana hili jeshi letu litaendelea kuuwa raia wake mpaka lini? RIP kamanda Ally Zona na poleni kwa ndugu na jamaa wate wa wafiwa.
 
Sasa ni roho kwa roho, Polisi akiuwa raia mmoja, inapaswa wauwawe Polisi 5.
 
baada ya haya mauaji mkutano umesitishwa au bado unaendelea? maandamano yalikoma au yaliendelea naomba sana CCM wajiulize na wajijibu maswali hayo
 
Sasa ni roho kwa roho, Polisi akiuwa raia mmoja, inapaswa wauwawe Polisi 5.
si sahihi mkuu tutulize jazba their job is to obey orders., to obey orders for people die that's all. wa kushughulikiwa ni watoa orders
 
Haya yote yanamwisho,safari ya ukombozi hizi ndizo gharama zake.
Tunaendelea na mkutano.so fur majeruhi wanahudumiwa,bado hatujatoa taarifa ya msiba but soon we will break the news.
 
inatia hasira kuona watu wanauwawa bila sababu.ila tu naona ukombozi unakaribia,Mungu bariki nchi yangu ya Tanzania.! Nitafia hapahapa tanzania.
 
Jamaa mmoja ambaye yuko mkutanoni amenijulisha kuwa watu ni wengi sana mkutanoni kama ilivyo kawaida ya CHADEMA na kiujumla ni kwamba makundi yote yamehamasika sana na kujitokeza kwenye mkutano wa kufunga M4C Morogoro.

Japo tayari kuna dosari ya kuuwawa kwa mpita njia aliyekuwa anauza magazeti hali imerejea kwenye utulivu wake wa kawaida na watu bado wanazidi kumiminika uwanjani.

Tutazidi kujuzana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…